Uingereza inavyojitawala. Inawezekana ndio binadamu waliostaarabika kuliko wote duniani

Uingereza inavyojitawala. Inawezekana ndio binadamu waliostaarabika kuliko wote duniani

Ndio nchi yenye bunge la hovyo kabisa katika kulisikiliza halina tofauti na bunge la hapa unaweza sema wamejaa wendawazimu tu humo ndani.
Bunge lako ni la chama kimoja wewe Mmatumbi na rubber stamp ya serikali tu lisiloweza kuiwajibisha serikali yako kwa chochote.
 
Bunge lako ni la chama kimoja wewe Mmatumbi na rubber stamp ya serikali tu lisiloweza kuiwajibisha serikali yako kwa chochote.
Sio bunge langu na wala sio serikali yangu.
 
Tukubali ukweli tu kwamba hao watu kuna namna bongo zao ni tofauti na binadamu wengine.
Huo ndiyo ukweli, ukitaka kujuà huku tunavyoishi anzia kwenye familia watu wanaishi kama mazombie sasa huko makazini kwenye Sheria zenyewe si atazifukia fukia tu ili mradi liende
 
Kwahio kabla watu hawajajua kuandika au wengi wao kutokujua kusoma ni kwamba walikuwa hawana guidance ? Hata kama haipo kwenye kitabu kimoja kinachoitwa Katiba lakini kuna Sheria na Miongozo kutoka sehemu tofauti tofauti zinazowaongoza...; Ukizingatia hata hii Common law sisi tulichofanya ni kama copy and paste kutoka kwao....; Kwahio mkusanyiko wa yafuatayo ndio Katiba yao:-
  • Acts of Parliament: These are laws passed by the UK Parliament, such as the Bill of Rights 1689.
  • Constitutional Conventions: These are customs and practices that have evolved over time and are considered binding on the government, even though they are not written into law.
  • Judicial Decisions: Court rulings can also help shape and interpret the constitution.
  • Treaties: International agreements that the UK has entered
Na ukiongelea kustaarabika hawa hawa ndio wapuuzi ambao walizunguka kila kona pamoja na wapuuzi wenzao huku wakijigawia dunia matokeo yako kuna matatizo lukuki yamesababishwa na wao.., Hata huko IRAN walivunja Demokrasia yao kwa hofu ya kwamba mkataba wao wa Mafuta ungefutiliwa mbali hivyo kusimamisha unyonyaji wao...
 
Huo ndiyo ukweli, ukitaka kujuà huku tunavyoishi anzia kwenye familia watu wanaishi kama mazombie sasa huko makazini kwenye Sheria zenyewe si atazifukia fukia tu ili mradi liende
Wewe unaishi kama nani ?
 
Ustaarabu uko chini sana na wanaoshika madaraka wengi wao hawana Ustaarabu kabisa
Unakuta mtu anajinasibu anaelimu kubwa lakini wewe umfuatilie uone niafadhali aliyeishia kidato cha nne ukiona maisha yake duu, kuna wazee darasa la 7 na wale wa la nne la mkoloni sahizi ni wachache sana ni wana busara hao, sasa hizi ngwasuma zetu tunajijua wenyewe.
 
Unakuta mtu anajinasibu anaelimu kubwa lakini wewe umfuatilie uone niafadhali aliyeishia kidato Cha nje akaanza maisha yake, kuna wazee darasa la 7 wale wa la nne la mkoloni sahizi ni wachache sana ni wana busara hao, sasa hizi ngwasuma zetu tunajijua wenyewe.
Na mbaya zaidi tumekataa kustarabika maksudi
Afrika na Tanzania isipopata charisma leader unaweza rudi 3000 ukakuta mambo ni hayahaya
 
Fatilia siasa za Denmark, Sweden, kiufupi Nordic Countries.
Bila kusahau German.

Hao waingereza hawaoni ndani.
 
Back
Top Bottom