Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Hakuna namna, inabidi tuendelee kusoma vitabu vya kibanga ampiga mkoloni, vinaweza kutusaidia kufanya uvumbuzi wa kisayansi.Ni hadi uwe na hizo akili za kujifunza sasa.
Hakuna namna, inabidi tuendelee kusoma vitabu vya kibanga ampiga mkoloni, vinaweza kutusaidia kufanya uvumbuzi wa kisayansi.Ni hadi uwe na hizo akili za kujifunza sasa.
Hata uchaguzi wao ni simple tu
Siku ya uchaguzi ni siku ya kazi kama kawaida, hakuna vitisho vya polisi. Mgombea akishindwa anakubali matokeo, hakuna malalamiko
Mzungu ndio aliyeleta 'civilization' katika jamii, kwa hiyo bado tunaendelea kujifunza, tutawafikia tu.
Wametuprogramu hivyoMawazo haya yanatokana na mfumo wa elimu wa mkoloni au?
Kama wametuprogramu hivyo, nini maana ya kumiliki ubongo?Wametuprogramu hivyo
Sie huku ni kina nani jamani yaani tunaishi ishi Tu kama dagaa ukikaa vibaya unapitiwa na kambaleDunia ina watu wa aina mbalimbali kama vile Wazungu, Walatino, Wa Asia na wengineo
Yaani hata kwamba Kuna kitu kinaitwa ubongo ni wao wamesemaKama wametuprogramu hivyo, nini maana ya kumiliki ubongo?
Kwahiyo Kama wao wana maendeleo basi Tuamini kuwa hata sisi tutapiga hatua kwani bunge lao ni Kama letuNdio nchi yenye bunge la hovyo kabisa katika kulisikiliza halina tofauti na bunge la hapa unaweza sema wamejaa wendawazimu tu humo ndani.
HIi ni point kubwa, haya mambo yanaanzia kwenye familia.SI've huku bongo lala kwenye familia na ndoa zetu hizi za hovyo hovyo tunatesana balaa mpaka kuuana, yaani mtu anamuona mwenzi wake kama takataka tu.
Umeelewa nilicho andika ?Kwahiyo Kama wao wana maendeleo basi Tuamini kuwa hata sisi tutapiga hatua kwani bunge lao ni Kama letu
Bunge lao ni la hovyo Kama letuUmeelewa nilicho andika ?
Nao sifa mojawapo ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika?Ndio nchi yenye bunge la hovyo kabisa katika kulisikiliza halina tofauti na bunge la hapa unaweza sema wamejaa wendawazimu tu humo ndani.
Mchana mwema.Bunge lao ni la hovyo Kama letu
Uingereza wana utamaduni wa midahalo kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu kwa hiyo hilo jambo la kawaida sana kwao, wana hadi debate societies. Unaweza kuwaangalia YouTube The Oxford Union, The Cambridge Union n.k wanaalika watu maarufu kutoka kote duniani kufanya midahalo ya masuala magumu na controversial ya kila aina vyuoni mwao.Ukimtizama waziri wao mkuu anavyopigwa maswali kwenye bunge lao, hutotamani hiyo nafasi.
Nafikiri kupayukiana na kupiga kelele pale mwenzako anapotoa hoja yake.Nao sifa mojawapo ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika?
Inawezekana uhovyo wa bunge ndio maendeleo ya nchiMchana mwema.
Na sisi zamani tulikuwa na hiyo midahalo, imepotelea wapi?Uingereza wana utamaduni wa midahalo kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu kwa hiyo hilo jambo la kawaida sana kwao, wana hadi debate societies. Unaweza kuwaangalia YouTube The Oxford Union, The Cambridge Union n.k wanaalika watu maarufu kutoka kote duniani kufanya midahalo ya masuala magumu na controversial ya kila aina vyuoni mwao.