Uingereza inavyojitawala. Inawezekana ndio binadamu waliostaarabika kuliko wote duniani

Uingereza inavyojitawala. Inawezekana ndio binadamu waliostaarabika kuliko wote duniani

Huu ni uelewa hafifu sana wa Historia,
Si mimi ni AI.

Denmark was part of various European power struggles but remained independent throughout history.

It was briefly occupied during certain wars but not colonized. For example:

During the Napoleonic Wars, the British attacked and occupied Copenhagen in 1807 to seize the Danish navy, but this was not colonization.

During World War II, Nazi Germany occupied Denmark from 1940 to 1945. However, this was a military occupation, not colonization, and Denmark remained a sovereign nation (although under German control).

Denmark’s Own Colonies:

Denmark had its own overseas colonies, including:

Greenland, Iceland, and the Faroe Islands (Nordic territories).

The Danish West Indies (now the U.S. Virgin Islands).

Trading posts in India (Tranquebar) and on the Gold Coast (now Ghana).

Territories in the Caribbean and parts of South America.

If you'd like, I can give you a detailed timeline of Denmark's colonial activities.

Yes, Finland was colonized — or more accurately, ruled — by foreign powers for much of its history. It was not a colonial power itself.

A brief history of Finland’s foreign rule:

1. Under Swedish Rule (c. 1150–1809)

From the 12th century, Finland was gradually incorporated into the Kingdom of Sweden through a series of crusades and political expansions.

For nearly 700 years, Finland was part of Sweden.

During this time, Swedish culture, language, law, and Christianity strongly influenced Finnish society.

The Finnish elite spoke Swedish, and many Finns still speak it today.

2. Under Russian Rule (1809–1917)

In 1809, after Sweden lost a war against Russia, Finland was ceded to the Russian Empire.

It became the Grand Duchy of Finland, an autonomous part of the empire.

Although it had some internal self-governance, Russia controlled its foreign affairs and had significant influence.

By the late 1800s, Russia began Russification efforts — trying to reduce Finnish autonomy and promote Russian language and control.

3. Independence (1917–present)

Finland declared independence from Russia on December 6, 1917, during the Russian Revolution.

It has remained an independent nation since then.

Summary:

✅ Was Finland colonized? → Yes, by Sweden and then Russia.

❌ Was Finland a colonial power? → No.

Would you like a map or timeline to help visualize this history?
 
Civilization ililetwa na Mwarabu wala sio mzungu..
Civilization ililetwa na kina pharaoh Toka misri ya kale bhana tatizo tuna zungumzia Hilo Kwa kuitazama Dunia Kwa Karne hizi za hivi karibuni but ukweli ni kwamba civilization imeanza kemet misri ya kale then ugiriki kupitia Chini ya kina Caesar na Alexander the great ndio wakaenda ku- copy civilization na kuisambaza Duniani baada ya hapo ndio mataifa mengine yakafuata zaidi
 
Asante nimejibu Hilo pia , wao wanaichukulia Dunia ktk hizi Karne za juzi wakati Kiongozi wa kwanza kuanzisha mkataba wa amani Kwa umoja wa mataifa ni pharaoh wa misri Ramisese , Civilization ilianzia misri
Na hapo sijaitaja Babylon... Mtu anakuja kuleta story za England ya juzi tuu...
 
Nchi za ulaya kustarabika kiasi hiki tunachokiona leo sidhani kama ni accidentally.
Watakuwa wamepitia magumu mengi ambayo yamewafanya kuheshimiana sana.

Sisi huku kiongoz anadharau walio chini yake.
Viongoz wanadharau raia kias cha kutoamini maamuzi yao hasa kwenye chaguzi.

Huku bado tunadharuliana na kuuana kwa tofauti za kisiasa, kidini, kikabila.
#Wazazi wanawadharau watoto wao.

#Walimu wanawadharau wanafunzi wao wrnyewe eti hawana kitu kwamba elimu ilikuwa zamani.

#Askari wanawadharau wananchi.
#Hapo awali wasomi walkuwa wanawadharau wasio na elimu, saiv hilo linakufa kwa kasi sans, heshima imeanza kuingia ktk hili.
Kule kura ya Wananchi ina Nguvu sana
 
😁😁

England alichofanya ni copy and paste tu
Sijasema UK ndio chanzo cha civilization duniani, civilization yenye athari kubwa zaidi kwa watu wa mataifa megi wa dunia ya leo ni ya Ugiriki iliyoendelezwa na Warumi na kusambazwa duniani kwa kiasi kikubwa na Waingereza.
 
Civilization ililetwa na kina pharaoh Toka misri ya kale bhana tatizo tuna zungumzia Hilo Kwa kuitazama Dunia Kwa Karne hizi za hivi karibuni but ukweli ni kwamba civilization imeanza kemet misri ya kale then ugiriki kupitia Chini ya kina Caesar na Alexander the great ndio wakaenda ku- copy civilization na kuisambaza Duniani baada ya hapo ndio mataifa mengine yakafuata zaidi
Unaujua utawala wa Pharaoh kwa kingine kipi zaidi ya hayo mapiramidi ya watalii tu?
Legacy ya nyingine ya utawala wa mapharaoh ni ipi??
 
Fikiria taifa liloweza kuendeshwa kwa miaka zaidi ya mia mbili kama demokrasia bila kuwa na katiba iliyoandikwa na bado raia wake wanaweza kupata haki zao zote, mihimili iko huru na jamii haifarakani kwa sababu ya dhulma au uhuni wa kiutawala wa kisiasa. Wanaingia mawaziri wakuu na kuondoka wakati wowote kwa matakwa ya raia ila serikali iko stable.

Mataifa mengine yanakuwa na katiba iliyoandikwa kuanzia siku ya kwanza yanapoanza kujitawala, haki na wajibu wa kila mtu unainishwa ila haifiki hata miaka 10 watu tayari wameshapoteza kuelewana pamoja, dhulma na uonevu vimetamalaki watu wamepoteza imani kwa watawala na watawala wanafanya hila tu kuendelea kubakia madarakani.
Katiba ni kajitabu tu!
 
Waingereza ndio wameleta duniani kutofautisha binadamu na wanyama, ingawa bado jamii nyingine zimebaki na vielements vya kinyama mfano mzuri ni tukio la Enock na akina mdude. Yaani mahakama tuneweka sisi lakini bado tunaona hazifai.
 
Fikiria taifa liloweza kuendeshwa kwa miaka zaidi ya mia mbili kama demokrasia bila kuwa na katiba iliyoandikwa na bado raia wake wanaweza kupata haki zao zote, mihimili iko huru na jamii haifarakani kwa sababu ya dhulma au uhuni wa kiutawala wa kisiasa. Wanaingia mawaziri wakuu na kuondoka wakati wowote kwa matakwa ya raia ila serikali iko stable.

Mataifa mengine yanakuwa na katiba iliyoandikwa kuanzia siku ya kwanza yanapoanza kujitawala, haki na wajibu wa kila mtu unainishwa ila haifiki hata miaka 10 watu tayari wameshapoteza kuelewana pamoja, dhulma na uonevu vimetamalaki watu wamepoteza imani kwa watawala na watawala wanafanya hila tu kuendelea kubakia madarakani.
Kwa Waingereza upo sahihi kabisa. Na ukipata nafasi jifunze kuhusu Waswisi pia.
 
Ukiwa unatafuta hizo nchi nakuomba kumbuka pia kuwa nchi ya uingereza na zingine za zamani zimesha pigana sana mara dufu ya nchi zozote zile.

Hivyo Leo ukitathmini democratic yao. Ni lazima uzingatie kuwa wameshaijenga mda mref sana.

Sisi Leo sasa hata NO REFORMS tumeshindwa kuipa utekelezaji sahihi.
Yaani sisi tumeanza tu mwaka huu kupigia msumari wa slogan ya No Reform No Election, lakini cheki watawala wanavyoweweseka kama vile ni jambo jipya sana duniani wakati hizi political slogans zenye influence ya mabadiliko.

Tunaona ni kama maajabu hivi kwasababu hatujazoea mabadiliko, wenzetu hao walishastaarabika miaka mingi hasa kutokana na challenges walizozipitia
 
Unaujua utawala wa Pharaoh kwa kingine kipi zaidi ya hayo mapiramidi ya watalii tu?
Legacy ya nyingine ya utawala wa mapharaoh ni ipi??
Civilization ilianzia Africa wakati huo Ulaya walikuwa wanaishi kama wanyama.
1. Egyptians wamejenga pyramids kwa teknolojia kubwa sana ambayo hadi leo watu weupe wanashangaa. Usichukulie pyramids poa
2. Timbuktu ndio ilikuwa kitovu cha elimu duniani. Kama leo hii unavyoona Havard au MIT vya Marekani ndio Timbuktu ilikuwa hivyo. Watu walikuwa wanatoka huko Asia, Ulaya nk kuja Timbuktu kupata elimu, na Timbuktu lilikuwa jiji haswa. Na ulikuwa mji mkubwa wa kibiashara wa chumvi na dhahabu karne ya 15. Majengo yake yalikuwa imara kiasi kwamba hadi leo yapo
Mji wa Timbuktu ulikuwa ni mji wa watu weusi na ulikuwa ni mji wa kitajiri wenye maktaba kubwa sana zenye vitabu vingi kiasi kwamba Wanahistoria wanasema hadhi ya elimu iliyokuwa inatolewa Timbuktu ni sawa na elimu ya chuo kikuu leo hii
Screenshot_2025-07-07-08-13-59-142_com.google.android.googlequicksearchbox.png

Mwaka 1450 mji wa Timbuktu ulikuwa na wasomi zaidi ya 25000. Miaka ya 1590s Morocco iliuvamia mji wa Timbuktu ndio ikawa anguko la mjii huu. Soma historia zake. Zimejaa Google nzima

3. Chuo kikuu cha zamani zaidi duniani ambacho kinaendelea kufanya kazi hadi leo ni Al-Qarawiyyin University kilichopo Fez Morocco. Unaweza kupata picha kuwa Africa haikuwa ya mambumbumbu
Screenshot_2025-07-07-08-25-32-231_com.google.android.youtube.png

4. Unajua the oldest Mathematics tool in the world? Mifupa ya Lebombo na Ishango
Watu wa Kusini mwa Africa ndio walikuwa watu wa kwanza zaidi kutumia Mathematics. Wanahistoria walivumbua mifupa ya Lebombo ambayo ni mifupa ya nyani yenye vialama ishirini na tisa yenye urefu sawa. Kila mfupa ulikuwa umechorwa alama 29 na walipopima wakagundua ni mifupa ya miaka 50000 iliyopita. Wanahistoria wanafikiri huenda walikuwa wanatumia mifupa hii kuhesabu siku za mwezi au mzunguko wa hedhi wa mwanamke
Mifupa ya Ishango nayo kutoka Congo ni ya miaka 22000 iliyopita
Screenshot_2025-07-07-08-29-14-923_com.google.android.youtube.png

5. Hata kabla ta Wakoloni watu wa Uganda walikuwa wanafanya Autopsy, yani kuchunguza maiti kujua chanzo cha kifo. Pia Uganda walikuwa wanafanya upasuaji pia
Kipindi Ulaya walipoanza kutuma explorers Africa walikuta Uganda wanawake wanajifungua kwa operation. Madaktari walikuwa wanatumia mvinyo wa ndizi kumlewesha mgonjwa na kisha kufanya upasuaji kwa kutumia visu maalumu na wanawake waliweza kujifungua bila shida yoyote
Screenshot_2025-07-07-08-38-36-205_com.google.android.youtube.png

6. Kuna kipindi mji wa Thebes huko Misri ulikuwa mji ulioendelea zaidi duniani. Kama leo mnavyoiona New York sasa miaka 75000 BC Thebes ilikuwa haishikiki

Hata Kilwa ya Bongo hapahapa walianza kuwa na sarafu yao karne ya 7. Kuna evidence nyingi sana za Civilization Africa kabla ya Ukoloni naona uvivu tu kuandika

Wazungu walicheza mchezo mchafu sana kwa Africa. Walifunga viwanda vyote vya Waafrika ili tuwe tegemezi kwao. Yani hapo ndo waliharibu kila kitu na kutuandaa kuwa tegemezi. Hao ndugu zenu weupe mnaowashabikia walikuwa na roho mbaya sana, yani makatili sana yote kwa tamaa tu ya resources. Africa resources zilituponza
History tunayosoma darasani ni propaganda za wazungu tu kutuaminisha zamani tulikuwa washamba wa kutupwa, waty wasiostaarabika. Wakati kiuhalisia sio jamii zote za Afrika zilikuwa hivyo.
Yani siku nikija kuwa Waziri wa elimu haki ya Mungu somo la History nitaleta syllabus nyingine kabisa. Haiwezekani tunasoma History inayotukuza Wazungu badala ya kukazia maeneo muhimu ambayo Africa ilikuwa strong
Hii ndio imetengeneza kizazi cha Waafrika wasiojikubali na namba moja ni hawa wanaoanzisha mada za kutukana watu weusi humu jukwaani. Yote hii ndio ilikuwa kitu ambacho wazungu walikuwa wanataka. Walitaka tuwashukuru kwa kututawala. Leo hii inasikitisha Waafrika ndio namba moja kwenye kuabudu watu walionyanyasa mababu zao

Hata huko Ulaya ignorance ilikuwa kubwa tu. Miaka ya kale kipindi Tauni (plague) inapukutisha wazungu, watu walikuwa wanachukua vyombo vyao wanajambia humo halafu wanafunga haraka ili kijambo kisitoke nje ya chombo, walifanya hivyo na walikusanya vijambo vyao vingi sana. Waliamini ukiwa karibu na mgonjwa wa Tauni ili asikuambukize unapaswa kufungua hivyo vyombo na kupumua kwenye vijambo (farts) hivyo na kwamba ndio unakuwa salama. What an ignorant bunch of pussies
Ila kwenye vitabu vyetu vya history hawatufundishi hili pia. Wanafundisha tu ubora wa wazungu na udhaifu wa Waafrika hawafundishi ubora wa Waafrika na udhaifu wa wazungu. Ndio mana leo hii tunawatukuza sana

Leo hii kwa nini Africa ni Masikini? Ni kwamba viongozi wa Africa wengi wameshakata tamaa ya kupambana na umasikini kwa hiyo wanataka madaraka ili kujitajirisha wao tu. Aidha mfumo wetu wa elimu pia ni mbovu
Kitu cha muhimu sana ili kuendeleza jamii yoyote ile ni kutibu mindset kwanza kwa kutumia elimu, inapaswa tupunguze idadi ya watu wanaoamini kuwa Waafrika hatuwezi mpaka tutegemee wazungu. Hawa watu wanaturudisha nyuma sana. Hawajui tu
 
Back
Top Bottom