Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Uingereza imtegemee Marekani kiulinzi dhidi ya nani au adui gani hasa?!
Uingereza imtegemee Marekani kiulinzi dhidi ya nani au adui gani hasa?!
Chini ya mwavuli wa NATO, UK inategemea Ulinzi kutoka kwa uncle Sam.Uingereza imtegemee Marekani kiulinzi dhidi ya nani au adui gani hasa?!
Kwa hili jibu kweli wametuprogram 😁Yaani hata kwamba Kuna kitu kinaitwa ubongo ni wao wamesema
Fresh tu, kwani ukifumuliwa makalio kwa ridhaa yako halafu mimi nina lami hadi mlangoni kwangu, maji na umeme wa uhakika shida iko wapi!
Oops, Hata sasa hivi mnafumuana ila hamna hayo maendeleo wala mambo mazuri kama Ulaya😁
Hivi kuna nchi yoyote duniani ambayo haijawahi kumwaga damu hasa zile developed countries?Unaisemeq nchi yenye historia ya myaka zaid ya 500.
Kwakutumia reference za myaka 200.
Kiongozi are you alright upstairs??
Vita vilivyopiganwa na hiyo nchi.
Damu zilizomwagwa ili kuiunganisha hiyo nchi.
Umeviweka kwenye consideration ????
Au unadhani walipopigana miaka yote ya 1500 na 1600 walikua wanapigana Bure?
Hivi kuna nchi yoyote duniani ambayo haijawahi kumwaga damu hasa zile developed countries?
Kagera war.Tanganyika
That was Nyereres warKagera war.
Lakini si damu zilimwagika?That was Nyereres war
Hii ustaarabu imebeba kila kitu ndani yake kuanzia ngazi ya familia, wachache watakuelewa.Siasa sio tatizo bali shida ni kukosekane kwa ustaarabu
Jeremy Corbyn tena si atakuwa kazeeka sana kwa sasa hahahaUsijali Mimi nilichagua Labour mara moja tu kipindi cha Blair
Miaka yote nilikuwa Conservative
Ila sasa nasubiri Chama kipya cha Jeremy Corbyn
Yaani wewe ndio uone hiyo 20 years ila mzungu asione kweli?? Fatilia sheria zao za uhamiaji kwa sasa, Indians, Nigerians na hao middle east counties they have stories to tell about it.Ila miaka20 ijayo itakuja kuwa nchi ya hovyo na yenye ghasia maana kuna wahamiaji wengi hasa wanaotokana na dini ileeee ambao utulivu kwao ni zero
Lakini si damu zilimwagika?
Nchi yoyote ili iendelee lazima nchi nyingine iumie, na hapo ndo vita inapotokea.
Hakuna nchi inategemea nchi nyingine achilia mbali ulaya hata Africa haipo. Kitu kimoja tuu ni kwamba America ni powerful kuliko nchi nyingine zote.Uingereza kwa Sasa ni tegemezi mno kwa Marekani kiulinzi na hasa kwenye sera zake za nje ......ni kama kibaraka tu wa Marekani.
T14 Armata
Hatuna,ukiona sheria ina ubaguzi ndani yake,hiyo tayari sio sheria,,woote ni watu lkn unaambiwa nafasi moja haihojiwi mahakamani,hata nafasi hiyo ifanye kosa la namna gani,,wenzetu Sheria zao haziangalii una cheo kipi au nafasi ipi,ukilikologa unachukuliwa hatua kali za kisheria.Kwani sie hatuna sheria?
Hivi kuna nchi yoyote duniani ambayo haijawahi kumwaga damu hasa zile developed countries?
Nani amekuambia?Hakuna nchi inategemea nchi nyingine achilia mbali ulaya hata Africa haipo