Uingereza inavyojitawala. Inawezekana ndio binadamu waliostaarabika kuliko wote duniani

Uingereza inavyojitawala. Inawezekana ndio binadamu waliostaarabika kuliko wote duniani

Mkuu ulishawahi kusikia uchumi wa japan kuwa stagnant? Haimaanishi wana uchumi mdogo ila haukuim Uingereza wanatapatapa sasa. Yes, wanagawa misaada ila ukisoma taarifa na statics za vyanzo mbalimbalinkama bloomberg uchumi wao haufanyi vizuri matatizo yamekuwa mengi na ndio maana hata PM wao hawakai kila anayeingia anashindwa tatua matatizo.
Udhaifu wa utawala wa Uingereza, Australia na Japan ni ule urahisi wa kumbadilisha kiongozi mkuu

Yaani kiongozi ambaye ni waziri anakosa mda wa kujipanga na kutimiza sera zake anakuwa kwenye constant pressure yaani chama kikupiga chini na sio wananchi basi nafasi yako unakuwa umeshaipoteza
 
Kwahio kabla watu hawajajua kuandika au wengi wao kutokujua kusoma ni kwamba walikuwa hawana guidance ? Hata kama haipo kwenye kitabu kimoja kinachoitwa Katiba lakini kuna Sheria na Miongozo kutoka sehemu tofauti tofauti zinazowaongoza...; Ukizingatia hata hii Common law sisi tulichofanya ni kama copy and paste kutoka kwao....; Kwahio mkusanyiko wa yafuatayo ndio Katiba yao:-
  • Acts of Parliament: These are laws passed by the UK Parliament, such as the Bill of Rights 1689.
  • Constitutional Conventions: These are customs and practices that have evolved over time and are considered binding on the government, even though they are not written into law.
  • Judicial Decisions: Court rulings can also help shape and interpret the constitution.
  • Treaties: International agreements that the UK has entered
Na ukiongelea kustaarabika hawa hawa ndio wapuuzi ambao walizunguka kila kona pamoja na wapuuzi wenzao huku wakijigawia dunia matokeo yako kuna matatizo lukuki yamesababishwa na wao.., Hata huko IRAN walivunja Demokrasia yao kwa hofu ya kwamba mkataba wao wa Mafuta ungefutiliwa mbali hivyo kusimamisha unyonyaji wao...
Nyie mnaweza kujiongoza kwa maamuzi ya bunge na ya mahakama tu hata kwa siku moja bila kutoana ngeu na kuchinjana kama kuku??
Inawezekana hata Ethiopia ilitawaliwa na Uingereza ndio maana hawaachi kuchinjana kikabila na kikanda.
Wewe usingetawaliwa na muingereza huenda sasa hivi ungekuwa bado mporipori tu usiyekuwa na civilization yoyote.
 
Nyie mnaweza kujiongoza kwa maamuzi ya bunge na ya mahakama tu hata kwa siku moja bila kutoana ngeu na kuchinjana kama kuku??
Kwamba kabla ya Bunge, kulikuwa hakuna jinsi ya ku-settle matatizo ya watu katika jamii husika ? Hivi unajua hapo kabla kulikuwa na mfumo wa kifamilia, clans, ukoo, uchifu na mipango tofauti tofauti katika sehemu tofauti za kuweza kujiongoza.., Hivi unajua hata hao Uropa nzima kuna sehemu barbarism ilikuwa ndio order of the day ? Na unajua wakati huko watu wanachinjana kuna sehemu kulikuwa kuna civilization tayari (i.e Civilisation did not start in England / Europe)

Inawezekana hata Ethiopia ilitawaliwa na Uingereza ndio maana hawaachi kuchinjana kikabila na kikanda.
Kwamba Uingereza yenyewe haina civil problems ? Unajua matatizo yaliyokuwa yanawapata United Kingdom nzima na mvutano against Scots na Ireland (Northern) na kina Sinn Féin na Terrorism (au hujasikia kuhusu Bombings za Irish Terrorists);
Wewe usingetawaliwa na muingereza huenda sasa hivi ungekuwa bado mporipori tu usiyekuwa na civilization yoyote.
What is Civilization ? Huenda wewe unadhani Civilization ni kuvaa Suti au kwa ma lawyer kuwa na Tai au hata kuvaa hivi
1751696624012.png

lakini kumbe Civilisation wala haikuanzia Europe let alone England (Na kwa Uingereza kuingilia sehemu nyingine kiutawala ilifanya disruption ya mifumo ya kiutawala ya sehemu husika) vilevile mifumo ya kiutawala inakwenda na wakati kwahio Hata England asingekuwepo katika Sayari hii bado tungekuwa na mifumo hii hii sababu kwa sasa they are fit for purpose...

civilization did not start in Europe. While Europe has a rich history of civilization, particularly with ancient Greece and Rome, the earliest civilizations actually emerged in the Fertile Crescent, a region in the Middle East, around 3000 BCE. Mesopotamia, located in the Fertile Crescent, is often considered the birthplace of civilization.
 
Kua kama waingereza ni rahisi sana, tuache kuabudu hela badala yake tuone hela kama vocha inayokupatia mahitahi yako ya msingi. jambo lingine ni jamii iheshimu watu ambao ni skilled.
 
Sio shoga tu, mimi naona ni sawa kuongozwa hata na waziri shetani kabisa kama watu hawapotezwi, uchaguzi ni huru na haki, barabara zote zinawekwa lami, umeme, maji na hospitali uhakika, elimu ni bora na maendeleo ya sayansi na teknolojia ni ya daraja la kwanza.
Na kufumuana makalio ni huru tu pamoja na watoto kufundishwa ungese mashuleni , ni sawa tu au vipi mkuu , pia kijana wako akikujia na mwanamume mwenzake ameolewa utaona raha na ni maendeleo muhimu ni kuwepo maji, umeme barabara,
 
Fresh tu, kwani ukifumuliwa makalio kwa ridhaa yako halafu mimi nina lami hadi mlangoni kwangu, maji na umeme wa uhakika shida iko wapi!
Oops, Hata sasa hivi mnafumuana ila hamna hayo maendeleo wala mambo mazuri kama Ulaya😁
 
civilization did not start in Europe. While Europe has a rich history of civilization, particularly with ancient Greece and Rome, the earliest civilizations actually emerged in the Fertile Crescent, a region in the Middle East, around 3000 BCE. Mesopotamia, located in the Fertile Crescent, is often considered the birthplace of civilization.
Mesopotamia hiyo Iran sio
 
Mesopotamia hiyo Iran sio
Mesopotamia is a historical region located in what is now modern-day Iraq, parts of Syria, Turkey, and Iran, and Kuwait. It's situated in the fertile valleys between the Tigris and Euphrates rivers, often referred to as the "land between the rivers".
 
Wamepitia mengi sana tangu enzi na enzi.
Wamejifunza in a hard way
Hawa wazungu kila wanapopata changamoto lazima walitatue hawaulizi kwanini bali wanalifanyia kazi.

Serikali ni wananchi kwa hiyo sheria zinafuatwa sana.

Kwenu tatizo hakuna wa kuhoji kwanini haya yanatokea, yaani watu 37 wanakufa kwa bus 2 kugongana halafu mnapewa majibu mepesi kama kuku wamekufa
 
Labda useme Uingereza ina demokrasia nzuri ila sio kwamba ndio jamii iliyostaarabika zaidi duniani
Hakuna nchi watu wake wamestaarabika kama Japan, huko Uingereza ni matapeli tu. Yani London matukio ya ujambazi yanayofanyika ndani ya mwezi mmoja ni kama matukio yanayofanyika Dar miezi 12

Hawajastaarabika kuliko wote duniani, ni vile tu wana demokrasia, haki na sheria inafuata mkondo wake

Ustaarabu upo Japan sio Uingereza
 
Wamepitia mengi sana tangu enzi na enzi.
Wamejifunza in a hard way
Hawa wazungu kila wanapopata changamoto lazima walitatue hawaulizi kwanini bali wanalifanyia kazi.

Serikali ni wananchi kwa hiyo sheria zinafuatwa sana.

Kwenu tatizo hakuna wa kuhoji kwanini haya yanatokea, yaani watu 37 wanakufa kwa bus 2 kugongana halafu mnapewa majibu mepesi kama kuku wamekufa
Nimeishangaa sana bongo, yani watu 42 wanakufa kwa ajali halafu sijamuona hata PM akiaga mwili au hotuba ya kitaifa, Uingereza hii ingekuwa agenda tosha ya kubadili serikali kabisa. Africa maisha ya binadamu hayana thamani kabisa.
 
Ndio nchi yenye bunge la hovyo kabisa katika kulisikiliza halina tofauti na bunge la hapa unaweza sema wamejaa wendawazimu tu humo ndani.
😁Kwamba nao viti maalum wao wanatoa hoja za kuweka mashine za kukagua na kubaini wabunge wa kiume wenye magovi kwenye milango ya bunge?
 
Nimeishangaa sana bongo, yani watu 42 wanakufa kwa ajali halafu sijamuona hata PM akiaga mwili au hotuba ya kitaifa, Uingereza hii ingekuwa agenda tosha ya kubadili serikali kabisa. Africa maisha ya binadamu hayana thamani kabisa.
Yaani hapo Mkuu wa police lazima angetimuliwa zamani sana na Waziri wa mambo ya Ndani angeambiwa ajiuzuru

Huwa nashangaa sana ajali za kila siku na wakubwa wanadunda

Africa haitabadilika
Mimi kwa miaka 35 🇬🇧 nimepata ajali mara mbili tu na kila siku niko barabarani

Moja jamaa alisimama ghafla kwenye traffic lights nikamgonga kidogo na police alikuwa upande wa pili

Huku kuna sheria ngumu sana ukifanya ujinga unaikosa licence yako

Kuna camera zaidi ya milioni 4 London tu
Na zipo za kila aina na kila aina Ina kazi yake

Ajali zipo ila sio kubwa sana Bali ni minor sio za kuuwa kila leo

Hata Barabara wakiona kuna hitilafu za kiufundi na kusababisha ajali au mpango mbovu basi itavunjwa na kujengwa upya

Unaendesha kwa nidhamu la sivyo kila siku utalipa faini
 
Fikiria taifa liloweza kuendeshwa kwa miaka zaidi ya mia mbili kama demokrasia bila kuwa na katiba iliyoandikwa na bado raia wake wanaweza kupata haki zao zote, mihimili iko huru na jamii haifarakani kwa sababu ya dhulma au uhuni wa kiutawala wa kisiasa. Wanaingia mawaziri wakuu na kuondoka wakati wowote kwa matakwa ya raia ila serikali iko stable.

Mataifa mengine yanakuwa na katiba iliyoandikwa kuanzia siku ya kwanza yanapoanza kujitawala, haki na wajibu wa kila mtu unainishwa ila haifiki hata miaka 10 watu tayari wameshapoteza kuelewana pamoja, dhulma na uonevu vimetamalaki watu wamepoteza imani kwa watawala na watawala wanafanya hila tu kuendelea kubakia madarakani.

"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
I'm black and I'm a complete human being and most of us are. And I'm sure I'm smarter than many white people
Under dictatorship any race can be oppressed regardless of skin colour

So when you tell me black people are not complete human beings I don't know what tf are you talking about
 
Back
Top Bottom