Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,736
Umewahi fuatilia bunge la Uingereza ?šKwamba nao viti maalum wao wanatoa hoja za kuweka mashine za kukagua na kubaini wabunge wa kiume wenye magovi kwenye milango ya bunge?
Umewahi fuatilia bunge la Uingereza ?šKwamba nao viti maalum wao wanatoa hoja za kuweka mashine za kukagua na kubaini wabunge wa kiume wenye magovi kwenye milango ya bunge?
Hapana mkuuUmewahi fuatilia bunge la Uingereza ?
Kwa mujibu wa Samia.Sisi tupo mbele yao sana tušš
Siku hizi hawafanyi vizuri tena Kama sisj
Miaka Mia tu? Waulize Haiti wana uhuru wa miaka zaidi ya 200 na bado ndiyo kwanza hawajaanza hata kujitafuta. Liberia nao ni hivyo hivyo. Hizi nchi mbili zinaongozwa na jamii za watu weusi kama sisi na ccm yetu.Labda bado mna miaka mingine mia mbeleni.
Ndio maana mashoga wameshamiriUlaya magharibi yote Ina ustaraabu mwingi sana
Unaelewa nini kuhusu unwritten katiba ?Fikiria taifa liloweza kuendeshwa kwa miaka zaidi ya mia mbili kama demokrasia bila kuwa na katiba iliyoandikwa na bado raia wake wanaweza kupata haki zao zote, mihimili iko huru na jamii haifarakani kwa sababu ya dhulma au uhuni wa kiutawala wa kisiasa. Wanaingia mawaziri wakuu na kuondoka wakati wowote kwa matakwa ya raia ila serikali iko stable.
Mataifa mengine yanakuwa na katiba iliyoandikwa kuanzia siku ya kwanza yanapoanza kujitawala, haki na wajibu wa kila mtu unainishwa ila haifiki hata miaka 10 watu tayari wameshapoteza kuelewana pamoja, dhulma na uonevu vimetamalaki watu wamepoteza imani kwa watawala na watawala wanafanya hila tu kuendelea kubakia madarakani.
Kuna Wachina nusu milioni Uingereza
Sisi hatuna mashoga ila mbona watu na viongozi wetu hawana akili?Ndio maana mashoga wameshamiri
Wanasema wale waliokuwa wanashiriki ile midahalo kipindi kile Nkuruma House UDSM, kina Jenerali Ulimwengu na wenzake, ni kwa kuwa walikuwa wanasomeshwa na kulishwa bure kwa hiyo walikuwa na muda wa kulumbana halafu wanaenda kula messi na kulala....Na sisi zamani tulikuwa na hiyo midahalo, imepotelea wapi?
Kweli uzalendo haupo.Wanasema wale waliokuwa wanashiriki ile midahalo kipindi kile Nkuruma House UDSM, kina Jenerali Ulimwengu na wenzake, ni kwa kuwa walikuwa wanasomeshwa na kulishwa bure kwa hiyo walikuwa na muda wa kulumbana halafu wanaenda kula messi na kulala....
Vipi kuhusu Japan. Hao jamaa pia wapo civilized sana.Mzungu ndio aliyeleta 'civilization' katika jamii, kwa hiyo bado tunaendelea kujifunza, tutawafikia tu.
Mashoga wameshamiri magomeni na Tanga kuliko hapo LondonNdio maana mashoga wameshamiri
Kwa hiyo Uingereza ni bora kuliko Marekani?Fikiria taifa liloweza kuendeshwa kwa miaka zaidi ya mia mbili kama demokrasia bila kuwa na katiba iliyoandikwa na bado raia wake wanaweza kupata haki zao zote, mihimili iko huru na jamii haifarakani kwa sababu ya dhulma au uhuni wa kiutawala wa kisiasa. Wanaingia mawaziri wakuu na kuondoka wakati wowote kwa matakwa ya raia ila serikali iko stable.
Mataifa mengine yanakuwa na katiba iliyoandikwa kuanzia siku ya kwanza yanapoanza kujitawala, haki na wajibu wa kila mtu unainishwa ila haifiki hata miaka 10 watu tayari wameshapoteza kuelewana pamoja, dhulma na uonevu vimetamalaki watu wamepoteza imani kwa watawala na watawala wanafanya hila tu kuendelea kubakia madarakani.
Japan bado wanapractice tamaduni za ajabu.Vipi kuhusu Japan. Hao jamaa pia wapo civilized sana.
Uingereza kwa Sasa ni tegemezi mno kwa Marekani kiulinzi na hasa kwenye sera zake za nje ......ni kama kibaraka tu wa Marekani.Ndio, tena kwa mbali sana. Tatizo Marekani ina raia wengi sana wajinga karibia 40%.
Uingereza imtegemee Marekani kiulinzi dhidi ya nani au adui gani hasa?!Uingereza kwa Sasa ni tegemezi mno kwa Marekani kiulinzi na hasa kwenye sera zake za nje ......ni kama kibaraka tu wa Marekani.
T14 Armata