Uingereza inavyojitawala. Inawezekana ndio binadamu waliostaarabika kuliko wote duniani

Sisi hatuna mashoga ila mbona watu na viongozi wetu hawana akili?

Kila ugunduzi mpya unafanywa na hawa hawa tunaosema ni mashoga. Na sisi bila aibu tunapokea gunduzi zao, technolojia zo bila kuhoji juu ya ushoga wao.

Kwa kufanya hivyo siyo kwamba na sisi tunasapoti ushoga indirect? Kwa nini tusigomee kabisa bidhaa na technolijia zao kama simu, madawa, vyombo vya usafiri kama ndege, gps, computers, internet n.k?

Tuwagomee wakose hela za kuendeleza mambo yao ya kishoga

Pia kwa nini hao tunaowaita mashoga nchi zao zinamaendeleo kuliko sisi tunaosali sana na kuamini mungu?
Ni mashoga wachache sana huko Ulaya wenye mchango mkubwa kwenye teknolojia. Watu wengi wanaohusika kwenye maendeleo ya kiteknolojia Ulaya sio mashoga
Kwa hiyo usiseme hizi product tunazotumia eti ni za mashoga. Acha kuwapump mashoga wa Ulaya. Wengi wao ni machoko tu kuvaa nguo za kike za bendera za rainbow ili kumfahamisha kila mtu kuwa na yeye ni shoga basi wapate attention. Hivi unawajua vizuri mashoga wa hizo Western countries, hao unaowaita smart?
Yani hata kwao hawapendwi kutwa kuandamana tu.

Unapoongelea teknolojia ni suala lingine, na hao machoko kwa asilimia kubwa hawahusiki
 
Hivi unajua CEO wa Apple wa sasa Tim Cook ni shoga? Unajua hata wale wanaopinga ushoga hapa Tanzania wanatumia apple au wanatamani products za apple?

Kimsingi ushoga wa ulaya upo supported na sisi hilo huwezi kukwepa maana tunapenda sana product toka kwa hao mashoga. Hakuna namna utawakwepa cha muhimu Serikali yetu inayopinga ushoga itangaze kupiga marufuku products za west sababu mostly zinatoka kwa makampuni yanayosupport ushoga bila hivyo ni sawa na kujilisha upepo
 
Hata uchaguzi wao ni simple tu
Siku ya uchaguzi ni siku ya kazi kama kawaida, hakuna vitisho vya polisi. Mgombea akishindwa anakubali matokeo, hakuna malalamiko
Wanaamini kwenye darwinian system, politics sio kwa ajili ya familia flani bali nature yenyewe ndo hiamua,mtu yoyote anaweza ku rise na kuwa pm regardless historia ya familia yake
 
Ni mashoga wachache sana huko Ulaya wenye mchango mkubwa kwenye teknolojia. Watu wengi wanaohusika kwenye maendeleo ya kiteknolojia Ulaya sio mashoga
Kwa hiyo usiseme hizi product tunazotumia eti ni za mashoga. Acha kuwapump mashoga wa Ulaya. Wengi wao ni machoko tu kuvaa nguo za kike za bendera za rainbow ili kumfahamisha kila mtu kuwa na yeye ni shoga basi wapate attention. Hivi unawajua vizuri mashoga wa hizo Western countries, hao unaowaita smart?
Yani hata kwao hawapendwi kutwa kuandamana tu.

Unapoongelea teknolojia ni suala lingine, na hao machoko kwa asilimia kubwa hawahusiki
Alan Turing
Sam Altman
Tim Cook
Lynn Ann Conway
Peter Thiel
 
Ulinzi dhidi ya nani?? NATO ni kwa ajili ya majirani wa Urusi zaidi, UK iko mbali na Urusi.
Kuna tofauti ya kuburuzwa na sera kufanana, sera za mambo ya nje za Uingereza zinaendana zaidi na Marekani na Uingereza ina makampuni mengi nje ya nchi yanahitaji back up ya serikali katika ulinzi wa wafanyakazi wake na assets zake.
 
NATO ni himaya ya Marekani kuendeleza ushawishi na kudhibiti wake kwa ulaya hasa ulaya magharibi huku ikitumia vitisho kutoka China na Urusi kuendeleza himaya hiyo.

Hamna kufanana kwa sera hapo ila ni mmoja analazimika kufuata muongozo na sera za mwingine
 
Hivi unajua CEO wa Apple wa sasa Tim Cook ni shoga? Unajua hata wale wanaopinga ushoga hapa Tanzania wanatumia apple au wanatamani products za apple?

Kimsingi ushoga wa ulaya upo supported na sisi hilo huwezi kukwepa maana tunapenda sana product toka kwa hao mashoga. Hakuna namna utawakwepa cha muhimu Serikali yetu inayopinga ushoga itangaze kupiga marufuku products za west sababu mostly zinatoka kwa makampuni yanayosupport ushoga bila hivyo ni sawa na kujilisha upepo
Steve Jobs ndio ameanzisha Apple. Tim Cook anaendeleza tu. Na whatever Apple ni ya Marekani si Ulaya
Na kwenye technology kupata shoga kama Tim Cook anaongoza kampuni ya tech vizuri ni ngumu sana. Wengi wao sio mashoga
 
Very few
Still proves my point
7% tu ya raia wa Marekani ndio wanatambulika kama mashoga. Ni kama vile ambavyo ni nadra kuwaona Wasomali, Waarabu na Wahindi katika siasa na utumishi wa umma bongo.
 
By the way hivi unajua Hooligans ? Tofautisha kati ya hawa....

1751745634872.png

NA HAWA
1751745691741.png
 
Ni mashoga wachache sana huko Ulaya wenye mchango mkubwa kwenye teknolojia. Watu wengi wanaohusika kwenye maendeleo ya kiteknolojia Ulaya sio mashoga
Kwa hiyo usiseme hizi product tunazotumia eti ni za mashoga. Acha kuwapump mashoga wa Ulaya. Wengi wao ni machoko tu kuvaa nguo za kike za bendera za rainbow ili kumfahamisha kila mtu kuwa na yeye ni shoga basi wapate attention. Hivi unawajua vizuri mashoga wa hizo Western countries, hao unaowaita smart?
Yani hata kwao hawapendwi kutwa kuandamana tu.

Unapoongelea teknolojia ni suala lingine, na hao machoko kwa asilimia kubwa hawahusiki
Huko kwingine siko ila unavo warlezea hao mashoga ni kama umewaweka kwenye walemavu wa akili. Mashoga ni watu kama wengine tuu ambao wanaweza kuwa na kazi za juu na za chini kama watu wengine. Kusema kuwa hawana mchongo nadhani haiwezi kuwa kweli.
 
Fikiria taifa liloweza kuendeshwa kwa miaka zaidi ya mia mbili kama demokrasia bila kuwa na katiba iliyoandikwa na bado raia wake wanaweza kupata haki zao zote, mihimili iko huru na jamii haifarakani kwa sababu ya dhulma au uhuni wa kiutawala wa kisiasa. Wanaingia mawaziri wakuu na kuondoka wakati wowote kwa matakwa ya raia ila serikali iko stable.

Mataifa mengine yanakuwa na katiba iliyoandikwa kuanzia siku ya kwanza yanapoanza kujitawala, haki na wajibu wa kila mtu unainishwa ila haifiki hata miaka 10 watu tayari wameshapoteza kuelewana pamoja, dhulma na uonevu vimetamalaki watu wamepoteza imani kwa watawala na watawala wanafanya hila tu kuendelea kubakia madarakani.
Ushaambiwa na Samia katiba ni kijitabu tu.

Huelewi wapi?
 
Wanabadilisha mawaziri lakini bado gharama za maisha ziko juu.

Moja ya mataifa magumu sana kimaisha ni Uingereza
​
Maisha kweli ni magumu, lakini tunayamudu pia kwa mishahara ambayo tunaishi vizuri tu.

Maisha magumu ukiwa mtu wa kujiachia kwa maisha ya starehe na anasa.

Lakini kwa upande mwingine unaishi Maisha mazuri tu huku ukisaidia na familia.

Nasafiri duniani mara mbili mpaka tatu kwa mwaka, wakati mwingine mara nne

Tena nchi ghali zaidi
Ni jinsi unavyotaka uishi hapa.

Na kazi na biashara ni nyingi sana, labda uwe hujielewi tu

Pamoja na yote hayo na savings tunaweka za kutosha.

Maisha magumu yapo Africa
Unafungua biashara na hutajiriki (kwa wengi)
 
Ushaambiwa na Samia katiba ni kijitabu tu.

Huelewi wapi?
Inawezekana kuna ukweli fulani katika hilo maana Waingereza hawana hicho kijitabu na wanajitawala vizuri sana kuliko wenye nacho.
 
Samia ana bahati mbaya sana ya kutoeleweka katika hili. Mimi nilimuelewa tangu alivyosema hii kauli.

I happen to agree with her on this.

Katiba ni kijitabu tu. Kitu muhimu ni utamaduni wa kuheshimu katiba.

Unaweza kuwa na katiba nzuri sana imeandikwa kwenye kitabu halafu ni useless, kwa sababu watu hawana utamaduni wa kuheshimu katiba. Tanzania hatuheshimu mambo mengi yaliyomo katika katiba.

Halafu unaweza kuwa kama Waingereza. Hawana katiba iliyoandikwa, lakini wana utamaduni wa kuheshimu order hata kuingia kwenye basi wanapanga foleni.

Katiba ni kijitabu tu, kitu muhimu zaidi ni utamaduni wa watu kuheshimu order.

Ila wabongo wamempiga mawe bila kuelewa.

Halafu kwa wanaotaka mabadiliko ya katiba, ile kauli ilikuwa nzuri sana.

Wangesema kama katiba ni kijitabu tu, ibadilishe basi.
 
Back
Top Bottom