Uingereza inavyojitawala. Inawezekana ndio binadamu waliostaarabika kuliko wote duniani

Uingereza inavyojitawala. Inawezekana ndio binadamu waliostaarabika kuliko wote duniani

Siri ya mafanikio ni ‘civil services’ imara.

View: https://m.youtube.com/watch?v=oLU-Evdlt-A&pp=ygUaeWVzIG1pbmlzdGVyIGZ1bGwgZXBpc29kZXM%3D

☝️Hiyo comedy satire ina akisi 90% ya uhalisia U.K. inavyoongozwa.

Huko katibu mkuu, pamoja na senior posts za wizarani au taasisi za serikali sio za wa mtu wa kubahatisha kabisa.

Karibu wote ni upper first class na wengi ni Oxford, Cambridge na London School of economics graduates.

Wazungu kwa ujumla huko kwenye siasa fanyeni mzaha. Lakini civil services hasa seniors hizo sio nafasi za kubahatisha.

View: https://m.youtube.com/watch?v=91JFYP52Mf0&pp=ygUaeWVzIG1pbmlzdGVyIGZ1bGwgZXBpc29kZXM%3D

It’s weekend kama unapenda politics, above clips will help you relax, laugh whilst holding a glass of whatever poison gets you.

Lakini wazungu (developed nations) hawategemei politicians kabisa kwa stability yao.
 
CULTURE IS SUPREME.

Mkishakuwa jamii ya watu wenye tamaduni za ubabaishaji na ujanja
ujanja, hata muandike katiba nzuri kiasi gani, lazima ubabaishaji utashika hatamu katika Taifa.

Kuna wengine nao naona wanakuja humu na vinyuzi vyao vya ujasusi uchwara ati "code" sijui "fungua code", we have become a nation where toms and jerries dictate where we should go.

Mwakani nikiwa mkuu wa Mkoa wa Dar ntawaonyesha vile nchi inapaswa kwenda. Samia aniweke pale, niliadabishe jiji mpaka wahuni wote wanyooke kama rula.

Hatutaki kuwa na mila za kijanja janja, mara sijui kila mtu anajifanya afisa usalama! we need a country with responsible citizens.

AIONE KWENYE JALADA: Lucas Mwashambwa
 
Fikiria taifa liloweza kuendeshwa kwa miaka zaidi ya mia mbili kama demokrasia bila kuwa na katiba iliyoandikwa na bado raia wake wanaweza kupata haki zao zote, mihimili iko huru na jamii haifarakani kwa sababu ya dhulma au uhuni wa kiutawala wa kisiasa. Wanaingia mawaziri wakuu na kuondoka wakati wowote kwa matakwa ya raia ila serikali iko stable.

Mataifa mengine yanakuwa na katiba iliyoandikwa kuanzia siku ya kwanza yanapoanza kujitawala, haki na wajibu wa kila mtu unainishwa ila haifiki hata miaka 10 watu tayari wameshapoteza kuelewana pamoja, dhulma na uonevu vimetamalaki watu wamepoteza imani kwa watawala na watawala wanafanya hila kuendelea kubakia madarakani tu.
Naona raia wengi wanalalamika kuwa taifa lao linaelekea kuwa third world country hasa kwa sasa watu wengi wanashindwa kumudu gharama za maisha wamekuwa homeless, miundombinu kama barabara zina mashino, au ni za kizamani, uchafu umeanza kutapakaa mijini, wahamiaji wanaleta uhalifu. Mfano kuna tuhuma kuwa wahamiaji wenye asili ya pakstan walikuwa wanaendesha uhalifu wa kubaka wanawake. Ila polisi baada ya kuchunguza wakawa wanaogopa kusema kuwa wanaobaka ni raia wa pakstan kwa sababu waliogopa watasemwa kuwa ni wabaguzi hivyo wakaacha kuchukua hatua.
Na demokrasia yao ila kiuchumi now wako hoi
 
Hilo ni swala lingine kuwa mstaarabu haikufanyi usipitie magumu
Magumu ni sehemu ya maisha na kuna magumu ni matokeo ya kukosekana na ustaarabu

Magumu mengi ya afrika yanatokana na kukosekana na ustaarabu
 
Naona raia wengi wanalalamika kuwa taifa lao linaelekea kuwa third world country hasa kwa sasa watu wengi wanashindwa kumudu gharama za maisha wamekuwa homeless, miundombinu kama barabara zina mashino, au ni za kizamani, uchafu umeanza kutapakaa mijini, wahamiaji wanaleta uhalifu. Mfano kuna tuhuma kuwa wahamiaji wenye asili ya pakstan walikuwa wanaendesha uhalifu wa kubaka wanawake. Ila polisi baada ya kuchunguza wakawa wanaogopa kusema kuwa wanaobaka ni raia wa pakstan kwa sababu waliogopa watasemwa kuwa ni wabaguzi hivyo wakaacha kuchukua hatua.
Na demokrasia yao ila kiuchumi now wako hoi
Raia wanalalamika kuhusu uhamiaji ila sio wengi ndio maana vyama vya wanasiasa anti-immigration kama Nigel Farage havishindi uchaguzi kuweza kuunda serikali.
Hizo story za uchumi wa Uingereza uko hoi ni story tu za vijiweni, uchumi uko huo na wanagawa misaada kote duniani na kupeleka silaha Ukraine.
 
Back
Top Bottom