Itafikia mahali asilimia kubwa ya binadamu watakuwa wanaishi kwenye cages kama kuku(ghorofa zenye tu apartments tudogo tudogo).Kitu chochote kikishakuwa kingi kupitiliza kinakosa thamani. Binadamu ni zaidi, mkishazaliana mkawa wengiii, mnakosa thamani, hosp wodini mnalundikwa kama mbuzi, unafika una tatizo la mapafu, kuna wenzako 1000 wanashida ya moyo, figo, maini unakuwa hauna uspecial wowote. Usafiri mnakuwa kama ng'ombe, ajira hazitoshi, mnaaza kutapeliana, upendo unapungua wageni mnawaona maadui n.k n.k.
Nchi nyingi zinataka wageni wa quality fulani, watu wenye vipaji na matajiri. Hawataki uende ukawe mzigo tena kwa taifa lao, kuchukua ajira nyepesi, kuongeza msongamano kwenye huduma na kuchukua mali za wazawa/wenyeji.Kiuhalusia sidhani kama Kuna nchi wanapenda wageni ,Hilo ni swala lipo naturally hivyo,
Utaambiwa ni freemason umetumwa na Bill Gates kufanya agenda ya depopulation🤣Kitu chochote kikishakuwa kingi kupitiliza kinakosa thamani. Binadamu ni zaidi, mkishazaliana mkawa wengiii, mnakosa thamani, hosp wodini mnalundikwa kama mbuzi, unafika una tatizo la mapafu, kuna wenzako 1000 wanashida ya moyo, figo, maini unakuwa hauna uspecial wowote. Usafiri mnakuwa kama ng'ombe, ajira hazitoshi, mnaaza kutapeliana, upendo unapungua wageni mnawaona maadui n.k n.k.
Kwani UK kuna Ukristo si wameukacha kwa sababu ni tatizo au vipi ??Waarabu na Uislam wao ni tatizo kubwa
Na yeye acha ashughulikiwe ipasavyo. Wanatakiwa waanze naye huyo dogo Cockroach.
Mkuu tupatie chanzo chako cha habari.Ni chuki tu walizonazo hata yule aliyetaka kumuuwa Trump kumbe ni myahudi lakini waliyeyusha kwanza, lakini siku hizi ukweli ni rahisi kujulikana
Mkuu tupatie chanzo chako cha habari.
Uhamiaji ndio tatizo kubwa zaidi, nationalists na far-rights wanatafuta sababu yoyote ya kisingizio kulianzisha, ni kama bomu la kutegwa linalosubiria liguswe kidogo tu lilipuke.Mbona aliyeua huko Uingereza ni kijana wa Kiingereza mwenye Asili ya Kitutsi ambae ni Mkristo?
Hiyo ya kwamba mpiga risasi Trump ni huyo uliye mtajaHabari ipi ??
Bukayo Saka akifunga Goli Manazi wanashangilia kuwa Waingereza wameshinda lakini ikitokea kafanya uhalifu kwamba hawataki ni muhamiaji?Uhamiaji ndio tatizo kubwa zaidi, nationalists na far-rights wanatafuta sababu yoyote ya kisingizio kulianzisha, ni kama bomu la kutegwa linalosubiria liguswe kidogo tu lilipuke.
Hiyo ya kwamba mpiga risasi Trump ni huyo uliye mtaja
Bukayo Saka akifunga Goli Manazi wanashangilia kuwa Waingereza wameshinda lakini ikitokea kafanya uhalifu kwamba hawataki ni muhamiaji?
Mzungu akiua weusi 20 anaitwa Shujaa.
Nazi na Wabaguzi wa Rangi huwa hawana hoja zaidi ya Rangi ya Ngozi.
Unamjua John Sentamu?hawa si ndio wenye kuujuwa ukristo na kanisa lao la Anglikan linaongozwa na mzungu tu hakuna mwafrika kama wacatholics
Kijana, "utumwa" ni nembo tu, ni biashara amabyo ipo mpaka leo imebadilishwa nembo tu.Ushetani wa kwanza "kuletwa" Africa na wageni ilikuwa ni biashara ya watumwa iliyofanywa na Waarabu.
Uk hawana waziri wa kihindi,walishafyeka kichwa kitambo sanaaaWaziri mkuu wao ni mhindi, Naye watamrudisha kwao?
Unamjua John Sentamu?
British mob lynches black man in Manchester as violent protests continue | Video
A video that has gone viral on social media shows a violent mob in Manchester, UK attacking a black man. The mob, all white men and women, can be seen kicking and punching the man until police intervewww.pakistantoday.com.pk