Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Putin ajiandae kupelekewa moto kutoka Uingereza mwendo ni ule ule [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Wakati wanahangaika kufanya mabadiliko kwenye hizo serikali zao, mbabe wao Putin anawachora tu.
Hana jeuri hiyo. Maana yeye mwenyewe anatambua fika ni mtoto mdogo sana kwa Vladmir Putin.Putin ajiandae kupelekewa moto kutoka Uingereza mwendo ni ule ule [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Liz Truss -Well done UK
Atakujaje mtu tu mgeni aiongoze Uingereza
Asia wanaviherehere sana
Wenye nchi yao hawataki upuuzi
Ni wapuuzi sanaHawa jamaa wanaziponda nchi za kifalme au zile za kurithishana uraia kifamilia wanasema hazina demokrasia!Ila wao wanasahau kuwa Wana Royal family ambao ndio wenye nchi!Barua ya Kujiuzulu Boris aliandikiwa Malkia!Maana yake ni boss wake!
Sio kweli Queen ana nguvu vibaya mno...Kwao, bunge ndilo lenye nchi.
Hata huyo malkia unayemuona hivi sasa alipatikana kwa mujibu wa sheria zilizotungwa na bunge miaka ya nyuma.
Vilevile, bunge linaweza kumuondoa madarakani likiamua. Isitoshe, limeshawahi kufanya hivyo miaka ya nyuma.
Pitia historia kuhusu kile kilichomkuta Mfalme Charles wa Kwanza pale alipojaribu kupuuza maamuzi ya bunge la Uingereza.
Tatizo ya Liz Truss ni kwamba atashababisha anguko la paundi Kwa kutaka kukata Kodi kwanza badala ya kuongeza riba, wazo la Rish Sunak ilikuwa wazo Bora, na Sunak angeijenga hadhi ya paundi na vitu vingeshuka bei nchini Uingereza.Graham Brady, Mwenyekiti wa Kamati ya 1922 ya kundi la Wabunge wa Conservative ambao si Mawaziri wa Serikali amemtangaza Truss kuwa mrithi wa Boris Johnson aliyelazimika kujiuzulu baada ya shinikizo la Mawaziri waliodai kutokuwa na imani naye
Matokeo hayo yametokana na Kura za wanachama wa Conservative ambao ni takriban watu 180,000 wanaolipia kuwa wanachama wa chama hicho, kati ya watu milioni 65 wanaoishi Uingereza ambapo Truss amepata zaidi ya Kura 80,000
Upigaji Kura ulifanywa kwa njia ya Posta na ulimalizika Septemba 2,2022.
============================
Truss takes over 80,000 votes
Sir Graham Brady has given some numbers on the margin of Liz Truss' victory over Rishi Sunak.
He says Truss won 81,326 votes compared to Sunak’s share of 60,399 votes.
Brady adds there was a turnout of 82.6%
============================
The next prime minister of the U.K. will be announced Monday following a grueling, and at times bitter, leadership contest within the ruling Conservative Party.
The announcement is expected at 12:30 p.m. London time and will be delivered by Graham Brady, the chair of the 1922 Committee, which is a group of Conservative Members of Parliament who aren’t government ministers.
The leadership election was triggered when current Prime Minister Boris Johnson announced he would be resigning on July 7. It came after a wave of ministers and backbenchers resigned, with many voicing a lack of confidence in their party leader.
Johnson has stayed on as caretaker PM while the party decided between the candidates.
He has not yet formally resigned from office, as he must first attend an audience with Queen Elizabeth II to officially inform her that he is stepping down.
Sunak or Truss?
The next prime minister will be either current Foreign Secretary Liz Truss or former Finance Minister Rishi Sunak, after the pair made it to the final stage of the eight-candidate leadership contest.
Truss has been a firm front-runner in the contest among Conservative Party members.
Truss and Sunak have come head-to-head at 12 campaign events over the last eight weeks to try to win over party members.
They have set out their views on the Bank of England’s mandate, tax cuts and the controversial plan to deport migrants to Rwanda, as well as the U.K.’s worsening cost-of-living crisis.
The result was chosen exclusively by members of the Conservative Party — that’s around 180,000 people by the most recent count who pay to be a member of the party, out of the 65 million people living in the U.K.
The vote was carried out as a postal ballot which closed on Sept. 2.
CNBC
km Yule wazir mkuu wa Pakistan angekuwa na akili za akina Ghadaf na Sadam bas leo hii Pakistan ingekuwa jehanamu , kiongoz lzm uthamin uhai wa raia wako na sio kuweka uroho wa madaraka mbeleGraham Brady, Mwenyekiti wa Kamati ya 1922 ya kundi la Wabunge wa Conservative ambao si Mawaziri wa Serikali amemtangaza Truss kuwa mrithi wa Boris Johnson aliyelazimika kujiuzulu baada ya shinikizo la Mawaziri waliodai kutokuwa na imani naye
Matokeo hayo yametokana na Kura za wanachama wa Conservative ambao ni takriban watu 180,000 wanaolipia kuwa wanachama wa chama hicho, kati ya watu milioni 65 wanaoishi Uingereza ambapo Truss amepata zaidi ya Kura 80,000
Upigaji Kura ulifanywa kwa njia ya Posta na ulimalizika Septemba 2,2022.
============================
Truss takes over 80,000 votes
Sir Graham Brady has given some numbers on the margin of Liz Truss' victory over Rishi Sunak.
He says Truss won 81,326 votes compared to Sunak’s share of 60,399 votes.
Brady adds there was a turnout of 82.6%
============================
The next prime minister of the U.K. will be announced Monday following a grueling, and at times bitter, leadership contest within the ruling Conservative Party.
The announcement is expected at 12:30 p.m. London time and will be delivered by Graham Brady, the chair of the 1922 Committee, which is a group of Conservative Members of Parliament who aren’t government ministers.
The leadership election was triggered when current Prime Minister Boris Johnson announced he would be resigning on July 7. It came after a wave of ministers and backbenchers resigned, with many voicing a lack of confidence in their party leader.
Johnson has stayed on as caretaker PM while the party decided between the candidates.
He has not yet formally resigned from office, as he must first attend an audience with Queen Elizabeth II to officially inform her that he is stepping down.
Sunak or Truss?
The next prime minister will be either current Foreign Secretary Liz Truss or former Finance Minister Rishi Sunak, after the pair made it to the final stage of the eight-candidate leadership contest.
Truss has been a firm front-runner in the contest among Conservative Party members.
Truss and Sunak have come head-to-head at 12 campaign events over the last eight weeks to try to win over party members.
They have set out their views on the Bank of England’s mandate, tax cuts and the controversial plan to deport migrants to Rwanda, as well as the U.K.’s worsening cost-of-living crisis.
The result was chosen exclusively by members of the Conservative Party — that’s around 180,000 people by the most recent count who pay to be a member of the party, out of the 65 million people living in the U.K.
The vote was carried out as a postal ballot which closed on Sept. 2.
CNBC
Hujamuita T14 ArmataVizuri, aje aendelee kupeleka silaha Ukraine
Huyu mwamba unakubali sana chambuzi zake ?...ndio maana unanikumbusha nim-tag ?Hujamuita T14 Armata
Utaratibu wenye ridhaa ya wananchi ndio unaopaswa kuheshimiwa na wananchi. Utaratibu huo ni tofauti na ule wa kuwekwa na kikundi cha wachache wakipokezana madaraka kidikteta.Lakini kikubwa ni kwamba familia Moja ndio inaendelea kuongoza nchi!Huo utaratibu wameuweka wao,basi waheshimu na taratibu zilizowekwa na nchi nyingine!Sio mpaka tufanane na wao Kwa kila kitu!
Kwa Uingereza Nchi iliyoasisi Bunge, Wanawake wameshika nafasi za juu sana Ufalme na Uwaziri mkuu.Hawa wanawake naona wanakuja..
Uingereza kipaumbele cha resistance hakijaanza leo, huo ni utamaduni wake na uko kwenye damu. Hiyo ndio huwafanya wahusike kila major wars duniani. Hata aje mwenye asili ya Congo atalazimika afuate wanachoamini raia. Inawagharimu kiasi chakeLiz usiiache Ukraine
Viongozi wazuri wa Uingereza walikuwa wengi wanawake. Queen Victoria hadi an entire era of history ikapewa jina lake 'Victorian era' na kalikuwa kafupi pia kanene. Queen Mary, the Tudor Queen alileta reforms hadi akaitwa Bloody Mary kwa ugomvi wake, Queen Elizabeth I (the Virgin Queen) anakubalika kihistoria.Kwa Uingereza Nchi iliyoasisi Bunge, Wanawake wameshika nafasi za juu sana Ufalme na Uwaziri mkuu.
Nguvu unazoziona anazo ni kwa sababu ya bunge la Uingereza. Tafuta historia.Sio kweli Queen ana nguvu vibaya mno...