Kwa nini na nyie msimchague Kinana awe rais wenu badala ya kumpa tu umakamu wa chama chenu ili muonyeshe mfano.Jamaa wamechagua kumpa Mwingereza kuliko yule Mhindi pamoja na madhaifu mengi aliyonayo kulinganisha na Mhindi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini na nyie msimchague Kinana awe rais wenu badala ya kumpa tu umakamu wa chama chenu ili muonyeshe mfano.Jamaa wamechagua kumpa Mwingereza kuliko yule Mhindi pamoja na madhaifu mengi aliyonayo kulinganisha na Mhindi.
Hawa jamaa wanaziponda nchi za kifalme au zile za kurithishana uraia kifamilia wanasema hazina demokrasia!Ila wao wanasahau kuwa Wana Royal family ambao ndio wenye nchi!Barua ya Kujiuzulu Boris aliandikiwa Malkia!Maana yake ni boss wake!
Wakati wanahangaika kufanya mabadiliko kwenye hizo serikali zao, mbabe wao Putin anawachora tu.
Lakini kikubwa ni kwamba familia Moja ndio inaendelea kuongoza nchi!Huo utaratibu wameuweka wao,basi waheshimu na taratibu zilizowekwa na nchi nyingine!Sio mpaka tufanane na wao Kwa kila kitu!
We mpuuzi huelewi Nini? Utamaduni wa UK msilazimishe ufanane na tamaduni za nchi nyingine!Kama wananchi wa Saudi Arabia hawana shida na mfumo wa utawala wao,ninyi west unawahusu Nini mpak mtake mfumo wenu ndio ukubalike duniani kote?Kenge kabisa!Kajifunze kuhusu constitutional monarchy wewe kilaza.
Ni ujuha zaidi kuufananisha Ufalme wa malikia Elizabeth na wa Saudi Arabia.
We mpuuzi huelewi Nini? Utamaduni wa UK msilazimishe ufanane na tamaduni za nchi nyingine!Kama wananchi wa Saudi Arabia hawana shida na mfumo wa utawala wao,ninyi west unawahusu Nini mpak mtake mfumo wenu ndio ukubalike duniani kote?Kenge kabisa!
Boris Johnson leo mchana atakwenda kumwona Malkia wa Uingereza Elizabeth wa pili kuwasilisha rasmi hati ya kujiuzulu na kesho Liz Truss pia atafuata kwa kuwasilisha hati ya utambuzi ya kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza na kisha kukaribishwa na Malkia Elizabeth wa pili kuunda Baraza la Mawaziri.