Uingereza: Liz Truss achaguliwa kuwa Waziri Mkuu

Putin ajiandae kupelekewa moto kutoka Uingereza mwendo ni ule ule [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hana jeuri hiyo. Maana yeye mwenyewe anatambua fika ni mtoto mdogo sana kwa Vladmir Putin.
 
Yule muhindu aluwekwa stategies kuwafinya watu fulani ila wamemgomea
Liz Truss -Well done UK
Atakujaje mtu tu mgeni aiongoze Uingereza
Asia wanaviherehere sana
Wenye nchi yao hawataki upuuzi
 
Wakinamama wanapasua sana kipindi hiki cha 2020's ktk uongozi
 
Hawa jamaa wanaziponda nchi za kifalme au zile za kurithishana uraia kifamilia wanasema hazina demokrasia!Ila wao wanasahau kuwa Wana Royal family ambao ndio wenye nchi!Barua ya Kujiuzulu Boris aliandikiwa Malkia!Maana yake ni boss wake!
Ni wapuuzi sana
 
Sio kweli Queen ana nguvu vibaya mno...
 
Tatizo ya Liz Truss ni kwamba atashababisha anguko la paundi Kwa kutaka kukata Kodi kwanza badala ya kuongeza riba, wazo la Rish Sunak ilikuwa wazo Bora, na Sunak angeijenga hadhi ya paundi na vitu vingeshuka bei nchini Uingereza.
Kuchaguliwa kwa Truss inaweza kuwa kengele kwa wawekezaji wa fedha ya paundi kwamba watoe pesa zao haraka sana.
 
km Yule wazir mkuu wa Pakistan angekuwa na akili za akina Ghadaf na Sadam bas leo hii Pakistan ingekuwa jehanamu , kiongoz lzm uthamin uhai wa raia wako na sio kuweka uroho wa madaraka mbele
 
Lakini kikubwa ni kwamba familia Moja ndio inaendelea kuongoza nchi!Huo utaratibu wameuweka wao,basi waheshimu na taratibu zilizowekwa na nchi nyingine!Sio mpaka tufanane na wao Kwa kila kitu!
Utaratibu wenye ridhaa ya wananchi ndio unaopaswa kuheshimiwa na wananchi. Utaratibu huo ni tofauti na ule wa kuwekwa na kikundi cha wachache wakipokezana madaraka kidikteta.

Haijalishi inaongoza familia moja ama mtu binafsi, suala la msingi ni wananchi kwa wingi wao ama kwa kupitia wawakilishi wao (bunge) kuridhia huo utaratibu.
 
Liz usiiache Ukraine
Uingereza kipaumbele cha resistance hakijaanza leo, huo ni utamaduni wake na uko kwenye damu. Hiyo ndio huwafanya wahusike kila major wars duniani. Hata aje mwenye asili ya Congo atalazimika afuate wanachoamini raia. Inawagharimu kiasi chake
 
kweli Mbususu ina nguvu
jombaa Rishi Sunak alikimbiza tangu voting za mwanzo kabisa
 
Waziri Mkuu wa Uingeleza ni mtu muhimu duniani, ila Ulinzi wake wa kawaida
Marais wa Afrika ulinzi kama rais wa marekani
 
Kwa Uingereza Nchi iliyoasisi Bunge, Wanawake wameshika nafasi za juu sana Ufalme na Uwaziri mkuu.
Viongozi wazuri wa Uingereza walikuwa wengi wanawake. Queen Victoria hadi an entire era of history ikapewa jina lake 'Victorian era' na kalikuwa kafupi pia kanene. Queen Mary, the Tudor Queen alileta reforms hadi akaitwa Bloody Mary kwa ugomvi wake, Queen Elizabeth I (the Virgin Queen) anakubalika kihistoria.

Hata PM Margareth somehow hakuwa mbaya wala. Queen Elizabeth II ni longest serving monarch wa Britain. Hawa wana bahati na viongozi wa kike ila sina imani sana na Liz. Kwanza wananchi ni too demanding hata kutimiza malengo ni vigumu
 
Sio kweli Queen ana nguvu vibaya mno...
Nguvu unazoziona anazo ni kwa sababu ya bunge la Uingereza. Tafuta historia.

Mfalme Charles wa Kwanza alikuwa na nguvu kiutawala nchini Uingereza kuliko huyu Malkia Elizabeth wa sasa. Alijilimbikizia madaraka na kudharau bunge. Matokeo yake, bunge lilimuadhibu kifo.

Tangu hapo, madaraka makubwa ya Ufalme wa Uingereza yamehamishiwa kwenye bunge la Uingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…