Ni taratibu zao walizokubaliana kwenye demokrasia ya mataifa hayo. We unadhani wanatumia katiba za kikoloni?Mbona hawajawaambia Amerika wanaochaguliwa Rais na Electro College badala ya sanduku la kura lililo la wapiga kura wote? Mbona wao Uingereza wana utawala wa kifalme lakini hatuyaingilii mambo yao? Na wao wauondoe utawala wa kifalme maana unatusikitisha sana....!!!
Sio kwamba huna akiri sema zimesimama. Ujinga ulofanywa na Magufuli ni wakiwango cha wapumbavu. Yahani unaita watendaji unawatisha unawazuia wasipokee form za vyama kinzani afu unapongeza upumbavu huu, muda ni mwalimu na wakati ni ukuta.Wenyewe hawajielewi na wanahali mbaya. Waache unafiki na kujikuna ambako hawawashwi.
God bless Tanzania!
Hakuna usawa embu taja nchi unayoijua ina usawa kwenye siasa za ushindani duniani?Hakuna usawa kwenye uwanja wa siasa inapokuja kwenye uhalisia, halafu eti unasema “wanataka wabembelezwe”, is this a rational thinking?
Otherwise unatizama kwa macho ya kishabiki.
Mwogope Mungu, Vyama vyote vinaruhusiwa kufanye kampeni wakati wa uchaguzi. Wabunge wanaruhusiwa kufanya mikutano kwenye majimbo yao kwa kufuata taratibu na kanuni tulizojiwekea. kampeni zikiisha ni wakati wa kufanya kazi. hata nchi kubwa kama USA au UK wakati wa kampeni unajulikana, huwezi kufanya kampeni kila siku, mwaka mzima.Katiba ya Tanzania inaruhusu uchafu huu ?
View attachment 1275132
Nadhani boycot yao ni moja kati ya strategy nzuri kwa sasa.Watanzania mkiwa nafkira kwamba mapambano ya demokurasia nchini yatafanywa na nchi za Ulaya na Marikani naona kama hiyo ni dhana potofu......kabla ya uingereza kusikitika nyie mmefanya nini kupambana na hiyo hali?
Katiba ya Tanzania siyo nepi ambayo kila mtoto anaruhusiwa kukojolea , badala ya kutunga uongo wa kuhusisha USA na UK mnatakiwa kuheshimu Katiba ya Nchi , Wanafiki wakubwa nyie !!Mwogope Mungu, Vyama vyote vinaruhusiwa kufanye kampeni wakati wa uchaguzi. Wabunge wanaruhusiwa kufanya mikutano kwenye majimbo yao kwa kufuata taratibu na kanuni tulizojiwekea. kampeni zikiisha ni wakati wa kufanya kazi. hata nchi kubwa kama USA au UK wakati wa kampeni unajulikana, huwezi kufanya kampeni kila siku, mwaka mzima.
balozi wa Uingeleza haitwi kienyeji enyeji kama unavyofikiri - hapo Wizara lazima itoe maelezo ya kina. ...hivi ndiyo viashiria kuelekea 2020
Kama unavyokuandama weweKuwa independent includes being able to solve ur own issues, Kama kuna mtu anahisi shida zake hawezi kuzitatua mwenyewe basi bado ukoloni unamuandama.
Hapo unalinganisha kichuguu na mlimaMbona hawajawaambia Amerika wanaochaguliwa Rais na Electro College badala ya sanduku la kura lililo la wapiga kura wote? Mbona wao Uingereza wana utawala wa kifalme lakini hatuyaingilii mambo yao? Na wao wauondoe utawala wa kifalme maana unatusikitisha sana....!!!
Mjinga utamjua tu,ya humu ndani huyajui,utayajuaje ya nchi za wenzetu?Mwogope Mungu, Vyama vyote vinaruhusiwa kufanye kampeni wakati wa uchaguzi. Wabunge wanaruhusiwa kufanya mikutano kwenye majimbo yao kwa kufuata taratibu na kanuni tulizojiwekea. kampeni zikiisha ni wakati wa kufanya kazi. hata nchi kubwa kama USA au UK wakati wa kampeni unajulikana, huwezi kufanya kampeni kila siku, mwaka mzima.
Ni upumbavu kusababisha matatizo kwa mambo yasiyohitaji mizaha.Wengine utafuta wanasheria makini na kuonyesha were the ‘conflict of interest lies’ mahakamani na kupinga kama issue ni usimamizi.
Swala la wagombea serikari ilikubali makosa na kurudisha wote walioenguliwa, nini zaidi ulitaka wafanye?
People take those matters to court walishinda kesi ya malalamiko ina maana mahakama za nchi zinatoa haki, wakashindwa kwenye rufaa.Ni upumbavu kusababisha matatizo kwa mambo yasiyohitaji mizaha.
Hapakuwa na nia njema, malalamiko yamekuwapo tangu wizara kupewa mamlaka ya uchaguzi
Unajua kule ng'ambo ya Atlantic ni kwa vile mwenye kigoda naye yuko kikaangoni vinginevyo angesha ijambisha hii Gangster admin kwa uhuni wao.Huyu mtu mkatieni mikopo na misaada atanyooka ingawa sisi ndio tutaumia zaidi.
Nadhani ni vyema umlaumu Nyerere kwa kuziondoa tawala za machief sio wao.Mbona hawajawaambia Amerika wanaochaguliwa Rais na Electro College badala ya sanduku la kura lililo la wapiga kura wote? Mbona wao Uingereza wana utawala wa kifalme lakini hatuyaingilii mambo yao? Na wao wauondoe utawala wa kifalme maana unatusikitisha sana....!!!
You will never win people of this era.Hakuna usawa embu taja nchi unayoijua ina usawa kwenye siasa za ushindani duniani?
Ata US kama huna rich backers kwenye campaign and media backup your good as dead in the election.
Ukienda nchi kama India BHJ and Congress kwa uwezo wao wa kifedha ikifika kipindi cha campaign vyama vidogo vikienda remote areas wanakuta washakodi chopper zote ata kama awazitumii wagombea wa vyama vidogo wasifike vijijini.
Hakuna nchi ambayo siasa zina usawa, kwa mtu asiweza fitna siasa sio uwanja wake.
CDM na upinzani kwa ujumla ni wachanga kuchukua nchi kama Tanzania inataka kuwa long term goals na short goals.
Short terms goal ni kutaka kuona wananchi wanazoea kuona viongozi wa vyama vingine wakitatua matatizo yao ya kila siku huko mtaani na kuwatengeneza kisaikolojia mazoea ya watu wengine zaidi ya CCM kama viongozi.
Mtu kama Mbowe na selfish motives zake hajui hayo umuhimu wake tactically unasusa kwa faida ya nani; changamoto zipo kwa upinzani ila nao mbinu hawana muhimu kwenye siasa ni kuaminika na wananchi sio watu wachache wanaolamba miguu na wanaosifia hata maamuzi mabovu ya mwenyekiti.
Chunga kauli zako CCM ilivyo kwa tabia mwakani itarudia kuwaengua tena wanasiasa wa upinzani kwa hila tu kuonyesha hao watu wapo kimaslahi yao sio ya nchi maana na wanajua watapambana tu majina yao kurudishwa na hawatasusia uchaguzi; I can bet on that.
Intended agenda ili wasishiriki kampeni wapoteze muda mahakamani?.People take those matters to court walishinda kesi ya malalamiko ina maana mahakama za nchi zinatoa haki, wakashindwa kwenye rufaa.
Kama waliamini msimamo wao ni sahihi kwanini wasingekata rufaa mpaka mahakama za juu zaidi hadi kufikia ngazi EA?
Ni hivi hawa watu ni wapenda kumbelezwa au kutafuta public and international sympathy tu; but not fighting soldiers ready to protect their rights.
Mkuu kamwe usiquote maneno yangu kama huna jambo la maana.Kama unavyokuandama wewe
Katiba ya Tanzania siyo nepi ambayo kila mtoto anaruhusiwa kukojolea , badala ya kutunga uongo wa kuhusisha USA na UK mnatakiwa kuheshimu Katiba ya Nchi , Wanafiki wakubwa nyie !!