Uingereza yasikitishwa na yaliyotokea kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa nchini Tanzania

Eti Boycot ndio nini maana yake ??yaani uchaguzi wetu ni koti la mvulana au amemaanisha nini huyu shingo ndefu.
 
Unajua kule ng'ambo ya Atlantic ni kwa vile mwenye kigoda naye yuko kikaangoni vinginevyo angesha ijambisha hii Gangster admin kwa uhuni wao.

Hakuna lolote, zile zama za kijikomba komba zimeisha, tunaweza kujitegemea sisi wenyewe. Kwani mnafikiri kwa nini JPM hana mpango wa kwenda kuwatembelea? Nchi yetu ni Tajiri, wenye shida zao waje wapige magoti kwetu ...... ..... hiyo ndio habari ya mjini. Tunajenga Bwawa la Mwl Nyerere, Tunajenga barabara nane Dar - Chalinze, tunajenga SGR, tunanunua ndege za kusafiri, tunajenga barabara zetu sisi wenyewe etc. Zile hadithi za kusubiri IMF na World Bank zimepitwa na wakati. Hapa Kazi tu.
 
CCM hawana hati milki ya nchi hii. Toka uhuru ni blah blah tu.

Huko kote ulikotaja rais anaweza kutumia vyombo vya dola kudhibiti vyama vingine? Tumia akili mkuu unapotoa mifano.
 
Dah,nchi hii naona kama wajinga bado wengi ni kama hawapungui vile....!!!
 
 



Yao yanawashinda.
 
Nadhani boycot yao ni moja kati ya strategy nzuri kwa sasa.
Bado serikali yetu inategemea mahusiano mazuri na nchi za nje hii inawaondolea credit na inawauma kweli kweli
Mkuu boycott haifanyi kazi Africa hawana aibu kabisa, hapo utakua ndoumemsaidia kabisa
 
Madam nakuonea sana huruma maana Kabud huwa anajibu neno baada ya neno
 
November 28, 2019
Unguja , Zanzibar

Mbinyo wa kidiplomasia wa balozi za nje Tanzania, waitikisa CCM (mpya)

Kufuatia matamko ya balozi za nje zenye wakilishi wao Tanzania kuhusu kutoridhishwa na hali ilivyokwenda ktk Chaguzi za Serikali za Mitaa na Vijiji chama cha CCM kimetoa onyo kwa balozi hizo na kutaka mawaziri wa Tanzania kutotoa ushirikiano au kuitikia miadi ya mabalozi hao ama sivyo mawaziri hao wa serikali ya Tanzania watatimuliwa kazi na chama kilichoshika hatamu ya uongozi za kusiasa na serikali ya Tanzania yaani chama kikongwe cha CCM.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…