Range rover
Senior Member
- Nov 22, 2016
- 186
- 195
Eti Boycot ndio nini maana yake ??yaani uchaguzi wetu ni koti la mvulana au amemaanisha nini huyu shingo ndefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua kule ng'ambo ya Atlantic ni kwa vile mwenye kigoda naye yuko kikaangoni vinginevyo angesha ijambisha hii Gangster admin kwa uhuni wao.
Mjinga utamjua tu,ya humu ndani huyajui,utayajuaje ya nchi za wenzetu?
CCM hawana hati milki ya nchi hii. Toka uhuru ni blah blah tu.Hakuna usawa embu taja nchi unayoijua ina usawa kwenye siasa za ushindani duniani?
Ata US kama huna rich backers kwenye campaign and media backup your good as dead in the election.
Ukienda nchi kama India BHJ and Congress kwa uwezo wao wa kifedha ikifika kipindi cha campaign vyama vidogo vikienda remote areas wanakuta washakodi chopper zote ata kama awazitumii wagombea wa vyama vidogo wasifike vijijini.
Hakuna nchi ambayo siasa zina usawa, kwa mtu asiweza fitna siasa sio uwanja wake.
CDM na upinzani kwa ujumla ni wachanga kuchukua nchi kama Tanzania inataka kuwa long term goals na short goals.
Short terms goal ni kutaka kuona wananchi wanazoea kuona viongozi wa vyama vingine wakitatua matatizo yao ya kila siku huko mtaani na kuwatengeneza kisaikolojia mazoea ya watu wengine zaidi ya CCM kama viongozi.
Mtu kama Mbowe na selfish motives zake hajui hayo umuhimu wake tactically unasusa kwa faida ya nani; changamoto zipo kwa upinzani ila nao mbinu hawana muhimu kwenye siasa ni kuaminika na wananchi sio watu wachache wanaolamba miguu na wanaosifia hata maamuzi mabovu ya mwenyekiti.
Chunga kauli zako CCM ilivyo kwa tabia mwakani itarudia kuwaengua tena wanasiasa wa upinzani kwa hila tu kuonyesha hao watu wapo kimaslahi yao sio ya nchi maana na wanajua watapambana tu majina yao kurudishwa na hawatasusia uchaguzi; I can bet on that.
View attachment 1274916
Kitendo cha Watendaji kuamriwa kujificha kwa gharama yoyote ile ili kuhakikisha Wagombea wa vyama vya upinzani hawachukui ama kurudisha fomu za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa lengo la kuwabeba wagombea wa CCM kwa mbeleko ya chuma, kimeusikitisha mno ubalozi wa Uingereza.
My take: Nchi inazidi kudhalilika kwenye
Hivi ninyi vichaa mnaoangaika na nini wamesema Yao yanawashinda
View attachment 1274916
Kitendo cha Watendaji kuamriwa kujificha kwa gharama yoyote ile ili kuhakikisha Wagombea wa vyama vya upinzani hawachukui ama kurudisha fomu za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa lengo la kuwabeba wagombea wa CCM kwa mbeleko ya chuma, kimeusikitisha mno ubalozi wa Uingereza.
My take: Nchi inazidi kudhalilika kwenye jumuiya ya Kimataifa
Mkulima keshalipwa? Kabudi kesharudi?Cecil Mwambe kwanza ,mengine baadae.
#mbowe must Go.
Mkuu boycott haifanyi kazi Africa hawana aibu kabisa, hapo utakua ndoumemsaidia kabisaNadhani boycot yao ni moja kati ya strategy nzuri kwa sasa.
Bado serikali yetu inategemea mahusiano mazuri na nchi za nje hii inawaondolea credit na inawauma kweli kweli
Yao yanawashinda.
Mkulima keshalipwa? Kabudi kesharudi?
Madam nakuonea sana huruma maana Kabud huwa anajibu neno baada ya nenoView attachment 1274916
Kitendo cha Watendaji kuamriwa kujificha kwa gharama yoyote ile ili kuhakikisha Wagombea wa vyama vya upinzani hawachukui ama kurudisha fomu za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa lengo la kuwabeba wagombea wa CCM kwa mbeleko ya chuma, kimeusikitisha mno ubalozi wa Uingereza.
My take: Nchi inazidi kudhalilika kwenye jumuiya ya Kimataifa
Ha ha ha ha ha umenivunja mbavu kwa kichekoKabudi akirudi kutoka kenya atamkabili kisawa sawa huyo mzungu
Unafikiri BALOZI wa UINGEREZA unaweza kumuita kama Nape NNAUYE , Prof kabudi mwenyewe kafyataHuyu sasa ndio wakuitwa atuelezee mgombea yupi alikuwa disqualified.
Aindoi ukweli icho kibibi cha kizungu ni kiongoUnafikiri BALOZI wa UINGEREZA unaweza kumuita kama Nape NNAUYE , Prof kabudi mwenyewe kafyata
Ndiyo ujue wasituingilie. So what 😦 macho kodooSo what ?
Wa kwanza tangia dunia ianzeNa jiwe jana kasema maendeleo hayana chama ila anawapongeza CCM kwa ushindi. "Tuna rais wa ajabu haijawai kutokea" in tundu lissu voice