NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Kufuta ao jamaa ni mpaka kuomba msaada kwa mataifa makubwa,na kama pesa huna achia gepu kwenye rasilimali zako mafuta,gesi n,k.
Mataifa makubwa yakianza kazi fasta tu utasikia magaidi wamesambaratishwa na wengine wametoroka.
Deal done.
Dunia inamikakati ya siri mingi mno.
Mataifa makubwa yakianza kazi fasta tu utasikia magaidi wamesambaratishwa na wengine wametoroka.
Deal done.
Dunia inamikakati ya siri mingi mno.