baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Wikipedia ni sehemu nzuri ya kupata rejea, ila pia Soma kazi ya Webb, ame balance vyote wanaopinga na Kukubali.Umeeleza vizuri sana kuhusu maisha ya waarabu miaka ya nyuma. Kama ungetupa rejea nasi tupitie
Acha uongo weka ushahidi cd za Shekhe ilunga zipo mpaka youtube na kama huko hamna nenda msikiti wa mtoro k/koo zinauzwa uje utuwekee hapa.Uislamu unaotetea haki za wote ni upi? Zenj tu hapo ukifika nfungo waislamu hawataki kuona mtu anakula mchana
Saudi Arabia ni marufuku hata mtu wa dini nyingine kupractice dini yake
Hapa hapa tu Tz Kuna sheikh alikua anaitwa sheikh illunga(ameshafariki) alikua anasema hadharani mtu asiye muislamu anapaswa kuuwawa, Wala alikua hasemi kwa kificho ni hadharani na alikua akitoa cd zake enzi za jk
Hii inasound kidogo sana, ndiyo Kwa kiasi chake umewastaarabisha Hawa waarabu, lakini tabia za uuwaji bado wanazo, sasa hivi wakikukuuwa kwanza wanasema Allah Akbar wakimaanisha MUNGU mkubwa.Walikua ni insignificant people, wanachunga zao ngamia kwenye jangwa, waliua watoto wa kike wakidhania kwamba ni nuksi kuwazaa, walikua na kila aina ya uchafu, uisilamu ndio umewainua, hivyo kusema Uisilamu unasambaza Mila za Kiarabu ni ukosefu wa elimu sababu Uisilamu ndio umewastaarabisha waarabu.
Kwa hio ukikatazwa kula Hadharani umenyimwa haki? Kitendo cha wewe umefunga na mimi kuja kula mbele yako sio cha kiungwana. Znz kuna sehemu kibao wakristo wanakula, kuna hotel kibao zipo wazi si unaenda tu unakula kuna haja gani ule barabarani ama maeneo yenye waisilamu wengi?Uislamu unaotetea haki za wote ni upi? Zenj tu hapo ukifika nfungo waislamu hawataki kuona mtu anakula mchana
Si Kweli, huruhusiwi kupractice public ila kuna maeneo ya Ibada mengi tu hapo, kuna mamilioni ya Wakristo Saudia, wengi walitoka Ufilipino, na issue ya Saudi has nothing to do with Islam sababu ni wao tu Nchi zote za Kiarabu, Iraq, Syria, Egpty, Oman na wengineo kuna Makanisa tena tu sio Makanisa ya kawaida bali Makanisa makongwe ambayo huyapati kokote Duniani, waisilamu wame preserve ule Ukristo wa Asili ambao haujachakachuliwa sana na wazungu.Saudi Arabia ni marufuku hata mtu wa dini nyingine kupractice dini yake
Simjui wala sijaziona. Sababu nyie mshazoea kila anachosema padre ama mchungaji ni sheria, Uisilamu haipo hivyo, tunaongozwa na Quran na Sunnah si baba yangu, si imamu wangu, si sheikh wangu akasema kitu against Quran NA sunna na mi nikaamini.Hapa hapa tu Tz Kuna sheikh alikua anaitwa sheikh illunga(ameshafariki) alikua anasema hadharani mtu asiye muislamu anapaswa kuuwawa, Wala alikua hasemi kwa kificho ni hadharani na alikua akitoa cd zake enzi za jk
Hizo ni propaganda tu divide and Conquer, kama ilivyo sema huko juu, Wakristo wa Asili wapo Middle East, sio Ulaya, Sio Africa sio kokote Duniani, na sababu ya kuwepo kwao ni waisilamu wamewalinda Wakristo wa Asili wasimalizwe na Wakristo wa Ulaya.Hii inasound kidogo sana, ndiyo Kwa kiasi chake umewastaarabisha Hawa waarabu, lakini tabia za uuwaji bado wanazo, sasa hivi wakikukuuwa kwanza wanasema Allah Akbar wakimaanisha MUNGU mkubwa.
Huwa najiuliza huyu mungu wanaemtaja ni yupi, ambae anahalalisha mauwaji🤔
Mgeni hapa nchini wewe. Hizo cd zilipigwa marufuku ilikua ni sawa na kukutwa na pembe za ndovu.Acha uongo weka ushahidi cd za Shekhe ilunga zipo mpaka youtube na kama huko hamna nenda msikiti wa mtoro k/koo zinauzwa uje utuwekee hapa.
Asili na Hatima ya mwanadamu inaamuliwa na pande mbili. Upanda wa kwanza ni "Good" na upande wa pili ni "Evil"Hizo ni propaganda tu divide and Conquer, kama ilivyo sema huko juu, Wakristo wa Asili wapo Middle East, sio Ulaya, Sio Africa sio kokote Duniani, na sababu ya kuwepo kwao ni waisilamu wamewalinda Wakristo wa Asili wasimalizwe na Wakristo wa Ulaya.
Waroma walikua wakifanya Genocide kwa kuuua wakristo wote wasiokubaliana nao, ni waisilamu waliowapiga Waroma, wakayarudishia haya madhehebu Makanisa yao na viongozi wao.
Hii website ya Kanisa la Copt ikielezea historia ya Papa wao
Pope Benjamin I - Coptic Orthodox Church
This page is also available in: العربيةcopticorthodox.church
Uislamu sio wa Ilunga , Uislamu ulikuwepo kabla ya Ilunga, nakufahamisha mpaka mtume anakufa kulikuwa na wakristo wakiishi pale Saudia kwa amani kabisaa, shida ni hawa waislamu wa kisasa ambao wanapewa silaha kuvuruga taswira ya UislamuUislamu unaotetea haki za wote ni upi? Zenj tu hapo ukifika nfungo waislamu hawataki kuona mtu anakula mchana
Saudi Arabia ni marufuku hata mtu wa dini nyingine kupractice dini yake
Hapa hapa tu Tz Kuna sheikh alikua anaitwa sheikh illunga(ameshafariki) alikua anasema hadharani mtu asiye muislamu anapaswa kuuwawa, Wala alikua hasemi kwa kificho ni hadharani na alikua akitoa cd zake enzi za jk
Hujui maana ya haki. Wewe kufunga, na Mimi kuendelea kula hadharani hizo zote ni haki zetu. Wewe umefunga kwa imani yako Wala mm sipaswi kujua, Mimi nakula kwa ratiba zangu na navyoona hapo unataka nn tena?Kwa hio ukikatazwa kula Hadharani umenyimwa haki? Kitendo cha wewe umefunga na mimi kuja kula mbele yako sio cha kiungwana. Znz kuna sehemu kibao wakristo wanakula, kuna hotel kibao zipo wazi si unaenda tu unakula kuna haja gani ule barabarani ama maeneo yenye waisilamu wengi?
Si Kweli, huruhusiwi kupractice public ila kuna maeneo ya Ibada mengi tu hapo, kuna mamilioni ya Wakristo Saudia, wengi walitoka Ufilipino, na issue ya Saudi has nothing to do with Islam sababu ni wao tu Nchi zote za Kiarabu, Iraq, Syria, Egpty, Oman na wengineo kuna Makanisa tena tu sio Makanisa ya kawaida bali Makanisa makongwe ambayo huyapati kokote Duniani, waisilamu wame preserve ule Ukristo wa Asili ambao haujachakachuliwa sana na wazungu.
Simjui wala sijaziona. Sababu nyie mshazoea kila anachosema padre ama mchungaji ni sheria, Uisilamu haipo hivyo, tunaongozwa na Quran na Sunnah si baba yangu, si imamu wangu, si sheikh wangu akasema kitu against Quran NA sunna na mi nikaamini.
Thats real,lkn rekebisha hapo kwenye kilevi,nyoosha maelezo mkuu.1.Quran sio kiarabu,-------kujua kiarabu sio tiketi ya kuweza kusoma Quran,😀😆....... waarabu kibao hawajui chochote kuhusu Quran
2.Haki kwenye uislam ni kitu cha kwqnza
-Ndio maana nchi nyingi zenye waislamu wengi duniani ni tajiri ukilinganisha na nchi zenye wakristo wengi,.......uislam hauwezi kuruhusu eti watu wachange sadaka vijijini huko ziende kutumika Vatican, ulaya huko,kwa kigezo cha kua wao ndio viongozi wa dini😆😆,kwenye uislam huo ni uhanithi na ni upumbavu
----Uislam ni mfumo rasmi wa maisha kuanzia kula,kulala,kufanya mapenzi etc.......uislam sio nadharia kua viongozo wa dini hawaou au hawaolewi😄😁,(yaani MTU ana nyege kibaiolojia haruhusiwi kuoa,dini inapinagana na physiology ya mwili=vichekesho)......
------dunia hii ilivojaa wanawake wajane,sababu wanaume wanawahi kufa sababu ya upambanaji,uislam ulijua mapema sana,ndio maana mwenye uwezo akaruhusiwa kuoa wake wanne.
-------uislam upo mbele ya muda ndio maana mukishindwana Kuna taraka,......vichekesho eti watu mumekutana ukubwani hakuna kuachana😆😂🤣
-------uislam hauwezo ruhusu Binti wa miaka 12 atumie uzazi wa mpango kwa kigezo ni mtoto ila akiolewa ni ameonewa
-----uislam upo hauwezi ruhusu mtu atumie kilevi kwa kigezo kua asiliwe,si vichekesho hivi?.😅😂
......ukisoma hapo juu,utaona uislam upo mbele ya muda kwenye mambo mengi sana ya kidunia
Ni haki yako huku sio kule, yani uvunje sheria useme ni haki yako? Hio haki imekua defined na nani?Hujui maana ya haki. Wewe kufunga, na Mimi kuendelea kula hadharani hizo zote ni haki zetu. Wewe umefunga kwa imani yako Wala mm sipaswi kujua, Mimi nakula kwa ratiba zangu na navyoona hapo unataka nn tena?
Ukienda Rwanda tu hapo huruhusiwi kupractice uisilamu public, hata adhana zisitumie Mic, kuna Nchi kibao za Ulaya huruhusiwi kupractice Uisilamu public, hutasikia waisilamu wanalalamika ni haki yao.Kutoruhusiwa kupractice public hiyo tu Ni kunyima hazi za wengine wasioamini kwenye uislamu. Unasema maamuzi ya saudia has nothing to do with Islam? Huijui Saudia?
Umeona wapi mtu kahama uisilamu akauliwa? Haki ya kuua mtu aliohama uisilamu anayo khalifa tu wa kiisilamu hata sharia na kadhi wa Kiisilamu hana haki hio, na imewekwa kwa kiongozi wa Kiisilamu sababu zamani watu walikua wa kiasi vitani.Kila anachozungumza sheikh au padre tunakibeba na kuona ni sheria? Sasa wewe mbona alichofanya huyo sheikh umeona ni Cha kiislamu? Kwa nn usingewaza kuwa alipigania haki ksa utashi wake tu
Mnaongozwa na Quran, kwenye Quran ndio kumehalalisha kuua wasio waislamu, hizi aya nadhani unazijua zinavyoelekeza wasio waislamu wanapaswa kuuliwa, wanaohan
Ma uislamu wanapaswa pia kuuliwa. Kama uislamu ni kupigania haki kwa nini uue watu wasio waislamu au walioamua kuhana uislamu?
Hii komenti inathibitisha ni jinsi gani Makafiri hamtumii Akili,Hili unalolidai hapa kama haki hata Wanawake wanadai uhuru wa kukaa uchi bila kujua inavunja haki ya mwanaume ya kutamani maumbile ya mwanamke na kumtia tamaa huna tofauti na mashoga wanapotamani wapate haki na uhuru bila kujua wao wanavunja haki za mwanamke,na wewe unadai haki na uhuru wa kula hadharani kisa wewe sio mwislamu unajua madhara unayotaka kuyaleta kwenye hiyo jamii au ndo huwa mnafikiria kama mashoga ? Na hoja yako eti kwenye Quran kuna Aya za kuua Wasio Waislamu ni kweli zipo hayo ni maagizo ya kulipa kile wasio Waislamu walikuwa wanawatendea Waislamu au ukitaka kuwe na Aya za kugeuza Shavu la kulia utandikwe? Moja ya haki ni kulipa kisasi na ndo maana hata Sheria za nchi kuna kesi ya mauaji mtu anahukumiwa kunyongwa Uislamu ni mfumo kamili wa maisha ya Binadamu Roho gharama yake ni Roho Jicho gharama yake ni jicho jaribu kupima hata wewe hapo ulipo aje Mtu amkate mguu mwanao wewe utatabasamu alafu utamtakia siku njema sawa?Aya zote zinazohimiza kuua ni kulipa sio kuanzisha kama unayo yoyote inasema nendeni mkaue wasio waislamu iweke tuijadili uzuri Quran ipo mtandaoni ina tafsiri ya rugha mbalimbali KARIBU.Hujui maana ya haki. Wewe kufunga, na Mimi kuendelea kula hadharani hizo zote ni haki zetu. Wewe umefunga kwa imani yako Wala mm sipaswi kujua, Mimi nakula kwa ratiba zangu na navyoona hapo unataka nn tena?
Kutoruhusiwa kupractice public hiyo tu Ni kunyima hazi za wengine wasioamini kwenye uislamu. Unasema maamuzi ya saudia has nothing to do with Islam? Huijui Saudia?
Kila anachozungumza sheikh au padre tunakibeba na kuona ni sheria? Sasa wewe mbona alichofanya huyo sheikh umeona ni Cha kiislamu? Kwa nn usingewaza kuwa alipigania haki ksa utashi wake tu
Mnaongozwa na Quran, kwenye Quran ndio kumehalalisha kuua wasio waislamu, hizi aya nadhani unazijua zinavyoelekeza wasio waislamu wanapaswa kuuliwa, wanaohan
Ma uislamu wanapaswa pia kuuliwa. Kama uislamu ni kupigania haki kwa nini uue watu wasio waislamu au walioamua kuhana uislamu?
Again nakwambia ni propaganda.Asili na Hatima ya mwanadamu inaamuliwa na pande mbili. Upanda wa kwanza ni "Good" na upande wa pili ni "Evil"
Kawaida awe muislam au mkristo yaani bible au Quran, mafundisho na hamasa ni juu ya unyenyekevu na upendo. Mfano mtume alikuwa ni mtume wa MUNGU, alikuwa na uwezo wa kuwaobea mabaya wabaya wake na Kwa hakika hayo mabaya yangewakuta, Lakini aliwaombea mwema na kweli mema yaliwabadilisha. Mtume alitolewa meno na wabaya wake lakini sijui Kama Kuna andiko ambalo linaelezea kwamba mtume alilipa kisasi.
Yesu aliwafundisha wafuasi wake juu ya upendo, mfano aliwaambia mpende jirani yako Kama nafsi yako,samehe saba Mara sabini,aliye mkubwa awe mdogo kuliko wengine nk.
Ukiangalia mafundisho yote hayo, yanahamasisha upendo ambao ndo upande pekee ambao Mimi na wewe tunaamini ni wa MUNGU maana yake Good, on the contrary ndo tunasema evil, ambao ni upande wa shetani.
Kila mwanadamu atahukumiwa Kwa kadiri ya matendo yake, awe mkristo au muislam, au mpagani.
Swali langu bado liko palepale Kwanini wakiwa wanamuuwa mtu wanasema Allah Akbar?
Huyo alikuwa anaongea ukweli juu ya Nyerere Na Jinsi ya Uhuru wa Tanganyika ulivyopatikana na ndio maana Cd zake zilipigwa marufuku.Mgeni hapa nchini wewe. Hizo cd zilipigwa marufuku ilikua ni sawa na kukutwa na pembe za ndovu.
Japo kwa uchache msikilize hapa sheikh wako illunga akizungumzia wakristo...
View: https://youtu.be/CW2zRkndT68?si=jDujQX6ReLOtESf7
Hicho ulichouliza ni Maneno ya Rugha ya Kiarabu yenye maana ya Mungu Mkubwa sasa wewe lete neno kama hilo litoke kwa Mkristo mwarabu mwambie aseme Mungu Mkubwa.Asili na Hatima ya mwanadamu inaamuliwa na pande mbili. Upanda wa kwanza ni "Good" na upande wa pili ni "Evil"
Kawaida awe muislam au mkristo yaani bible au Quran, mafundisho na hamasa ni juu ya unyenyekevu na upendo. Mfano mtume alikuwa ni mtume wa MUNGU, alikuwa na uwezo wa kuwaobea mabaya wabaya wake na Kwa hakika hayo mabaya yangewakuta, Lakini aliwaombea mwema na kweli mema yaliwabadilisha. Mtume alitolewa meno na wabaya wake lakini sijui Kama Kuna andiko ambalo linaelezea kwamba mtume alilipa kisasi.
Yesu aliwafundisha wafuasi wake juu ya upendo, mfano aliwaambia mpende jirani yako Kama nafsi yako,samehe saba Mara sabini,aliye mkubwa awe mdogo kuliko wengine nk.
Ukiangalia mafundisho yote hayo, yanahamasisha upendo ambao ndo upande pekee ambao Mimi na wewe tunaamini ni wa MUNGU maana yake Good, on the contrary ndo tunasema evil, ambao ni upande wa shetani.
Kila mwanadamu atahukumiwa Kwa kadiri ya matendo yake, awe mkristo au muislam, au mpagani.
Swali langu bado liko palepale Kwanini wakiwa wanamuuwa mtu wanasema Allah Akbar?
Ni haki yangu huku sio kule? Kwa Nini huko nisipewe haki yangu kama ulivyosema uislamu unapigania haki za wote?Ni haki yako huku sio kule, yani uvunje sheria useme ni haki yako? Hio haki imekua defined na nani?
Ukienda Rwanda tu hapo huruhusiwi kupractice uisilamu public, hata adhana zisitumie Mic, kuna Nchi kibao za Ulaya huruhusiwi kupractice Uisilamu public, hutasikia waisilamu wanalalamika ni haki yao.
Jifunze kuheshimu taratibu za watu, wewe sio raia wa Saudia, hujawasaidia kupindua nchi, hujawasaidia kujenga nchi yao etc
Baada ya House Al saud kuanzisha hio Nchi makabila yote kuunga mkono, wasio Unga mkono wakafukuzwa hilo eneo (kama mfalme wa Jordan) then waliobakia wakajiamulia sheria zao za Nchi yao, wewe nani huku uwaamulie? Na unaweza ukaniambia kuna chombo gani Duniani iwe UN, Amnesty, Human Rights watch etc ambacho kina piga kelele watu waabudu public? Na kama ni haki inatambuliwa na nani?
Umeona wapi mtu kahama uisilamu akauliwa? Haki ya kuua mtu aliohama uisilamu anayo khalifa tu wa kiisilamu hata sharia na kadhi wa Kiisilamu hana haki hio, na imewekwa kwa kiongozi wa Kiisilamu sababu zamani watu walikua wa kiasi vitani.
The Issue of Apostasy in Islam | Yaqeen Institute for Islamic Research
One of the most common accusations leveled against Islam involves the freedom of religion. The problem, according to critics: Islam doesn’t have any.yaqeeninstitute.org
Soma hapo kuhusu Apostacy in modern times kwenye serikali zetu.
Nchi zote za hizo za kiisilamu kuna watu wamebadili dini, inakua discouraged ila uki badili dini hufanywi chochote, hio sheria haikuwekwa kwa ajili ya average Joe bali kwa ajili ya Vita.
Na unaweza ukanipa hizo Aya zinazotuamrisha tuue wasio waisilamu? UNAFKIRI waisilamu Bilioni 2 wote wakimarishwa kuua kutabaki mtu humu?
Umeisikiliza yote aliyoongea kuhusu wakristo?Huyo alikuwa anaongea ukweli juu ya Nyerere Na Jinsi ya Uhuru wa Tanganyika ulivyopatikana na ndio maana Cd zake zilipigwa marufuku.
Kula hadharani unafaniasha na mtu kukaa uchi? Unaifananisha na ushoga? Hii ndio akili umetumia?Hii komenti inathibitisha ni jinsi gani Makafiri hamtumii Akili,Hili unalolidai hapa kama haki hata Wanawake wanadai uhuru wa kukaa uchi bila kujua inavunja haki ya mwanaume ya kutamani maumbile ya mwanamke na kumtia tamaa huna tofauti na mashoga wanapotamani wapate haki na uhuru bila kujua wao wanavunja haki za mwanamke,na wewe unadai haki na uhuru wa kula hadharani kisa wewe sio mwislamu unajua madhara unayotaka kuyaleta kwenye hiyo jamii au ndo huwa mnafikiria kama mashoga ? Na hoja yako eti kwenye Quran kuna Aya za kuua Wasio Waislamu ni kweli zipo hayo ni maagizo ya kulipa kile wasio Waislamu walikuwa wanawatendea Waislamu au ukitaka kuwe na Aya za kugeuza Shavu la kulia utandikwe? Moja ya haki ni kulipa kisasi na ndo maana hata Sheria za nchi kuna kesi ya mauaji mtu anahukumiwa kunyongwa Uislamu ni mfumo kamili wa maisha ya Binadamu Roho gharama yake ni Roho Jicho gharama yake ni jicho jaribu kupima hata wewe hapo ulipo aje Mtu amkate mguu mwanao wewe utatabasamu alafu utamtakia siku njema sawa?Aya zote zinazohimiza kuua ni kulipa sio kuanzisha kama unayo yoyote inasema nendeni mkaue wasio waislamu iweke tuijadili uzuri Quran ipo mtandaoni ina tafsiri ya rugha mbalimbali KARIBU.