Ni haki yako huku sio kule, yani uvunje sheria useme ni haki yako? Hio haki imekua defined na nani?
Ukienda Rwanda tu hapo huruhusiwi kupractice uisilamu public, hata adhana zisitumie Mic, kuna Nchi kibao za Ulaya huruhusiwi kupractice Uisilamu public, hutasikia waisilamu wanalalamika ni haki yao.
Jifunze kuheshimu taratibu za watu, wewe sio raia wa Saudia, hujawasaidia kupindua nchi, hujawasaidia kujenga nchi yao etc
Baada ya House Al saud kuanzisha hio Nchi makabila yote kuunga mkono, wasio Unga mkono wakafukuzwa hilo eneo (kama mfalme wa Jordan) then waliobakia wakajiamulia sheria zao za Nchi yao, wewe nani huku uwaamulie? Na unaweza ukaniambia kuna chombo gani Duniani iwe UN, Amnesty, Human Rights watch etc ambacho kina piga kelele watu waabudu public? Na kama ni haki inatambuliwa na nani?
Umeona wapi mtu kahama uisilamu akauliwa? Haki ya kuua mtu aliohama uisilamu anayo khalifa tu wa kiisilamu hata sharia na kadhi wa Kiisilamu hana haki hio, na imewekwa kwa kiongozi wa Kiisilamu sababu zamani watu walikua wa kiasi vitani.
One of the most common accusations leveled against Islam involves the freedom of religion. The problem, according to critics: Islam doesn’t have any.
yaqeeninstitute.org
Soma hapo kuhusu Apostacy in modern times kwenye serikali zetu.
Nchi zote za hizo za kiisilamu kuna watu wamebadili dini, inakua discouraged ila uki badili dini hufanywi chochote, hio sheria haikuwekwa kwa ajili ya average Joe bali kwa ajili ya Vita.
Na unaweza ukanipa hizo Aya zinazotuamrisha tuue wasio waisilamu? UNAFKIRI waisilamu Bilioni 2 wote wakimarishwa kuua kutabaki mtu humu?