Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Its reality , not all arab are muslimsOkay, but it's an ambiguous expression.
Pata picha ya haraka hapa, japo ni wikipediaIt's said that "anything that can not be expressed in numbers/figures (empirical evidence) does not exist".
Kama kila mtu angetumia lugha yake basi Qurani Leo hii Karne ya 21 isingekua na maana iliyopo Leo, lugha ya mtume ndio imetumika kulinda kitabu yaan tunalazimka kutumia kiarabu Hasa Kwenye Quran ili kuepusha kila mtu kuchomeka anacho kijua, we chomekea unajua kwinngine ila sio Kwenye Quran na sala, hio imelinda kitabu na dini yenyewe.
Kabla huyo Mohamed kuanzisha uislamu, waarabu waliishije? Huwa nataka kusoma sana maisha yao ya kabla maana huyo mtu aliwavuruga sana na hiyo dini, yaani kila muarabu anazaliwa akilazimishwa kuwa muislamu, hawana uhuru wowote
Who said that? You can do it , arab that are not muslims existsIt's said that "anything that can not be expressed in numbers/figures (empirical evidence) does not exist".
Nyerere ktk moja ya hutuba yake anasema kwmba yeye ndio mkristo wa kwanza kukaribishwa tanu,
Kwamaana waislam waiianzisha tanu ili kwenda kudai uhuru, baade ktk hatua za kukaribisha watu ambao nao walionyesha nia ndio wakamkaribisha nyerere tena akiwa na pensi wazee wakampa suluali avae,
Unaposema uislam ,
Tambua utajata dini ilikamilika isiokuwa mapungufu hata kidogo achana na viongozi hawa wa uislam wanaowekwa kwa maslay ya vitu fulani,
Utimamu ni kwa anae amini , hii ni popote pale , kama ambavyo wewe unaona gaps kwa wengine, hata hao wengine wanaona gaps kwao , hii ni natureNaheshimu maoni yako, licha ya kuwa sikubaliani nayo.
Kusema uislam ni dini iliyotimia ilihali watu wengi wanaona a lot of gaps?
Utimamu ni kwa anae amini , hii ni popote pale , kama ambavyo wewe unaona gaps kwa wengine, hata hao wengine wanaona gaps kwao , hii ni nature
Mtu unadanganywa kuna mito ya pombe mbinguni+pisi kali...mtu na migego yake 32 inaamini ni kweli...
Hakuna shida yeyote hata ukitumia lugha yako bado imani ni ile ile ambayo imetoka kwa Waisrael au waaarabu sio kwa babu zako au kijijini kwenuIla suala ambalo ni logic, mfano kutumia lugha fulani pekee kwenye ibada wewe una maoni gani?
Kama vipo hapa duniani shida iko wapi kuwa Mbinguni? wewe ndio unatakiwa kujitafakari kwamba kipi kitazuia kusiwa na wanawake au pombe huko mbinguni wakati duniani imewezekana?Mtu unadanganywa kuna mito ya pombe mbinguni+pisi kali...mtu na migego yake 32 inaamini ni kweli...
Hakuna shida yeyote hata ukitumia lugha yako bado imani ni ile ile ambayo imetoka kwa Waisrael au waaarabu sio kwa babu zako au kijijini kwenu
Ulishawahi kujiuliza nini maana ya dini?Miezi michache iliyopita kumekuwa na hoja nzito ikielekezwa kwa uislam. Hasa suala la kutumia lugha ya Kiarabu katika ibada. Mpaka ikaonekana kwamba uislam siyo dini, bali ni chombo au mpango wa waarabu wa kueneza tamaduni, mila na desturi zao.
Pia lingine ambalo watu wengi wameanza kulimulika ni ile hali ya chombo hiki (uislam) kuwa na sura ya uana harakati au upigania uhuru. Uislam ulivyo unajitanabaisha na harakati za kudai uhuru/haki maeneo mbali mbali duniani. Tofauti na tulivyokuwa tukitarajia uislam uwe kwa kuwaelekeza waumini wake kwenye maisha ya peponi baada ya haya. Wenyewe sasa wanawaendeleza maandamano na migogoro na mamlaka. Wakitaka haki na uhuru wao. Wakilazimisha sheria za nchi ambako wanaishi zibadili sheria na kuongoza nchi hizo kwa sharia law. Kitu ambacho dini zingine hazijawahi kufanya.
Baada ya kuyaona hayo, nchi nyingi sasa hazichukulii uislam kama dini (kama waumini wake wanavyodai), bali ni mpango au chombo cha (wanaharakati cha) kupigania uhuru na haki ya waislam/waarabu kwa njia ya kipekee (exclusive right). Wanataka mahali popote wanapoishi wapewe uhuru/haki zao katika njia ambayo wengine hawawezi kupata. Wanataka wapewe special attention na mamlaka ya nchi husika. Hata kama kufanya hivyo kunaweza kwa hali au namna fulani kuathiri haki, uhuru, mamlaka na ustawi wa wengine.
Ndiyo maana mara zote nimekuwa nikiwa dhidi ya wazo la kwamba uislam ni dini. Kwa sababu nilizozitaja. Hiyo ni desturi yaani zaidi ya dini. Binafsi nawafananisha na wamasai. Wamasai licha ya kuwa wana ishi katika nchi zenye serikali yaani Jamhuri. Lakini bado wana utaratibu au namna yao ya utawala, siasa, imani (beliefs), lugha, sheria, mavazi nk. Pia jamii hii popote ikienda, lazima kuwe na msuguano na jamii walioikuta kwa kuwa siku zote wanaamini utamaduni wao ni bora kuliko wa wengine. Hili nilo mfanano dhahili wa uislam (yaani desturi za waarabu) na wamasai.
Naomba niishie hapa.
Alamsiki
Kwa Nini usianze kunywa Sasa hiv kama unaamini itakuwepo huko mbinguni...hizo ni utopiani tu...Kama vipo hapa duniani shida iko wapi kuwa Mbinguni? wewe ndio unatakiwa kujitafakari kwamba kipi kitazuia kusiwa na wanawake au pombe huko mbinguni wakati duniani imewezekana?
Hakuna anayelazimishwa kuwa Islam, umeona mtoto mwenye wazazi Islam akizaliwa akamwagiwa maji (akibatizwa/kusilimishwa) ili awe Islam? Tena awe kazaliwa kwenye ndoa iliyotimiza masharti yote ya dini? Mbona humu JF kuhusu dini utoto mwingi? JF ya Sasa ipo kimaslahi zaidi na si kimaadiliKabla huyo Mohamed kuanzisha uislamu, waarabu waliishije? Huwa nataka kusoma sana maisha yao ya kabla maana huyo mtu aliwavuruga sana na hiyo dini, yaani kila muarabu anazaliwa akilazimishwa kuwa muislamu, hawana uhuru wowote
Hii dini ya mudi ni utapeli mtupu...mijamaa imejazwa na ikajaa kwel kwel....dini ambayo et Mungu hawez itetea mpk itetewe na binadamu...hakika ni kituko kwa kwelEti unamilikishwa mabaa ambayo pombe inachotwa kama mtoni vile halafu na dangulo la peke yako peponi.
Pepo ya kina mudi ni raha.
Swali ambalo huwa najiuliza, lakini hawanipi jibu. Wanawake wenyewe watatunukiwa na kutuzwa nini?