Uislam na Ukristo siyo maadili ya Mtanzania na Mwafrika, ni moja ya nyenzo ya mmomonyoko wa maadili

Nskuongezea yu. Hawana viti kwa sababu jangwani mitu haioti.
Wazungu walipouleta utamaduni wa wayahudi wakaweka mabenchi kwa sababu wazungu kwao miti ni mingi ila warabu walielekeza kukaa chini.
Nimeongeza tu mkuu sijapunguza chochote ulichosema ni 100% kweli.
 
Sura ya Ankabut (29:57), inasema:

"Kila nafsi itakufa, kisha mtarudishwa kwetu."

Aya hii inasisitiza ukweli wa kifo kwa kila binadamu na kutukumbusha kwamba maisha haya ni ya muda mfupi, na hatimaye tutarudi kwa Mwenyezi Mungu. Inatufundisha kuishi maisha yenye maadili kwa ajili ya maandalizi ya maisha ya baadae.
 

Kifo kipô Kwa kîla kiumbe
 
Ulibanwa sana unakuja na vifungu, unadhani kuna mtu hajui kwa atakufa? Kila dini inasema kuna mwisho, even in science everything has it end. So stop childish bull crap man
 
Ulibanwa sana unakuja na vifungu, unadhani kuna mtu hajui kwa atakufa? Kila dini inasema kuna mwisho, even in science everything has it end. So stop childish bull crap man
KWANINI WAZUNGU HAWAZUII WAO SI WAJANJA?
 
wew akili ishaoza , unahisi maish yameanza 1874?
 
bila ya Ukristo leo hii usingeweza kusoma na kuandika …
Huo ujinga usiongeze hadharani au mbele ya watoto utachekwa. Kila jamii ilikuwa na maandishi yake ya asili kama ilivyo middle east na far east mfano wachina, wahindi, waarabu , waithiopia wote walikuwa na maandishi hivyo hao wamisionary walipokuja Africa wakafuta Kila kitu na ku promote alfabeti zao ila walishindwa sehemu zingine
 
Lakini haupingi uvaaji wa nguo za viwandani (ulizoletewa na hao waleta dini), matumizi ya simu, usafiri, na umesoma elimu yao😂😂
Si ni wabaya kwa nn usivikatae vyote?
kwann tuliacha science yetu ? hiyo ndo hoja
 
Muhammaad ni mtume wa Mewisho aliyepewa Qur'an. Mitume yote kabla yake ilileta ujumbe huo huoi mmoja tu. Uislam.

Uislam ndiyo mfumo kamili wa maisha uliopo ambao hauna mfano wake.

Mfumo wa waarabu siô Wanadamu

Muislam WA Kwanza NI Muhammad, wapili NI Khadija.

Kusema Adam alikuwa Muislam NI kutofikiri vizuri na kuamua kuwa shabiki.
 
Mfumo wa waarabu siô Wanadamu

Muislam WA Kwanza NI Muhammad, wapili NI Khadija.

Kusema Adam alikuwa Muislam NI kutofikiri vizuri na kuamua kuwa shabiki.
Makasisi wanjua Mtume wa binaadam wote, kama huamini kawaulize ukiwa sehemu nyeti mkiwa waili usiwaulize makanisani hawakupi jibu
 
Ukiwa mtu huru ndio unaweza kufikiri nje ya box namna hii. Lakini wengi watakuona kuwa umepotea na hujitambui ilihali wao ndio wafungwa wa dini zao.
 
Usafiri wa wabongo ni miguu tena peku kwa hyo kusafiri kwa gari na kuvaa viatu ni uvunjifu wa maadili 😂😂

Kûna uhûsiano gàni Kati ya maadili na Teknolojia?

Maadili Unazungumzia kizuri na kibaya

Gari hata wewe unaweza Kutengeneza kama vile china wanavyofanya.

Teknolojia ya Afrika iliathiriwa zaidi baada ya ujio wa wakoloni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…