Uislam na Ukristo siyo maadili ya Mtanzania na Mwafrika, ni moja ya nyenzo ya mmomonyoko wa maadili


Zîpo jamii ûtamaduni waô ushoga siô dhambi hasa jamii za Ulaya na Baadhi za Mashariki ya Kati. Ndîo walikuwa wakiitwa Wapagani na Mayahudi, kwani Dini(ûtamaduni )ya kiyahudi siô maadili kuwa shoga ila kwa Wapagani kwao sio tatizo.

Kitu ili kimomonyoke lazima kiwe contaminated au interacted na kitu kingine.
Bila Muingiliano WA maadili Hakuna msamiati mmomonyoko wa maadili.

Mfano, ûtamaduni wa kiafrika ukichangamana na ûtamaduni WA kizungu Kisha ule WA kizungu Ukawa na Ñguvu utamomonyoa maadili ya kiafrika huku yale ya kizungu yakibaki stable.

Unaweza ukajiuliza, why waarabu na wazungu au wachina waô hawafuati maadili yetu?
 
Lakini haupingi uvaaji wa nguo za viwandani (ulizoletewa na hao waleta dini), matumizi ya simu, usafiri, na umesoma elimu yao😂😂
Si ni wabaya kwa nn usivikatae vyote?
Hiyo ni teknolojia.
Hata wachina wanafuata tamaduni zao kwa sana na teknolojia imekua sana kwao.

Teknolojia inachochea utamaduni wa mahala ilhali dini zinaharibu tamaduni za wengine.

Mfano, huitaji kubadili jina lako (mfano Masanja) ili kutumia simu, ila watu wa dini watakuambia Masanja ni jina la mizimu mibaya, badili uitwe Gabriel ndiyo jina la mtakatifu.
 
Endelea kushupaza fuvu....
 
ndo maana nasema mmomonyoko sio neno sahihi,

ikiwa ushoga ni ruksa kwa wazungu, huo ni mtazamo wao, kama sisi tunauchukia ni mtazamo wetu

sasa ikifika mahali tukaamua kuuruhusu basi tumebadili mtazamo, tumefanya mageuzi
ushoga kimsingi sio kitu kizuri ama kibaya, inategemea na mtazamo

mmomonyoko wa maadili ni wazo la kijima
 

Maadili nini Kwa ufupi?
Na mmomonyoko wa maadili NI nini?
 

unachanganya mambo Ethiopia ndiyo walikuwa na lugha inayoandikika lkn kwetu haikuwepo, hakuna mtu anayeweza kufuta kitu kama hicho, Ukristo umekuja kwetu miaka 150 tu iliyopita, sasa kabla ya hapo kulikuwa na nini? kulikuwa na maktaba yetu wapi iliyochomwa moto? kuna vitabu gani tuliandika? kama unavyosema ni kweli records ziko wapi? kwa nini hawakufuta India kwa maana sanskrit waliikuta na bado ipo mpka leo hii na Wakoloni walikaa India kwa miaka mingi klk kwetu? kwa nini hawakufuta kichina? sasa wewe unayesema kwamba tulikuwa na maandishi yetu yepi hayo ? huwezi kufuta kila kitu kusiwe na kumbukumbu popote hata kwenye mapango?
 
Hujui lolote wewe, na akili yako imefungwa na vitabu vya historia ya hao wakoloni. Kila jamii ilikuwa na lugha na maandishi yake ya asili. Zile ambazo zilikuwa strong kwa wakoloni ndio Wana alfabeti zao mpaka Leo. Wale mdebwedo ndio wamekuwa watumwa wa alfabeti za kiarabu na kizungu
 
wew akili ishaoza , unahisi maish yameanza 1874?

hapana, lkn kabla ya hapo hatukuwa na nchi iliyoitwa tanzania wala hatukuwa na shule, college au hata hospitali yoyote, kama unaweza kunipinga unaweza kuweka ushahidi, matter of fact kulikuwa hata hakuna siku kwa maana ya jumatatu, j4, mpaka jumapili, kabla ya Ukristo illiteracy rate ilikuwa 0, Pwani na maeneo ya waislamu ndiyo tu walijua kusoma na kuandika kiarabu, lkn huku kwingine ambako hatukuwa na dini za kiabraham hakuna aliyejua kusoma na kuandika kama tujuavyo leo, ni well established fact …
 

siyo kweli, siyo kila jamii ilikuwa na lugha ya maandishi, kuna jamii ambazo ni oral kama yetu na ndiyo maana historia yetu ni fupi kwa maana hatukuweka records, hatukuandika popote, jamii ambazo zilikuwa na maandishi kama vile India au China hata Ethiopia wana records na Historia kwa mfano ya Ethiopia iko recorded for thousands of years, sisi kwetu hakuna kwa sababu sisi ni oral na hatuna records za kimaandishi, records pekee ni za aidha uislamu mfano kilwa au ukristo lkn sisi kama sisi hakuna records za kimaandishi za kwetu kabla ya uislamu au Ukristo kama zipo ziweke hapa, makumbusho kwetu hakuna kitu kama hicho, hakuna mtu anajua kwa mfano miaka 2000 iliyopita tuliishije viongozi wetu au hata tu chakula na mambo ya utamaduni kwa sababu hatukuandika popote …
 
Ngoja wawakamue tuone kama Mbinguni mtafika 😃😃😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…