Soma vizuri kuhusu uislamu uuelewe ndugu. Hao sio waislamu. Uislamu unakataza kuua mtu yeyeto asiye na hatia. Uislamu unakataza mambo machafu ikiwemo madaya ya kulevya, kudhulumu uhai wa mtu, nk. SAsa makundi yote uliyoyataja yote yanafanya biashara haramu Ili kupata pesa za kuendesha makundi hayo,yanauza madawa ya kulevya, usafirishaji watu haramu, biashara za utekaji meli nk, SAsa wayafanyayo hayo makundi yapo kwenye uislam?.
Jiulize ushawahi sikia tena vitendo vya kigaidi na kwann kuna mwaka vilikuwa vingi na SAsa hivi usikii?
Jibu makundi yote ya kigaidi yanafadhiliwa na USA kwa ajenda za kiiluminati Ili kuiitiisha na kupitisha ajenda zao za kishetan ikiwemo kuubomoa uislamu. Osama bin laden si Muislamu bali ni ajenti wa kuzimu alitumwa kuuharibu uislamu. Hakuna kundi lolote lile la kigaidi linalopigani dini bali utumia dini kama kichaka cha kuwapata wapumbavu wenzao au cheap wapiganaji waliozongwa na shida za dunia na wakafanyiwa brain wash, makundi yote yanapigania maslai ya kidunia kwa mlengo wa kujificha kwenye dini.