inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Usihangaike kumuelewaDash nimepata shida sana kuelewa unachomaanisha hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usihangaike kumuelewaDash nimepata shida sana kuelewa unachomaanisha hapa
Jaribu na wewe tuoneTatizo wamenyimwa vichogo! Hivyo akili zao zote zimegeuka na kuwa urojo. Yaani usiku mzimu ni kusindilia tu! Sijui futari, wali maharage, chai, soda, vitafuno mbalimbali! Mpaka saa 11 alfajiri!
Halafu mchana wanajifanya eti wamefunga! Wizi mtupu. Huko ni kubadilisha tu ratiba ya chakula.
Tatizo wamenyimwa vichogo! Hivyo akili zao zote zimegeuka na kuwa urojo. Yaani usiku mzimu ni kusindilia tu! Sijui futari, wali maharage, chai, soda, vitafuno mbalimbali! Mpaka saa 11 alfajiri!
Halafu mchana wanajifanya eti wamefunga! Wizi mtupu. Huko ni kubadilisha tu ratiba ya chakula.
Hakuna hijabu huko Ulaya, huo Uhuru unauzungumzia wapi!?.. Arabuni wakiristo wapo huru tu mpaka Iran hukoNi kweli mkuu.
Ila nadhani uelewa finyu wa baadhi ya waislamu juu ya imani zingine.
Aisee wewe unauelewa uislamu.Utukufu ni kuwapa thamani watu.
Nikisema uraisi ni cheo kitukufu maana yake nakusudia ni cheo chenye thamani.
Nikisema mitume ni watukufu maana yake wana au wenye thamani.
Hivyo mtu akisema watukufu waislamu anakusudia "wenye thamani waislamu".
Na neno utukufu mpaka Mungu ni mtukufu lakini utukufu wa Mungu ni mpana kuliko wetu sisi.
Utukufu kwa binadamu tukiitana tunakusudia ni thamani tu.
Hilo neno kafiri asili yake ni wapi na lina maana gani ya ndani kwa maana ya hiyo asili yake?Mkuu kafiri maana yake ni kila asiyekuwa muislamu.
Kwa maana ni jina la jumla kwa kila asiyekuwa muislamu, badala ya uislamu kutamka dini zote ikaona iweke kwa ufupi tu kuwa wasiokuwa waislamu ni makafiri.
Hili jina linaonekana baya kwa sababu ya mindset zetu zimejengeka na tunalisikia likitajwa katika maeneo hatarishi.
Kama vile katika mambo ya kuuana utaskia anatajwa kaafiriii, mtu ataona hee kumbe kafiri hii ni jitu la kuuawa kabisa kumbe sivyo kabisa.
Hivyo kafiri ni jina la utambulisho kwa wasiokuwa waislamu mkuu.
Ni kama ukienda kwenye fani ya afya mgonjwa ataitwa mteja, utajiuliza kwamba mimi naumwa alafu naitwa mteja?
Kumbe Maana yake mteja ni mtu ambaye anakuja pale kutaka huduma.
Hivyo neno mteja ni jina la jumla kama ambavyo neno kafiri ni la jumla
Kipimo cha ubora wa imani yako ni competitionNi kweli mkuu.
Ila nadhani uelewa finyu wa baadhi ya waislamu juu ya imani zingine.
Waambieni wenzenu wanaotesa watu mitaani kulazimisha ana wote tusileHabarini za kutwa nyote.
Naomba niseme kwamba katika dini yetu ya uislamu hakuna pahala mtume kamkataza asiyekuwa muislamu kula mchana wa ramadhani.
Na wala hakuna pahala qurani imekataza asiye muislamu kula mchana wa ramadhani.
Na wala hakuna sehemu wakati wa mtume imeonesha kwamba walikatazwa wasiokuwa waislamu wasile mchana wa ramadhani.
Katika masharti ya mtu kulazimika kufunga kwanza awe muislamu.
Kwa maana asiyekuwa muislamu hailazimiki kufunga,kama halazimiki kufunga maana yake ana uhalali wa kula mchana wa ramadhani kwa sababu sio muislamu.
Mtu anaweza akasema kwamba wamekatazwa wasile hadharani ?
Hadharani kwanza ni wapi kwa mujibu wa sheria ya dini ?
Watu wanakula kwenye migahawa hakuna anayekunywa chai na chapati anatembea pale kariakoo.
Hivyo kuhusu kula hadharani uislamu pia haujakataza kwa sababu neno hadharani ni pana katika muktadhwa huu.
Uislamu umekataza kwa muislamu ambaye hana udhuru wowote alafu akala mchana wa ramadhani,huyu anapata dhambi.
Lakini kuwakataza watu wasile mchana na kuwashambulia sio katika adabu za kiislamu kwa sababu
Kuna wagonjwa hawatakiwi kufunga.
Kuna wanawake wako kwenye siku
Kuna watoto
Kuna wazee
Kuna wasafiri
Kuna wasiokuwa waislamu
Hawa wote ruhusa kula mchana kwa mujibu wa ssheri ya uislamu wetu.
Sasa kama wanaruhusiwa kula mchana vipi wasiruhusiwe kula hadharani wakati hakuna katazo lolote la kula hadharani katika uislamu.
Allah anasema..
"Hakuna kulazimishana katika dini"
Asiye muislamu kumkataza asile mchana maana yake unamlazimisha akae na njaa jambo ambalo sheria ya dini imekataza.
Tutaheshimu sheria itakayowekwa na serikali lakini tunaomba sheria hizo zisinasibishwe na uislamu.
Ni bora uislamu ulaumiwe kwa sheria ambayo kweli imeiweka kama vile viboko kwa wazinifu n.k
Kuliko uislamu kulaumiwa kwa sheria ambayo haijaiweka kama hizi kukataza kula mchana wa ramadhani
Nakaribisha maswali.
Naomba kuwasilisha.
Kafiri ni neno lenye asili ya kiarabu yaani كافر.Hilo neno kafiri asili yake ni wapi na lina maana gani ya ndani kwa maana ya hiyo asili yake?
Kuruhusu imani zingineUkisema competition unakusudia nini
Zichangamane na imani yaoKuruhusu zifanye nini ndugu
Pe specific
Hicho ndio kipimo cha imaniKuna mwingine atataka akukere tu ale karibu yako.
umesahau ulichoandika mwanzo ndiyo maana huelewiSikuelewi unachojibu wala unachouliza
Jaribu kuwacha papara na andika kitu chenye kuelewa