Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

Hii ndiyo sahihi mkuu.
Unaweza facts hapa atakaye pinga aje na kifungu chake toka vitabuni.
 
Hii ndiyo sahihi mkuu.
Unaweza facts hapa atakaye pinga she na kifungu chake toka vitabuni.
Ukisoma hapa utaona wanawake wakitaka kufanya ibada au kuhutuhu lazima wafunike vichwa vyao ila wao hawafuati.

1 Wakorinto 11:5 Bali kila mwanamke asalipo, au anapohutubu, bila kufunika kichwa, yuaaibisha kichwa chake; kwa maana ni sawasawa na yule aliyenyolewa


Ukifuata haya maandiko utajua wakristo ni wanafiki hawafuati biblia yao kabisa.
 
Mkuu ziko sehemu nyingi sana za kukandamiza wanawake mwambie Titicomb hivyo akitaka mimi nitampa facts zote...
Wanawake bora hata kwenye uislamu ila Uyahudi na Ukristo wamekandamizwa sana
 
Mkuu ziko sehemu nyingi sana za kukandamiza wanawake mwambie Titicomb hivyo akitaka mimi nitampa facts zote...
Wanawake bora hata kwenye uislamu ila Uyahudi na Ukristo wamekandamizwa sana
Hawa hawafuati biblia yaani ukisoma maandiko na wao wapo tofauti kabisa😅😅

Wanamke anatakiwa kufunika kichwa akisali na kuhutubu ila wao hawafanyi si kama waislamu tu 😅😅 👇

1 Wakorinto 11:5 Bali kila mwanamke asalipo, au anapohutubu, bila kufunika kichwa, yuaaibisha kichwa chake; kwa maana ni sawasawa na yule aliyenyolewa
 
Mkuu Dogma na mapokeo ndo zimetawala kwenye Dini bila kufuata Maandiko
 
Mimi si muislam....lakini najua uislam ni mzuri sana lakini unachafuliwa sana ........na mara nyingine baadhi ya wanaojiita waislam.....hawafuati vile inavyotakiwa........CHUKI
 
Huna akil maendeleo yanatokana na nature yawatu sasa wa Algeria ambao kiasil niwatu waspanish utawafananisha nasie weus hata tupewe kibra ihamie hapa akil ndogo hatutoboi... Kwan wachina wamendelea kwajil yasharia
Mfumo wa dini umewasaidia,
 
Waislamu ni ndugu zetu kwa sababu tunaishi nao, tumesoma nao na pia tumefanya nao kazi na kushirikiana Mambo mbalimbali za kijamii.
Mwislamu akipata taarifa za msiba ataacha shuguri zote ajumuike na wewe pia hata kwenye sherehe ni hivyohivyo na Mara nyingi shuguri zao hazina michango ni wewe mwenyewe kujitoa.
Hawa wanaojifanya waislamu mtandaoni na kueneza chuki wanajisumbua kwani waislamu halisi tunaishi nao mitaani.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]Yaani wapo tofauti kabisa na bible nacheka tu.
Tofauti ni kwamba wakristo wamejiegemeza sana katika mambo mepesi kama Demokrasia, mambo ya uhuru uliyopitiliza na kugeuza sheria sio kwamba hawana sheria kali kwenye maandiko yao

Ila ukija upande wa wavaa kobazi wanajaribu kupractice zile sheria ziliwekwa kwenye maandiko sasa hii lazima ilete shida kwa jamii ambazo zimerahisisha mambo ilo wakubali wakatae wapo nje ya maandiko yao, ukiangalia namna wanavyosimplify mambo kutokana na akili zinavyowatuma
Wanalaumu sana kuhusu uislam na ukatili ila kiuhalisia kutofata maandiko yao wamezalisha ufisadi, wizi, uzinzi, ulevi, uteja, ushoga tena hadi unajadiliwa hadharani na wanazuoni wao wakubwa na wengine kupitisha uhuru wao.. watakwambia kinachoangaliwa ni matendo na moyo
Chini ya mataifa ya kiislam ayo mambo yote yanafanyika lakini watu wanafanya kwa siri ila mtu akibainika sheria inachukua nafasi na anapotezwa kabisa
 
Upo sahihi mkuu mtaani tunaish poa sana tu tunafanya miamala mbalimbali tunataniana tunacheka tunafurahi japo kuwa kuna baadhi ya watu walimezeshwa dhana mbaya kuhusu waislam uko utotoni ila wakishafika utu uzima tunaishi nao poa tu kwenye mitikasi ya hapa na pale tunakua pamoja izi chuki ukifatilia sana zipo mtandaoni tu ila mtaani life lipo tofauti na izi chuki za mtandaoni zingekua mtaani basi kila siku tungekua tunaokota maiti
 
Kaangalie hukumu za bible 😅😅tunaongelea bible sio wazungu hapa.


Ni kwamba wakristo hawafuati bible maana humo ndani kuna hukumu za kutisha bali wanafuata wazungu.


Wewe ni mkristo ila hufuati bible na hata ukisoma huelewi 😅😅bali unafuata wazungu bible ina ukatilia ndani yake ,ndani ya bible kumekandamiza haki za wnawake mpaka maandiko hayasomwi.

Uislamu upo practical ndio maana haubadiliki na hauna unafiki.

Mnahalalisha uzinifu kwa kujifanya mnabariki ndoa ,mara muwatenge waliozini halafu mnakuja kubariki ndoa yao kama sio unafiki n nn?

Ukristo haujakamilika bila ya maagizo ya Wazungu na sasa mtabariki ndoa za jinsia moja maana papa kashasema😅

Mnachukiana ndani ya madhehebu huku mnatumia bible moja halafu mnawawapenda na kuwatukuza wayahudi ambao hamtumii kitabu kimoja na wala sio wakristo..

Huwezi kuwa na akili timamu ukafuata huyo ujinga kama unabisha twende kimaandiko kama sijakutoa kamasi hapa.

Je nyie manaswar ni wanafiki dhidi ya kitabu chenu?
 
Haimaanishi ndo uwachukulie wanawake Kama ng'ombe

mwanamke ameumbwa ili aongozwe, Sasa nyinyi munaoishii ni fikra za kimagharibi za kuwa mwanamke na mwanamme ni sawa endeleeni tu mutaona matunda yake.
 
[emoji16][emoji16]umesoma vizuri nilichoandika Maalim
Me ni mvaa kobazi kwa hiali yangu and im proud
Waambie wagaratia
 
Sasa hapa mkuu sijaona wamesema ni dhambi kutofunika kichwa bali ataaibisha tu kichwa chake.
Kimsingi aibu ni subjective kama vile preference ni subjective.

Tutofautishe amri au sheria na mapokeo ya kitamaduni.
 
Moja katika ya bandiko bora sana.
Aione Bibie wa mitaa ya Tandamti FaizaFoxy na Ustaadhi wa gas for haitoki Ntwara THE BIG SHOW kwa utetezi

Mimi nina dini yangu Uislam,na wewe una dini yako UKRISTO,MIMI NIMERIDHIKA NA IMANI YANGU,BASI NA WEWE TOSHEKA NA IMANI YAKO,HAUABUDU NINACHOKIABUDU NA MIMI SITOWEZA ABUDU KILE AMBACHO WEWE UNAKIABUDU,KAMA UNAONA MIMI NA UISLAM WANGU NIMEPOTEA BASI TUSUBIRI BAADA YA KUFA NA KUONDOKA JUU YA HUU MGONGO WA ARDHI TUONE YUPI ALIKUWA KWENYE NJIA SAHIHI NA YUPI ALIPOTOKA,ITS JUST A MATTER OF TIME...
 

Who are the Talibans??uislam umekuwapo duniani karne nyingi hata kabla hiyo Taliban haijazaliwa,Taliban siyo Justification ya Validity of Islam,Islam ni MAIN SET kama watu wanapotoka haimaanishi kuwa wamekuwa influenced na Uislam.

Soma Uislam unasema nini kuhusu elimu,Education is mandatory to any muslim MEN & WOMEN,sasa unaongea kitu gani?
 
Sasa hapa mkuu sijaona wamesema ni dhambi kutofunika kichwa bali ataaibisha tu kichwa chake.
Kimsingi aibu ni subjective kama vile preference ni subjective.

Tutofautishe amri au sheria na mapokeo ya kitamaduni.
😅😅😅Jamaa umesoma shule gani? Jambo lolote lile la aibu halifai ,kadhalika wanawake wote wana aibu ni hulka yao .

Lile sanamu la Maria lipo kichwa wazi na mlishaambiwa wasizae mavazi yanayofanana na wanaume sasa kaangalie.

Je nyie ni wanafiki manaswara ? Ukienda kweny misiba yenu haswa mkiwa mnafanya ibada ya maiti pale kanisani basi utaona wakina dada wamekuja na nguo fupi ila wanajificha na kanga ...Ina maana mnajistiri kanisani pakiwa na msiba tu ....Nileteee andiko la kujistiri pakiwa na msiba nasilimu hapa.!!


Nimehudhuria ibada na naendelea kuhudhuria za mazishi kwa vile ndugu zangu na rafiki zangu wapo wakristo kibao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…