Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana


Uislamu unakosa Torelance kama ililiyopo katika Ukristo au Torelance aliyonayo Mungu, Ni dhambi ngapi watu wanafanya lakini bado Mungu anawaacha wabakie hai?

Lakini nyinyi kuna dhambi mtu akifanya ama mmkate viungo au mmpige mawe mpaka afe, Huyu ni Mungu wa wapi?
 
Ajabu uislamu ndio dini inayokua kwa kasi sana hapa ulimwenguni tujiulize wakristo tunakosea wapi hasa wakatoliki.
Hao watu wanazaliana kama Kunguni ndio maana wanakua kwa kasi.

Katika Biblia uislam unatokea kwa Ishmaeli, Yule mtoto ambaye Ibrahim alizaa na Kijakazi (Hajir).

Na Ukristo unatokea kwa Isaka ambaye alizaliwa kutoka kwa mke wake.

Haya Ishmaeli alizaa watoto 12 wakati Isaka alizaa wawili tu, Ukiangalia utaona haya mambo hayajaanza leo.
 
Hilo kanisa unalolifichaficha kulitaja hapa na ndio kanisa Kubwa duniani hayo mambo walifanya shetani akiwa nyuma yao wala hakuwa Mungu, na bado shetani yuko nyuma yao muda utasema. . . .

Na ufunuo wa kwenye Danieli 7 unaeleza yote deep down.
 
Mimi ni mkristo na Kujisitiri ni Agizo la Mungu na kama ukiona mwanamke anajistiri tu mahali fulani hapo kuna shida.

Biblia takatifu imeweka wazi katika 1 Timotheo 2:9~10

"Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani; bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo wanawake wanaoukiri uchaji wa Mungu."

Ukiona mkristo anaenda kinyume na hili anatenda dhambi na sisi kazi yetu itakuwa ni kuwahubiria tu jinsi wanavyotakiwa kuwa.

Au kuna wale dada zangu ambao eti anakuwa na nguo ambayo ni ya Kanisani na ambayo si ya kanisani. Hili ni tatizo dhambi haijawahi kuwa na mazingira.
 
Kwenye uislam ni haki bin haki hakuna ufisadi, rushwa, upigaji, kuchezea Kodi za wananchi, wizi, umalaya, adhabu yako ni panga ili iwe fundisho kwa wengine
Je ukristo unayahubiri haya uliyoyataja hapa chini?
 

Wewe nae ndio ni magumashi tu, Hiyo dini kubwa unayohitaja ambayo ilikuwa inahusika kuwaingiza watu katika mapipa, hao kwanza hawakuwa wafuasi wa kristo bali hao walikuwa ndio wanaopinga ukristo wakati Mitumi wa kristo wanaeneza ukristo, ndio maana akina Paulo walikuwa wanakabiliwa na changamoto nyingi sana pindi wanaihubiri injili.

Kwa hiyo unaejiita mkristo kwa akili yako hao waliowarusha watu kwenye simba wenye njaa, unafikiri walikuwa wakristo au wapagani tu? Na wakati wanawarusha hao watu kwenye simba wenye njaa walikuwa wanasema “nakurusha kwenye simba wenye njaa kwa jina la Yesu” , kama wale wanaosema nakuchinja huku akimtaja ALLAH. Jiongeze wewe toka kwenye dimbwi la wale wasiofikiri.

Alafu unajihita Holly star, bora hata mimi Man Filandu.
 
Vipi kwenye bible Mungu alipo mwambia Joshua na jeshi lake waue watu wote ?

Soma kitabu cha Samuel wa kwanza na Samuel wa pili uone idadi ya watu alio waua King David ambae alikuwa kipenzi cha Mungu halafu ndio uje uwaseme waislamu
Haya unayoyasema hapa yaliendelea hata baada ya kuja kwa yesu Krisho?
 
Mungu amewaahidi nini wanawake watakaoingia peponi katika Uislamu?
 
Kama uislam ungeruhusu kua free hivyo bila kusimamia sheria kali mbona nao ungeshakua wahovyo ukiwaacha watu wawe huru hasa wanawake mbona wataingia had nabikin msikitin binadam wanahitaji sheria kal yan ukivuka redline jambia linakuhusu
Kama Mungu asingekuwa na Torelance hata mimi na wewe Tungeshakuwa mavumbini siku nyingi.

Kama tumeamua kufuata matendo matakatifu ya Mungu haya matendo ya kuwahukumu watu inatupasa tuyaweke pembeni.
 
mwanamke ameumbwa ili aongozwe, Sasa nyinyi munaoishii ni fikra za kimagharibi za kuwa mwanamke na mwanamme ni sawa endeleeni tu mutaona matunda yake.
1. Hajaumbwa
2. Hajawepo ili aongozwe
Hizi ni ideas kutoka kwa dini zilizotengenezwa na wanaume kukandamiza wanawake
Kama una evidence ya mwanamke kuumbwa ili aongozwe niletee nasubiria
 
😂😂😂 Unavyotamani wenzako wachomwe ndo wenzako wanavyotaka uchomwe hivyo hivyo...kila mtu subiri ukifa subiri ukifa hivi vitisho mnapewa mkiwa watoto mnavibeba mpaka uzeeni. Kuna vitu ukikua unabidi uelewe kwamba vipo kwa ajili ya control tu havina uhalisia. Acha kutishia watu moto ambao kila dini inatumia kuvuta wafuasi
 
Hakuna sheria katika kitabu chenu ,je wale wazinifu wanaotengwa na kanisa wanaofnya ni waislamu?
 
Hapo sawa maana wanaishi kwa unafiki kama bible ipo wazi ila wanafuata wazungu😅😅
 
Mungu amewaahidi nini wanawake watakaoingia peponi katika Uislamu?
Naam !! Wanawake watapewa wanaume pia na pia wanawake wana masharti machache sana katika kufikia pepo.

Je unajua kwamba nyie wakristo mmepewa ahadi ya wanawake mia peponi kwenu? Kila kitu kitakuwa mara 100 huko peponi na mlichoacha dunia ...Kama unabisha nakupa andiko hapa.!!
 
Hakuna sheria katika kitabu chenu ,je wale wazinifu wanaotengwa na kanisa wanaofnya ni waislamu?
Ukitegwa unayo chance ya kuungama dhambi zako na kuanza upya ila hakuna mtu atakayekupiga hata kofi tu, unlike nyinyi ambao kukata mtu shingo ni kufumba na kufumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…