Plaintiff
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 307
- 216
Kitu kibaya ni kwamba hujui kuhusu uislamu na huo ndio mtazamo wako ,sikulaumu na ulichoongea hakina ukweli kwa asilimia zote .
Mbaya wengi wanaosma uislamu ndio wanasilimu ,uliloongea hapo halina ukweli kabisa zote ni nadharia za kimagharibi.
Uislamu umempa mwanamke cheo hata tunaamini pepo ipo chini ya nyayo ya mama(mwanamke) na sio baba ,kuna sehemu inafundisha katikq daraja nne basi tatu anabeba mwanamke katika wazazi(mama na baba) kwamba mama ana daraja 3 na baba ana moja.
Ukienda kweny kusoma hata utume alimpendelea binti ,sasa njoo kweny mirathi ndio utajua yaani mwanamke anapewa mirathi yake ila bado kaka yake anahusika kumlea kwa nguvu zake mpaka atakapoelewa huku akiwa hatumii hata thumni ya mirathi yake (Mwanamke).....Mwanamke huyo ndie ambaye hata mahari anataja yeye na sio mzazi na maamuzi ya kuolewa ni yeye....Mwanamke katika uislamu ukiangalia majukumu ya ndoa hata akizaa akinyonyesha mtoto wako wewe mwanaume unatakiwa kumlipa na hakuna sehemu imeonyesha kwamba mwanamke ni mama wa kufanya kazi za nyumbani....Ni mengi nikikutajia hapa hata nikuambia mwanamke anapewa stare ili kumpa thamni nyie mnasema haki za binadamu ila akitembea uchi ndio uhuru🙄.
Hakuna ugaidi na kama hukumu zipo kisheria mbona hata bible imetoa hukumu nyingi ,bible ilisema mwanamke hawezi kuwa kiongozi wala hatakiwi kuuliza swali kanisani ila anaenda kumuuliza mmewe nyumbani 😅😅haya hamyaon?...Sababu uislamu upo practical tukichambua hapa utajua sheria nyingi zinafana ila ukristo umathirika na wazungu ndio maana kwa sababu hata vipedo kanisani havikuhusu na utashangaa sanamu la maria na masister wamevaa hijabu ila waumini hawavai..😅
Hakuna hukumu uislamu kama dhambi tunasema haijalishi nan kafanya ..
Uislamu unakosa Torelance kama ililiyopo katika Ukristo au Torelance aliyonayo Mungu, Ni dhambi ngapi watu wanafanya lakini bado Mungu anawaacha wabakie hai?
Lakini nyinyi kuna dhambi mtu akifanya ama mmkate viungo au mmpige mawe mpaka afe, Huyu ni Mungu wa wapi?