Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana


Nitajie makundi matatu tu ya kigaidi ya kikristo?
 
Zipo nchi za, ki Islam na, zimeendelea Sana, Qatar, Saudia,Turkey, kuufanya uislam kama mfumo wa kisiasa ndio huwa shida, kama umemsoma baba wa taifa LA uturuki, Mustafa ataturk, aligundua hii kitu, akajenga secural, society inayofata uislam, Ila, alizuia, political islam kuendesha nchi, na maisha ya watu, uturuki, wapo wanaovaa hijab, asietaka poa, sio, kama Iran, ambapo usipovaa hijabu, unakula mijeredi balabalani,
Kilichopo Afghanistan Somalia, Iran, ni mfumo wa hovyo Sana wa dini(kwa vigezo vya west), dini kama dini haileti maendeleo, sie huku Afrika mashariki, na mifumo yetu kristo, tuliyoiga Magharibi, imetuletea nini zaidi ya wizi, umaskini, siasa mbovu,rushwa,Iran ni industrial economy, inatengeneza siraha, za, kivita, Urusi anaomba Masada kutoka Iran wa, siraha, sie na Christianity system zetu,tunaenda kuomba unga na mafuta!
Bottom line, kinachoitwa demokrasia global North, hakiwezi kuwa sawa, na kinachoitwa democrscy global South,
China, UK, USA, Iran, Urusi, ni super powers, lakini wana mifumo tofsuti ya kisiasa, kama inaleta tija kwa jamii husika, inatosha,
 
Papa amewaambia mffirran"e ili mittaco yenu ilegee
 

Attachments

  • Screenshot_20231003-230402.png
    59.6 KB · Views: 5
kizuri upgwa mawe,sheria ni za mungu zote hzo ukiiba unakatwa kiganja ukirudia mkono huoni kuwa ndyo watu wataogopa!?kutoka kwenye imani ni kifo sababu hatufanyi mchezo wala biashara ya dini,.vikundi vya kigaidi ni ajenda za mmarekani baada kuona dini inakuwa kwa kasi ya 45g
 
Je taliban Ni Quran au taliban ni Ishara ya quran
 
Vipi kuhusu Akon mkuu..
Ndo maana nikasema kila sehemu na Taratibu zake Iran ni nchi inayoendeshwa kwa sheria za kiislamu..

Kwa sheria za kiislamu sio kukumbatia tu hairuhusiwi hata kushika mikono na Mwanamke ambaye afaa kuwa mke wako
Sawa sheikh
 
Sheria za Mungu ulimsikia akizisema au muarabu mmoja kaota pangoni na nyie mmeamini
 
Wenyewe watakubishia.
 
Tunazungumzia kuhusu ukamilifu wake na dosari yake, ITABIDI WANAZUONI WAINGILIE KATI WAINDOSHE VIFUNGU KATILI NDANI YA KURAAN. ILI IWE DINI BORA ZAIDI.
Kwani Mwamed anasemaje kuhusu ukatili,uharamia,utekaji,uzalikishaji wanawake,kuoa vibinti vidogo,kulipa visasi na ubaradhuli.
 
Nitajie makundi matatu tu ya kigaidi ya kikristo?
Bila shaka mkuu na sio matatu ntakutajia hata kumi...

  • Lord's Resistance Army (LRA) Hiki kundi lipo au linafanya kazi sana Uganda,Sudan na DRC wanajiita wao wametumwa na Mungu kuzuia Utawala wa kiovu kwa kuua
  • Army of God hawa mzee ndo chinja chinja wao kuua na kuchoma nyama mtu kumla hawaoni shida wapo marekani hawa mzee wanasema aanasimamia sheria za yehova..
  • Ku Klux Klan (KKK) lililokuwa nchini marekani siku hizi halina kashi kashi sana
  • Eric Rudolph kama utakuwa na umri mrefu sana utamkumbuka huyu jamaa aliyelipua olympiq park atlanta marekani mwezi wa Saba mwak 1996
  • The Phineas Priesthood hawa wanafnya domestic terrorist sana na wanasema kwamba wao ndo kabila liliopotea la israel
  • Hutaree (Ambao kwa mujibu wa wao Wanasema maana yake ni Mashujaa wa Yesu) ni kundi la wanamgambo wanaofuata itikadi kama Christian Patriot, kundi hilo lilianzishwa mapema mwaka wa 2006.
  • The Concerned Christians,The sword ,The convenants ,Jesuits ....
  • knight templar
Naomba niishie hapo maana ni mengi sana mkuu..
Umajua kwanini hayatajwi tajwi kwa sababu yanaua wale watu ambao Marekani wanataka wauwawe...
Ndo maana imeonekana kama UGAIDI UKO UARABUNI TU LAKINI KIFUPI NI KWAMBA KWA Wazungu kuna Ugaidi mwingi kulilo uarabuni kwa kigezo cha Dini
 
kipindi hiko muhammad hakua hata amezaliwa na hata quran haikuwepo kumbuka qurani alishushiwa muhammad
 
Hao uliowataja hawafikii hata asilimia 10 ya madhila waliofanya al qaeda, boko haram, hamas, na al shababy

Warabu kila siku wanakimbilia ulaya in search of better life kwanini hawakimbilii uarabuni kwa ndugu zao
 
Mbona humzungumzii Rais wa Socaa kma sikosei Hispania aliyemkumbatia na kumbusu mchezaji wa kike baada ya kushinda hukumu yake?
Unaandika vitu havifanani.

Mi naongelea adhabu ya Iran. Kwani yule Rais wa Hispania Iran imemuambia nini?
 
Hao uliowataja hawafikii hata asilimia 10 ya madhila waliofanya al qaeda, boko haram, hamas, na al shababy

Warabu kila siku wanakimbilia ulaya in search of better life kwanini hawakimbilii uarabuni kwa ndugu zao
Hawafiki kwa sababu Huambiwi wala huwatajaribu "kukukalukuletia" Athari walizosababisha kwa sababu itaenda kinyume na mipango hao Ya NWO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…