jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Muda mwingi Huwa nasema kama huna Elimu na Kitu ni bora kunyamaza kwani Unatengeneza Tabia kichwani kujiona Kama unakijua kumbe hta robo hujui..
Ndugu Mhaya Pengine nikuambie kwamba huitaji elimu kubwa sana kuhusu Uislamu ili kujua ulichoandika Sio sahihi hata kidogo..
Unanasibisha Makundi ya kigaidi na uislamu kitu ambacho sio sahihi japo yanaongozwa na baadhi ya waislamu wasio kuwa na Nia nzuri na uislamu ila haibadilishi dhamira nzima ya Uislamu kwa jamii..
Uislamu hairuhusu kamwe kumwaga damu ya Mtu yoyote na Mtu atakayemwaga hata damu ya mtu mmoja huhesabiwa ni kama amefanya mauaji ya Dunia nzima..
na yoyote atakayefanya Kazi ya kumuokoa mtu mmoja ni kama ameokoa Dunia nzima.. Kwa kuanzia yaani kwa wewe kama basic kasome Suratul Maida aya 32
KUHUSU WANAWAKE..
Huwa nasema hivi Dini zote zenye imani ya ibrahim zote zima sheria zinazofanana kuhusu Wanawake..
Japo kwa sheria za Kikristo zimezidi ukandamizi kuliko Dini zote (Jaribu kusoma biblia),Utagundia kwamba wanawake hawakuhesabiwa kitu na walionekana kama kituko mtu kuzaa wanawake na alionekana kidume mtu kuzaa wanaume..
Kabila la 13 La yakobo Huwezi kulisikia popote wala mtoto wa 13 huwez kumsikia popote akitajwa kwa sababu tu Dina alikuwa ni mwanamke ..
Na sehemu nyingi sana mwanamke amekandamizwa na kuonekana asiye na thamani....
Hilo swala liko tofauti katika upande wa uislamu kwani nyumba ya mtume Inayoitwa Tukufu (ahulul bayt) Imetokana na Mtoto wa mtume Fatma ambaye ni mtoto wa kike katika uislami mwanamke kapewa favor kubwa sana..
kuhusu ugaidi kuna makundi mengi sana ya kikristo ya ugaid as same as muslim
Nitajie makundi matatu tu ya kigaidi ya kikristo?