peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
🤝Dodoma na Singida zipo katikati ya Tanzania,Tanga ipo pembezoni mwa Nchi huwezi kufika Dodoma na Singida pasipo kupitia Mikoa ya Iringa,Morogoro,Manyara,Tabora na Mbeya.
Waziri atakuwa anadhani bado yupo huko Kwao Zanzibar.
Ni sawa embu zitaje wilaya ambazo hiyo barabara itapitia?inawezekana according to hii ramaniView attachment 2424672
rejea post namba 3Ni sawa embu zitaje wilaya ambazo hiyo barabara itapitia?
Au wakati wa ujenzi itapitaje mkoa wa manyara na morogoro?
Au itapita hewani?
Ramani haina DSMinawezekana according to hii ramaniView attachment 2424672
Hii ramani haina mkoa wa Simiyurejea post namba 3
Swali ni moja tu, barabara inapitia wilaya ipi na ipi kutoka tanga hadi singida?Unatoka korogwe Handeni -kiberashi-Kibaya-Kwa mtoro-Singida
Yaani wewe Ni kiazi, hayo maeneo yaliyotajwa yako wilaya tofauti kuanzia Korogwe, Handeni, Kilindi, Kiteto, Kondoa/Chemba Hadi Singida.Swali ni moja tu, barabara inapitia wilaya ipi na ipi kutoka tanga hadi singida?
Sio changa la macho mkuu,iko barabara inaingilia maeneo ya Dumila kama sikosei,inakwenda kutokezea Handeni then inakutana na barabara ya Dar-Tanga maeneo ya Mkata,ni shortcut nzuri sana ila kwa sasa ni rough road,badala ya kutokea Dodoma ukaenda Morogoro mpaka chalinze ndio uanze kuitafuta Tanga...Nimemsikia waziri ujenzi , Prof Mbarawa akisema kunaujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida .
Hii barabara mpya itapitia maeneo gani au wilaya zipi ndani ya hiyo mikoa mitatu aliyoitaja?
Mwenye uelewa tafafhali ninahisi Prof ametupiga changa la macho.
Au ilani ya ccm inasemaje kuhusu hiyo barabara?
Ukipima kutoka mashariki to magharibi center ipo singida hata jiwe la katikati ya nchi lipo singida.Kumbe SINGIDA ndo mkoa ulio katikati ya nchi na si Dodoma
Wewe ni MWEHU, swali nimeulizwa , Je kuna uwezekano wa ujenzi wa barabara kutoka Tanga kupita Dodoma kwenda Singida bila kupitia mikoa mingine?Yaani wewe Ni kiazi, hayo maeneo yaliyotajwa yako wilaya tofauti kuanzia Korogwe,Handeni,Kilindi,Kiteto,Kondoa/Chemba Hadi Singida..
Kama umewahi pita Barabara ya Singida-Babati nje kidogo ya Mji wa Singida utaona Kibao kinaonesha uelekeo wa Dodoma(Kondoa eneo la Kwa Mtoro)..
Na kwa taarifa yako hii Ni Barabara kuu ya ku serve Bandari ya Tanga na iko ndani ya Central Corridor na Ni miongoni mwa Barabara za kimkakati za Afrika Mashariki.
Hivi nyie Chadomo huwa mnaleta ubishi wa Nini hasa?👇
? ! 🤣🤣🤣🤣huwezi kufika Dodoma na Singida pasipo kupitia Mikoa ya Iringa,Morogoro,Manyara,Tabora na Mbeya.