Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ongezea KitetoNadhani itapita Tanga, Korogwe, Handeni, Kilindi, Dodoma hadi Singida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongezea KitetoNadhani itapita Tanga, Korogwe, Handeni, Kilindi, Dodoma hadi Singida.
Mkuu pole sana.Dodoma na Singida zipo katikati ya Tanzania,Tanga ipo pembezoni mwa Nchi huwezi kufika Dodoma na Singida pasipo kupitia Mikoa ya Iringa,Morogoro,Manyara,Tabora na Mbeya.
Waziri atakuwa anadhani bado yupo huko Kwao Zanzibar.
Unataka ukanunue viwanja karibu na barabaraNimemsikia Waziri Ujenzi , Profesa Mbarawa akisema kunaujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida .
Hii barabara mpya itapitia maeneo gani au wilaya zipi ndani ya hiyo mikoa mitatu aliyoitaja?
Mwenye uelewa tafafhali ninahisi Prof ametupiga changa la macho.
Au ilani ya CCM inasemaje kuhusu hiyo barabara?
weka kondoa hapoOngezea Kiteto
Pitia post #42weka kondoa hapo
Singida ni kati kati ya nchi ya Tanzania. Dodoma ni Kati Kati ya nchi kisiasaKumbe SINGIDA ndo mkoa ulio katikati ya nchi na si Dodoma
Hiyo barabara itaunganisha mikoa ya Manyara, Dodoma na Tanga directly lakini pia na Singida indirectly.Nimemsikia Waziri Ujenzi, Profesa Mbarawa akisema kunaujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida.
Hii barabara mpya itapitia maeneo gani au wilaya zipi ndani ya hiyo mikoa mitatu aliyoitaja?
Mwenye uelewa tafafhali ninahisi Prof. ametupiga changa la macho.
Au ilani ya CCM inasemaje kuhusu hiyo barabara?
Umenyoosha sana.Mkuu pole sana.
Chukua ramani ya Tz uipitie upya.
Barabara imeanzia Handeni Tanaga, inapitia Kondoa..Dodoma hadi Singida.
kazi imeanza kitamboa baadhi ya maeneo
View attachment 2424776
Nisaidie kupindisha mkuu🤣Umenyoosha sana.
Yaani wewe Ni kiazi, hayo maeneo yaliyotajwa yako wilaya tofauti kuanzia Korogwe, Handeni, Kilindi, Kiteto, Kondoa/Chemba Hadi Singida.
Kama umewahi pita Barabara ya Singida-Babati nje kidogo ya Mji wa Singida utaona Kibao kinaonesha uelekeo wa Dodoma(Kondoa eneo la Kwa Mtoro)
Na kwa taarifa yako hii Ni Barabara kuu ya ku serve Bandari ya Tanga na iko ndani ya Central Corridor na ni miongoni mwa Barabara za kimkakati za Afrika Mashariki.
Hivi nyie Chadomo huwa mnaleta ubishi wa Nini hasa?👇
Ndo nilichotaka kumuambia!inawezekana according to hii ramaniView attachment 2424672
Si barabara hii wanaolilia ni ile ya Mombasa-Taveta -Holili! Haipitii Tanga!..KENYA wanalilia hiyo barabara ijengwe ili bandari ya Mombasa iongeze ushindani kwa bandari ya D'Salaam kwa mizigo inayokwenda Rwanda, Burundi, na DRC.
..pia kuna geti kule Serengeti nalo wanataka lifunguliwe ili watalii watoke Nairobi waingie Maasai-Mara, halafu Serengeti, na baadae warudi Nairobi.
cc Geza Ulole
Una akili ya kijasusi. Kuna maendeleo mengine tukiyafanya ni hasara. Mimi naona kwa sasa hiyo mikoa imeungana. Wilaya ziungwe ungwe lakini sio kuwa na Highway from Tanga to Singida. Itakuwa shortcut kwa Mombasa na tutajimaliza kiushindani...KENYA wanalilia hiyo barabara ijengwe ili bandari ya Mombasa iongeze ushindani kwa bandari ya D'Salaam kwa mizigo inayokwenda Rwanda, Burundi, na DRC.
..pia kuna geti kule Serengeti nalo wanataka lifunguliwe ili watalii watoke Nairobi waingie Maasai-Mara, halafu Serengeti, na baadae warudi Nairobi.
cc Geza Ulole
Dodoma na Singida zipo katikati ya Tanzania, Tanga ipo pembezoni mwa Nchi huwezi kufika Dodoma na Singida pasipo kupitia Mikoa ya Iringa, Morogoro, Manyara, Tabora na Mbeya.
Waziri atakuwa anadhani bado yupo huko Kwao Zanzibar.
Acha mihemuko. Ukitoka Dodoma, unaelekea wilaya ya Chemba. Unapita kata ya Farkwa ambapo patajengwa bwawa, unapita kata ya Kwa mtoro then unatokezea Ikungi (Makiungu) ndio unaingia Singida mjini. Ni bonge moja la short cut...Wewe ni MWEHU, swali nimeulizwa , Je kuna uwezekano wa ujenzi wa barabara kutoka Tanga kupita Dodoma kwenda Singida bila kupitia mikoa mingine?
Wewe ulipata Geography zero. Kiteto ipo mkoa wa Manyara na sio Dodoma.
Prof Mbarawa, tukusaidie .
Hiyo barabara inatakiwa ipitie mikoa ya Dodoma na manyara ndipo ifike Singida kwa kutokea Tanga.
vinginevyo huku bara hupajui vizuri na utakuwa kila siku kwenye ziara ya Rais unamdanganya.
Sasa Kuna shida gani mzigo wa Mombasa au Dar ports kupitia Bandari ya Tanga?..KENYA wanalilia hiyo barabara ijengwe ili bandari ya Mombasa iongeze ushindani kwa bandari ya D'Salaam kwa mizigo inayokwenda Rwanda, Burundi, na DRC.
..pia kuna geti kule Serengeti nalo wanataka lifunguliwe ili watalii watoke Nairobi waingie Maasai-Mara, halafu Serengeti, na baadae warudi Nairobi.
cc Geza Ulole
Hayo huwa Ni majinga unajichosha tuu bure Mimi nimeamua kuyaacha na upuuzi wao.Acha mihemuko. Ukitoka Dodoma, unaelekea wilaya ya Chemba. Unapita kata ya Farkwa ambapo patajengwa bwawa, unapita kata ya Kwa mtoro then unatokezea Ikungi (Makiungu) ndio unaingia Singida mjini. Ni bonge moja la short cut...
Haitafika barabara ya Moro- Dodoma bali itapitia Wilaya Chemba..kwa Mtoro kuelekea Singida ambapo itapitia Makyungu na itaishi njia panda ya Makyungu na Arusha roadDodoma na Singida zimeunganishwa kwa lami.
Bila shaka hii barabara itaanzina njia panda ya Kiteto kupitia Wilaya ya Kongwa maeneo kama Ngomai(Kongwa) Engusero, Kibaya, Mbigiri, Pori kwa Pori (Kiteto, Manyara), halafu itaingia wilaya ya Kilindi-Songe then Handeni-Mkata.
NB: Njia ya kwenda Kiteto-Kilindi-Handeni inayoanzia barabara ya Dodoma-Morogoro haina lami. Kwa hiyo nidhani kazi itakuwepo hapo