Sasa Kuna shida gani mzigo wa Mombasa au Dar ports kupitia Bandari ya Tanga?
Wajenge haraka Sana
Mkuu ukitaja Mvomero, tayari umetaja mkoa wa Morogoro na Prof mbarawa hakuutaja mkoa wa MOROGORO, bali alitaja Tanga,Dodoma kwenda Singida
Dodoma Kiteto kilindi handeni tanga hakuna changa la machoDodoma na Singida zipo katikati ya Tanzania, Tanga ipo pembezoni mwa Nchi huwezi kufika Dodoma na Singida pasipo kupitia Mikoa ya Iringa, Morogoro, Manyara, Tabora na Mbeya.
Waziri atakuwa anadhani bado yupo huko Kwao Zanzibar.
Una akili ya kijasusi. Kuna maendeleo mengine tukiyafanya ni hasara. Mimi naona kwa sasa hiyo mikoa imeungana. Wilaya ziungwe ungwe lakini sio kuwa na Highway from Tanga to Singida. Itakuwa shortcut kwa Mombasa na tutajimaliza kiushindani.
Kwa hiyo itafika Kibaya Kiteto kuelekea Chemba?Haitafika barabara ya Moro- Dodoma bali itapitia Wilaya Chemba..kwa Mtoro kuelekea Singida ambapo itapitia Makyungu na itaishi njia panda ya Makyungu na Arusha road
Bila shaka, naomba nisikuhakikishie sana.Kwa hiyo itafika Kibaya Kiteto kuelekea Chemba?
😂😂😂😂we jamaaDodoma na Singida zipo katikati ya Tanzania, Tanga ipo pembezoni mwa Nchi huwezi kufika Dodoma na Singida pasipo kupitia Mikoa ya Iringa, Morogoro, Manyara, Tabora na Mbeya.
Waziri atakuwa anadhani bado yupo huko Kwao Zanzibar.
Yuko sahihi sana...@Geza Ulole amenisahihisha kwamba barabara tishio ni Mombasa--Taveta--Holili.
..mimi nadhani barabara hiyo ijengwa baada ya SGR kukamilika ili bandari yetu isiathirike.
Mbona JembeKillo keshazitaja.Ni sawa embu zitaje wilaya ambazo hiyo barabara itapitia?
Au wakati wa ujenzi itapitaje mkoa wa manyara na morogoro? Au itapita hewani?
Unaweza kukuta kwenye hzo ncha zilizoungana kati ya dodoma na tanga kuna bonge la bonde ambalo litagharimu mahela mengi au haiwezekan kabisa barabara kupitainawezekana according to hii ramaniView attachment 2424672
Ile sio shortcut. Pointi kubwa ninayounga mkono hoja yako hapa ni "shortcut"...@Geza Ulole amenisahihisha kwamba barabara tishio ni Mombasa--Taveta--Holili.
..mimi nadhani barabara hiyo ijengwa baada ya SGR kukamilika ili bandari yetu isiathirike.
Hii barabara ni muhimu sana kwa tanzania hasa kwa bandari ya tanga, lakini pia kwa kenya, bandari ya mombasa.Hiyo barabara itaunganisha mikoa ya Manyara, Dodoma na Tanga directly lakini pia na Singida indirectly.
Kwa Mkoa Manyara itapitia inapopita barabara ya kokoto/vumbi kutoka Katesh hadi Kondoa. Ikifika Kondoa itakuwa imeungwa na barabara ya Dodoma-Arusha pale Bucha round about karibu na kituo cha kupooza/kuwasha umeme cha TANESCO. Hapo itashuka kilometre kadhaa then itaingia kushoto kama unaenda kiteto. Nadhani itapita Kongwa, Kiteto, Handeni hadi itakapoungana na T2( Chalinze-Segera) au Segera-Himo.
Ikishafika Katesh inakuwa imeungwa na Singida kwa barabara ya Singida-Babati. Na ikifika barabara ya Segera-Himo, inakuwa imeungwa na Tanga moja kwa moja.
Dah. Kwanini morogoro isigawanywe yani ni kubwa kuliko jimbo la Texas Marekani.inawezekana according to hii ramaniView attachment 2424672
Unawasiwasi na mipango ya Profesa? Kitu ambacho kwa akili ya kawaida haiwezekani, Kwa akili za kiprofesa itawezekana. Kaa Kwa kutulia, subiri utekelezaji. Utekelezaji ukikwama kwenye makaratasi usishhangae pia🤣🤣🤣Nimemsikia Waziri Ujenzi, Profesa Mbarawa akisema kunaujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida.
Hii barabara mpya itapitia maeneo gani au wilaya zipi ndani ya hiyo mikoa mitatu aliyoitaja?
Mwenye uelewa tafafhali ninahisi Prof. ametupiga changa la macho.
Au ilani ya CCM inasemaje kuhusu hiyo barabara?
Kwahiyo shida utajwe mkoa wa Morogoro?? Haya waziri alisahau kutaja huo mkoaMkuu ukitaja Mvomero, tayari umetaja mkoa wa Morogoro na Prof mbarawa hakuutaja mkoa wa MOROGORO, bali alitaja Tanga,Dodoma kwenda Singida
Bandari ya Mombasa haiwezi faidika na hiyo barabara kushinda bandari ya tanga..KENYA wanalilia hiyo barabara ijengwe ili bandari ya Mombasa iongeze ushindani kwa bandari ya D'Salaam kwa mizigo inayokwenda Rwanda, Burundi, na DRC.
..pia kuna geti kule Serengeti nalo wanataka lifunguliwe ili watalii watoke Nairobi waingie Maasai-Mara, halafu Serengeti, na baadae warudi Nairobi.
cc Geza Ulole
Hakuna bonde lolote, sema hapo eneo hilo hakukuwa na historia ya barabara, barabara ya kwenda mikoani toka enzi za ukoloni ilianzia dar ama Bagamoyo kwenda Morogoro, na miaka mingi maendeleo ya usafirishaji yalilenga hukoUnaweza kukuta kwenye hzo ncha zilizoungana kati ya dodoma na tanga kuna bonge la bonde ambalo litagharimu mahela mengi au haiwezekan kabisa barabara kupita
Bandari ya Mombasa haiwezi faidika na hiyo barabara kushinda bandari ya tanga
Katafute Atlas ya Tanzania mkuu.Nimemsikia Waziri Ujenzi, Profesa Mbarawa akisema kunaujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida.
Hii barabara mpya itapitia maeneo gani au wilaya zipi ndani ya hiyo mikoa mitatu aliyoitaja?
Mwenye uelewa tafafhali ninahisi Prof. ametupiga changa la macho.
Au ilani ya CCM inasemaje kuhusu hiyo barabara?