Ujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida itapitia maeneo gani?

Kumbe SINGIDA ndo mkoa ulio katikati ya nchi na si Dodoma
Ndiyo, Kuna jiwe lipo Itigi Manyoni ambao alipima mjerumani enzi zake. Shida pale hakuna maji, Nyerere akaona isiwe shida, akapeleka makao Makuu Dodoma.
 
Dodoma na Singida zipo katikati ya Tanzania, Tanga ipo pembezoni mwa Nchi huwezi kufika Dodoma na Singida pasipo kupitia Mikoa ya Iringa, Morogoro, Manyara, Tabora na Mbeya.

Waziri atakuwa anadhani bado yupo huko Kwao Zanzibar.
Hii jiografia kiboko
 
Haipiti Dumila, inapita mkoa wa Manyara, Haipiti Morogoro. Tanga to Singida na dom kupitia Morogoro ni njia inazunguka sana, wanataka kupunguza umbali
 
Habarini ndugu. naomba mwanye anajua mahali ujenzi ambapo umeshaanza tayari nisogee nipate ajila.. hali ngumu wajameni
 
Dodoma na Singida zipo katikati ya Tanzania, Tanga ipo pembezoni mwa Nchi huwezi kufika Dodoma na Singida pasipo kupitia Mikoa ya Iringa, Morogoro, Manyara, Tabora na Mbeya.

Waziri atakuwa anadhani bado yupo huko Kwao Zanzibar.
Kwa jiografia hii[emoji848][emoji115], basi atoke Tanga apitie kabisa Lusaka Zambia, Kisha Mbeya -Rukwa-Tabora-Singida
 
Mkuu habari?
Hii rout bus zake nauli bei gani , kutoka tanga mpk kondoa via kilindi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…