Ujenzi wa barabara ya mwendokasi, Magomeni - Karume waanza kwa fujo

Kabisa!
 
Nchi ina master plan, acheni mambo ya JK sijui JPM. Kila kinachofanyiko kiko planned, mchango wa rais ni usimamizi.
Hiki ndiyo watu wengi hawajuwi,kua Nchi hii tayari mipango yake iko kwenye Ramani toka enzi za Mkoloni! Hata Kama kutakua na mabadiliko,yatakua ni kidogo tu hasa kutokana na population ya wakati uliopo!! Watu naona wao wamekazana eti tuweke ajenda za kitaifa wakati Baba wa Taifa alishamaliza mipango yote ya Tanzania kwenye Ramani!!
 
Ila utekelezaji wa hiyo mipango ndio la muhimu zaidi, haiwezekani mpango kama wa Rufiji umekaa kwenye mafaili tangu 1970’s lakini 2020 ndio unatekelezwa, lazima ushujaa apewe alietekeleza
 
Hizo zote ni juhudi za Magufuli na mama anaziendeleza.

Anatokea huko msukule wa Mbowe anaharisha Magufuli hakufanya lolote. Zero brain kabisa.
Ukisikia power of propaganda ndiyo hii, yaani bado hamuamini kama hayupo tena na sasa tuna awamu ya 6, poleni sana.
 
Huku Mbagala hawajamaliza wataanza je huko?mradi huu unaenda kwa phase,sasa hivi wanajenga phase 2 kulwa road,hiyo ya kigogo inayosema wewe ni phase ipi?
Nadhani huo ni ukarabati wa kawaida kama ule ujenzi uliofanywa temeke, polisi,tmk,hospitali,tmk sundan kutokezea mtoni kwa Aziz ally

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Bila kuboresha mindset ya wanaouendesha mradi huo miundombinu yote inabaki kazibure
 
Kwanini sasa havikujenjwa awamu io?
 
Hizo zote ni juhudi za Magufuli na mama anaziendeleza.

Anatokea huko msukule wa Mbowe anaharisha Magufuli hakufanya lolote. Zero brain kabisa.
Hivi mnavuta bangi ya wapi ninyi wasukuma?
Mfu anajuhudi gani?
 
Hiyo ya Mbagala ni phase 3, ilianza kabla ya hii ya phase 2
 
Mkuu una uhakika ni BRT hiyo? Umeona kibao cha Ujenzi? isije ikawa maboresha ya njia za michepuko tu.
Sijaona kibao, ila kwa upanizi ule wa barabara na ufumuaji ule wa barabara , halafu uje ujenge barabara ya kawaida halafu baada ya miezi 6 uvunje tena kujenga BRT, hiyo itakuwa ni akili au uwendawazimu? Ile ni BRT tu, kwa vyovyote vile
 
Ila hiyo terminal 3 pesa ili liwa yote, kaja kuijenga Magu na akawambia pesa ikiliwa mtaitolea popote pale

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hizo zote ni juhudi za Magufuli na mama anaziendeleza.

Anatokea huko msukule wa Mbowe anaharisha Magufuli hakufanya lolote. Zero brain kabisa.
Mabarabara n kitu cha kujisifia kwel,acha upunguani
 
Njia 8 ni JK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…