jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Punguza Wivu,Nchi inaanziaga Mjini na siyo Kijijini!!Nchi iko mikoani vijijini sio Dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza Wivu,Nchi inaanziaga Mjini na siyo Kijijini!!Nchi iko mikoani vijijini sio Dar
Kabisa!Hiyo yote alikuwa ni mipango ya JK. Mipango ya JPM ni ile ya ujenzi Wa chato, vitambulisho vya machinga, wakulima kusamehewa kusafirisha mazao yao yasiyozidi gunia 10, machinga wasiguswe wafanye biashara popote, na ujenzi Wa njia 8 kwenda Kibaha na ukuta Wa melerani.
Hiki ndiyo watu wengi hawajuwi,kua Nchi hii tayari mipango yake iko kwenye Ramani toka enzi za Mkoloni! Hata Kama kutakua na mabadiliko,yatakua ni kidogo tu hasa kutokana na population ya wakati uliopo!! Watu naona wao wamekazana eti tuweke ajenda za kitaifa wakati Baba wa Taifa alishamaliza mipango yote ya Tanzania kwenye Ramani!!Nchi ina master plan, acheni mambo ya JK sijui JPM. Kila kinachofanyiko kiko planned, mchango wa rais ni usimamizi.
Ila utekelezaji wa hiyo mipango ndio la muhimu zaidi, haiwezekani mpango kama wa Rufiji umekaa kwenye mafaili tangu 1970’s lakini 2020 ndio unatekelezwa, lazima ushujaa apewe alietekelezaHiki ndiyo watu wengi hawajuwi,kua Nchi hii tayari mipango yake iko kwenye Ramani toka enzi za Mkoloni! Hata Kama kutakua na mabadiliko,yatakua ni kidogo tu hasa kutokana na population ya wakati uliopo!! Watu naona wao wamekazana eti tuweke ajenda za kitaifa wakati Baba wa Taifa alishamaliza mipango yote ya Tanzania kwenye Ramani!!
Ukisikia power of propaganda ndiyo hii, yaani bado hamuamini kama hayupo tena na sasa tuna awamu ya 6, poleni sana.Hizo zote ni juhudi za Magufuli na mama anaziendeleza.
Anatokea huko msukule wa Mbowe anaharisha Magufuli hakufanya lolote. Zero brain kabisa.
Kwanini sasa havikujenjwa awamu io?Hiyo yote alikuwa ni mipango ya JK. Mipango ya JPM ni ile ya ujenzi Wa chato, vitambulisho vya machinga, wakulima kusamehewa kusafirisha mazao yao yasiyozidi gunia 10, machinga wasiguswe wafanye biashara popote, na ujenzi Wa njia 8 kwenda Kibaha na ukuta Wa melerani.
Hivi mnavuta bangi ya wapi ninyi wasukuma?Hizo zote ni juhudi za Magufuli na mama anaziendeleza.
Anatokea huko msukule wa Mbowe anaharisha Magufuli hakufanya lolote. Zero brain kabisa.
Mkuu una uhakika ni BRT hiyo? Umeona kibao cha Ujenzi? isije ikawa maboresha ya njia za michepuko tu.Naona barabara ya kuelekea Karume tokea Kigogo 2014 inayotokea magomeni imeshaanza kufumuliwa na kutanuliwa kwa fujo, tayari kwa kutandikwa mkeka wa BRT. Taarifa zimfikie CAG. Leo naweka picha kabisa.
View attachment 1755801
Anakomaa na mi covid tu yule wakati watu wanachapa kaziHizo zote ni juhudi za Magufuli na mama anaziendeleza.
Anatokea huko msukule wa Mbowe anaharisha Magufuli hakufanya lolote. Zero brain kabisa.
Hiyo ya Mbagala ni phase 3, ilianza kabla ya hii ya phase 2Huku Mbagala hawajamaliza wataanza je huko?mradi huu unaenda kwa phase,sasa hivi wanajenga phase 2 kulwa road,hiyo ya kigogo inayosema wewe ni phase ipi?
Nadhani huo ni ukarabati wa kawaida kama ule ujenzi uliofanywa temeke, polisi,tmk,hospitali,tmk sundan kutokezea mtoni kwa Aziz ally
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sijaona kibao, ila kwa upanizi ule wa barabara na ufumuaji ule wa barabara , halafu uje ujenge barabara ya kawaida halafu baada ya miezi 6 uvunje tena kujenga BRT, hiyo itakuwa ni akili au uwendawazimu? Ile ni BRT tu, kwa vyovyote vileMkuu una uhakika ni BRT hiyo? Umeona kibao cha Ujenzi? isije ikawa maboresha ya njia za michepuko tu.
Ila hiyo terminal 3 pesa ili liwa yote, kaja kuijenga Magu na akawambia pesa ikiliwa mtaitolea popote paleHuyo Vasco dagama ndiye kajenga Barbara zote za lami kuunganisha mikoa na wilaya, ndiye kajenga UDOM, ndiye kajenga mwendokasi, ndiye kaja na mpango Wa SGR, ndiye kajenga terminal 3 Dar ea salaam airport, kajenga kambi na vyuo vya kijeshi, ukumbi Wa meal nyerere ulijengwa na yeye, mlimani city je? ndiye kaja na mpango Wa flyovers zote, ndiye kajenga nyumba za gorofa za askari na usalama, ndiye kavuta maji kutoka wami kwenda Handeni na Chalinze, ndiye kaanzisha kuvuta maji kutoka ziwa Victoria kwenda mikoa ya Mwanza, shinyanga, tabora, hadi Dodoma, ndo kajenga shule za kata na dispensaries kila kijiji, magora yote Dar yamejengwa wakati wake. Hivi JK utamfananisha na nani?
Upembuzi sawa , je usimamizi inakuwaje, unaweza ukapanga vizuri je uterekezaji vipi!Hata njia nane alikuta upembuzi ulishafanyika
Hapo ndipo pakujiuliza!Kwanini sasa havikujenjwa awamu io?
Mabarabara n kitu cha kujisifia kwel,acha upunguaniHizo zote ni juhudi za Magufuli na mama anaziendeleza.
Anatokea huko msukule wa Mbowe anaharisha Magufuli hakufanya lolote. Zero brain kabisa.
Jk plans not magu.Hizo zote ni juhudi za Magufuli na mama anaziendeleza.
Anatokea huko msukule wa Mbowe anaharisha Magufuli hakufanya lolote. Zero brain kabisa.
Njia 8 ni JKHiyo yote alikuwa ni mipango ya JK. Mipango ya JPM ni ile ya ujenzi Wa chato, vitambulisho vya machinga, wakulima kusamehewa kusafirisha mazao yao yasiyozidi gunia 10, machinga wasiguswe wafanye biashara popote, na ujenzi Wa njia 8 kwenda Kibaha na ukuta Wa melerani.