Ujenzi wa Bomba la Mafuta: Ziara ya Rais Museveni nchini Tanzania - Septemba 13, 2020

Kaliumbua jiwe,hakuna MTU muongo sana duniani kama magufuli,ndio maana hatumtaki kwanza uaji na Lina sura mbaya na roho yake mbaya.

Weka hapa sura ya mama yako tuone
 
Sasa lile tangazo lao la mwisho ni kwamba waanachana na COCO sababu sheria haiwaruhusu kuchimba mafuta na kuendelea kuhodhi uingizaji wa mafuta maana wao ni moja wapo wa importers wakubwa na wauzaji wakubwa wa mafuta
 
Wakuu katika hafla fupi ya kusaini mkataba wa ujenzi wa bomba la mafuta linalopita nchini Tanzania kutoka Hoima nchini Uganda nimeyasikiliza maneno ya Mh. Rais Magufuli kwa namna serikali yake ilivyomshawishi Museven kupitisha mradi huu nchini Tanzania hata kwa kumkumbusha museveni kuwa sisi ni ndugu kwani tumeshiriki moja kwa moja kuikomboa Uganda kutoka mikononi mwa nduli Iddi Amin, nikabaini kuwa lilikuwa si jambo jepesi kwa huu mradi kupita kwetu.

Lakini kupitia platform mbalimbali mitandaoni sasa ninawaona raia wa Kenya kwa jinsi wanavyoumia juu ya mradi huu kupita nchini Tanzania tukumbuke mwanzoni ulikuwa upite nchi ya Kenya kutokea Uganda, manung'uniko ya wakenya ni juu ya manufaa makubwa ya mradi huu kwa wananchi husika utakakopita mradi kwani kwao wamepoteza na Tanzania tumepata, natamani kama tungeungana kama watanzania japo kwa hili la mradi huu tu tumpongeze raisi wetu JPM kwa uzalendo wake juu ya taifa lake.

Jamani tumpongeze rais, haya mazuri hayaji burebure kama tunavyodhani rais amepambana vilivyo na amefanikiwa kuleta mradi nchini kwetu, tumpongeze basi hata kimoyomoyo tu itatosha kumpa nguvu ya kufanya mengine mazuri zaidi kwa sisi wana wa nchi.

Hongera JPM, songa mbele wananchi tupo nyuma yako.
 
Tatizo lako mkuu huwa unaongozwa sana na Chuki na hisia. Mimi siamini Kama eti wewe hujui kilichokwamisha mradi kwa yale makubaliaono ya kwanza kule Tanga na Kama kweli hujui basi si mfuatiliaji wa mambo hata kidogo na Kama ni mfuatiliaji utakuwa unajua Ila tu unabisha na kupinga Kama ilivyo kawaida yako siku zote.

Hii hoja yako nimeiona mara kadhaa kwenye ule uzi wa taarifa rasmi ya tukio la leo, nikashangaa imekuwaje wewe ulie mtu makini ukashindwa kujua kilicho endelea na kinachoendelea. Sikutaka kuijibu kwakweli unajua wakati mwingine ni burudani kuona watu wanavyojifanya wajua na wenye akili kubwa kumbe hakuna kitu wanajidanganya wenyewe.
 
Wanasema kuwa ni maigizo na hakuna mradi utakao jengwa kwamba mradi huo hauna faida yoyote kwa Tanzania na hauwagusi wananchi wa chini.
 
Kwa watu wenye mtazamo wa aina yako ni hatari kwa ustawi wa taifa letu, kwa hiyo ili uamini kama litajengwa ulitaka iweje kama ni mikataba imesainiwa pale sasa hayo ya kusema geresha yanatokea wapi?
Hizi ni geresha, hakuna bomba litajengwa hapo.
 
Na awamu ii imeajiri wangapi?...Kikwete baba lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…