Ujenzi wa Bomba la Mafuta: Ziara ya Rais Museveni nchini Tanzania - Septemba 13, 2020

Ujenzi wa Bomba la Mafuta: Ziara ya Rais Museveni nchini Tanzania - Septemba 13, 2020

Tatizo lako mkuu huwa unaongozwa sana na Chuki na hisia. Mimi siamini Kama eti wewe hujui kilichokwamisha mradi kwa yale makubaliaono ya kwanza kule Tanga na Kama kweli hujui basi si mfuatiliaji wa mambo hata kidogo na Kama ni mfuatiliaji utakuwa unajua Ila tu unabisha na kupinga Kama ilivyo kawaida yako siku zote.

Hii hoja yako nimeiona mara kadhaa kwenye ule uzi wa taarifa rasmi ya tukio la leo, nikashangaa imekuwaje wewe ulie mtu makini ukashindwa kujua kilicho endelea na kinachoendelea. Sikutaka kuijibu kwakweli unajua wakati mwingine ni burudani kuona watu wanavyojifanya wajua na wenye akili kubwa kumbe hakuna kitu wanajidanganya wenyewe.

Naona umesema naongozwa na chuki kama defending mechanism yako, ni kipi kipya hivi sasa mpaka niamini kilichofanyika leo? Hivi kwa akili ya kawaida kabisa Tanzania wanaweza kupata 60% kisha Uganda wapate 40%? Je hao total wanapata kiasi gani? Huo mradi sio wa kwetu bali sisi tulitoa njia tu ya huo mradi kwa kutegemea commission ya mauzo ya mafuta, na Museveni alishindwana na Total ndio maana mradi ukasimama. Ila hiki cha leo ilikuwa ni kampeni zaidi kuliko mkataba husika.
 
Kw kifupi tu ili deal lao la bomba la mafuta likamilike inabidi waombe CCM ibaki madarakani na ccm wahakikishe museven anabakia kuwa raia wa uganda
 
Sasa lile tangazo lao la mwisho ni kwamba waanachana na COCO sababu sheria haiwaruhusu kuchimba mafuta na kuendelea kuhodhi uingizaji wa mafuta maana wao ni moja wapo wa importers wakubwa na wauzaji wakubwa wa mafuta
Mkuu Lyamber that was fake news ! Amini ninacho kuambia. Labda tu nikueleze Bomba la mafuta liko chini ya Total upstream business ambayo leseni yake ni tofauti na Total downstream business inayoendesha vituo vya mafuta na depots. Hata wakurugenzi wake ni wawili tofauti hapa Tanzania japo kule ufaransa the two streams have the same boss ambae ndie alikuja jana Uganda.

Kingine Total Tanzania haichimbi mafuta, hata Total Uganda pia haichimbi hayo Mafuta. TOTAL EACOP ndio inafanya kazi hiyo ikishirikiana na kampuni ya china CINOOC na sasa kampuni ya mafuta ya Uganga National Oil company . Total Tanzania Limited has nothing to do with the pipeline kabisaaa !
 
Hali imekuwa mbaya mno kwa ccm mpaka wanaomba msaada wa kisiasa Uganda, Lissu kanyaga hapo hapo.
Nimemsikia Rais Mseveni akimuombea Kura Rais Magufuli na ccm kuwa itapatapa ushindi.

Hili linaweza kuchukuliwa vibaya na wafuasi wa vyama pinzani japo ziara yake ilikuwa ya kikazi na yenye faida kubwa kwa Tanzania lakini hili la uchama litaondoa mazuri yote aliyo kuja nayo.

Lakini pia ni dhahiri Rais Museveni kuwa mwana ccm halisi baada ya kuomba nyimbo za zamani za Tanu enzi hizo akiwa Tanzania.
Hakuna ubaya hapo,Ccm na NRM ni ndugu. Hakuna jambo baya hapo.
Mwambie ameshafeli kabla hajaanza
Vijana ndiyo tatizo la tawala za kidikteta. Hapa ni “you rub my back, and I rub yours”. Wanakubaliana kushirikiana ili kuzima sauti za vijana?

Ninavyofahamu, Uganda ni nchi ya pili Africa kwa kuwa na vijana wadogo. Boby Wine anawapa shida kweli kweli. Siwezi kushangaa dikteta akiombea kura nchi jirani ili na yeye aendelee kupata msaada wa kubakia madarakani.
Wana hali mbaya waacheni wahangaike kumsaidia.
Tatizo lako we ndugu yangu huwa unapenda sana kuropoka .
Na nyinyi mleteni Robati wa Amstaderm amombee Lissu kura
Idumu EAC ...kudumu chama cha mapinduzi
 
vijana wa chadema mnajitoa fahamu kama vile si watanzania
Hata mjukuu wangu wa Chekechea angehoji usahihi wa mgawo waliokubaliana kila nchi itakapata hata ingekuwa the other way round kwamba Tanzania tupate 40% wao 60% bado ingekuwa unrealistic. We have been taken for a ride!
 
Ha ha Muhindi koko eti anapiga mkwara kwenye twitter...a.k.a MIGA PART TWO
Nashukuru sana maamuzi waliyochukua hawa matapeli 2015. Bila yale mpaka leo wengi tungekuwa hatujawafahamu vyema.
 
Nimemsikia Rais Mseveni akimuombea Kura Rais Magufuli na ccm kuwa itapatapa ushindi.

Hili linaweza kuchukuliwa vibaya na wafuasi wa vyama pinzani japo ziara yake ilikuwa ya kikazi na yenye faida kubwa kwa Tanzania lakini hili la uchama litaondoa mazuri yote aliyo kuja nayo.

Lakini pia ni dhahiri Rais Museveni kuwa mwana ccm halisi baada ya kuomba nyimbo za zamani za Tanu enzi hizo akiwa Tanzania.
Ndio kilichomleta mengine yote yalikuwa maigizo .
IMG_20200913_173219.jpg
 
Jaribu kuwa msomaji mzuri mradi umepewa baraka za kuanza rasmi
Tanzania tulishamaliza yote tuliotakiwa kuyafanya upande wetu,kazi ilibaki uganda wanabishana juu ya kodi
Waganda wameshakubaliana,leo museveni amekuja kuleta taarifa rasmi kwamba mradi uanze
Hao watu 60,000 wa kikwete kila mwaka wengine ndio wale watumishi hewa na wenye vyeti feki
kama kikwete aliajiri 60,000 kwa miaka kumi yake aliingiza watu 600,000!!huu ni uongo
Hapa napa siasa
IMG_20200913_234804.jpg
 
Naomba kuuliza wamesaini ili ujenzi uanze mwezi gani au mwaka gani maana bado sijaona ni mwezi gani au mwaka gani ujenzi uanze mwenye kujua anisaidie
 
Bomba ka TAZAMA lipo miaka na miaka Lina peleka mafuta Zambia kuna nini mmeona toka hilo Bomba??? Hilo Bomba la Uganda ni wizi mtupu na udanganyifu kwa maskini wa fikra wa Tanzania. Wananchi amkeni hizo ni siasa uchwara. CCM tuweke hali za wananchi mbele sio huu ujinga wa bomba la mzungu. Nigeria kuna mabomba mangapi. Acheni ujinga
 
Mkuu Lyamber that was fake news ! Amini ninacho kuambia. Labda tu nikueleze Bomba la mafuta liko chini ya Total upstream business ambayo leseni yake ni tofauti na Total downstream business inayoendesha vituo vya mafuta na depots. Hata wakurugenzi wake ni wawili tofauti hapa Tanzania japo kule ufaransa the two streams have the same boss ambae ndie alikuja jana Uganda.

Kingine Total Tanzania haichimbi mafuta, hata Total Uganda pia haichimbi hayo Mafuta. TOTAL EACOP ndio inafanya kazi hiyo ikishirikiana na kampuni ya china CINOOC na sasa kampuni ya mafuta ya Uganga National Oil company . Total Tanzania Limited has nothing to do with the pipeline kabisaaa !
Nashukuru kwa hii taarifa kwaio watu tulikua mis informed..kwaio COCO itaendelea kuwepo? Au DODO? Au vyote kwa pamoja maana pascal mayalla yeye ni mkereketwa wa TOTAL na alifafanua vizuri
 
Back
Top Bottom