Uchaguzi 2020 Ujenzi wa daraja jipya la Wami wafikia 45%

Hii ndio tafsiri sahihi ya mzee anaposema "watanzania tembeeni kifua mbele, we r in a right track"
hapa tulipofikia mzee/...wala hamna aja hii miundo mbinu ikianza funguka itajikuta biashara zinakuja tu aisee
 
Tunajivunia kua na Rais Mazalendo Mchapakazi kama Dr.Magufuli ..Tunaendelea Nae...!KURA KWA MAGUFULI
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
Kura zote za Urais kwa Magufuli, mbunge na diwani wa CCM
 
Serikali inafanya kazi yake tuliowachagua kwayo. Kuichagua tena ni utashi wetu haihusiani na hizi kazi wanazofanya
Ni kweli ni utashi wetu na hata CCM tunajua hilo. Hatahivyo, hatuwezi kuacha kusema Yale tuliyoahidi mwaka 2015 tumefanikisha yapi na tumekwamia wapi. Hivyo nakushukuru kwa kuwa utatuchagua tena
 
tunashukuru kiongozi maendeleo hayana vyama...nmeanza pita wami miaka 20 now hamna mabadiliko...sasa kama kimefanyika leo ujue tunaenda vizuri...unajua kuna miradi huko ulaya na china huwa inachukua hadi miaka 30 kukamilika kwetu tulipofikia sio mbaya mkuu
 
Mimi nauliza kwa majibu wa hiyo Picha
Daraja hili jipya linajengwa mbali kidogo na daraja la sasa ila Kama umesafiri maeneo hayo hivi karibuni na haukusinzia basi ungeona walau kwa mbali mambo mazito yanayoendelea.
 
Daraja hili jipya linajengwa mbali kidogo na daraja la sasa ila Kama umesafiri maeneo hayo hivi karibuni na haukusinzia basi ungeona walau kwa mbali mambo mazito yanayoendelea.
Hiyo Barabara nimepita sana nikiwa Dereva hiyo picha haionyeshi ujenzi wa Daraja inaonyesha kambi ya Wachina

Sio kwamba napinga ujenzi wa Daraja la Mto Wami la hasha
 
Huyu mzee sijui mtampinga kwanini? Siku akianza kugawa zile 50M kila kijiji sindio mtalegea kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]

Maana kimsingi ni hela ndogo sana ikigawiwa kwa awamu awamu.
Acha kujipendekeza wewe!
 
Kampuni ya Mayanga, WIZI MTUPU kidaraja chembamba kama kivuko cha watembea kwa miguu Buguruni Shell.

#NIYEYE Rais ni Lissu awamu ya6.
 
Tuache uongo hilo daraja hata 20% bado sana. Wamefanya show off tu ila hesabu miaka miwili
 
Napongeza juhudi za Serikali juu ya huu Ujenzi wa hili Daraja jipya japo nashangaa hadi kusikitika ni kwanini limechelewa sana Kukamilika hadi leo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…