Ujerumani imevuna alichopanda mjini Doha

Kumpita Espn yahitaji muujiza jamaa ana point 4 na mechi ijayo kamwe hawezi kufungwa na Jpn hata akifungwa atabaki na point 4 na goli 8 je German atampiga Costarica goli 8 ili ampite Espn? Tusubiri
Haujawaza kua costa rica anaweza kumpiga germany na japan akampiga spain mkuu.
 
Usituchagulie matatizo ya kuanza nayo,sisi tunakemea ushoga,wewe endelea na hayo mengine
Ushoga wa Wajerumani hauwezi kukulaza njaa au kukuletea afya mbovu. Kuna mambo yanayokugusa ila kwa kudandia agenda za wengine utakufa kwa njaa na maradhi
 
Inafikaje wakati anashika mkia kwa point moja wakati wenzio wote Wana point nne nne

Kiarusha tunasema, imeisha hyo "
Kundi hilo hapo mchawi ni Japan.

Japan akishinda, Germany ili apite anahitaji kumpiga Costa rica mabao kuanzia 9 ndo atashika nafasi ya 2 maana Spain ana magoli 8 na amefungwa 1 (goal difference 7). Ila Japan akafungwa au akatoa draw ya aina yoyote na Germany akashinda magoli kuanzia 2, Germany anapita labda Germany ashinde bao 1 ndo Japan atapita kwa kuangali "head to head" kati yao.

Costa rika yeye hana mchawi endapo atashinda kwa Germany (matokeo yoyote ya Japan na Spain hayana athari endapo atashinda).

Kundi hilo ni Spain tu ana uhakika na kinachomlinda ni hayo mabao 8
 
@Bome-e kaka, Naam, ikitokea German ameshinda tena tujaalie kwa goli nyingi tu kadhalika huku Japan kapata sare watakuwa wanalingana alama, je FIFA wanazingatia nini kwa waliolingana alama??

Wanazingatia goal difference au head to head???

Kama ni goal difference basi German kaenda knock out stage ila kama ni head to head basi Japan kafuzu
 
Mbona yupo Barca ila wametolewa UCL mara mbili mfululizo hatua ya makundi. Tunawakuza tu ila akikutana na team serious anapigwa nyingi tu
Mpira Ni teamwork, Kama umeangalia mech mbili za Barca ,Intermillan kawa outshined zote ,tatizo la Barca Ni backline ,

Kaangalie Zile game hata ile ya camp nou , Ni mabeki wazee ndio waliua Zile mechi

Ila inter pamoja na kuweka 3-5-2 ,bado hawakufanikiwa kutawala kiungo,mbele ya hao watoto

Tuwe fair, kufungwa Kuna factors nyingi Sana
 
Hizo ni tamaduni za kiafrika, kwani ulishawahi ona waafrika wanaforce hizo tamaduni zinafanyike worldwide kuleta usawa? Ushoga ni tamaduni za hao wazungu wasilazimishe ziwe kwa wote
Sodoma na Gomora ilikua Marekani, German au Uingereza?
 
 
Kumpita Espn yahitaji muujiza jamaa ana point 4 na mechi ijayo kamwe hawezi kufungwa na Jpn hata akifungwa atabaki na point 4 na goli 8 je German atampiga Costarica goli 8 ili ampite Espn? Tusubiri
Mzee zinasonga mbele timu mbili mbili kila group
 
Si
Kwa hyo wee unasapot lgbt
Siungi mkono LGBT,ila siyo tatizo serious kwenye jamii zetu, tofaut na ukosefu wa huduma muhimu zinazo tukabili wananchi kama Ujinga,Maradhi na Umaskini..pia ushoga ni uamuzi wa mtu husika..halazimishwi.anafanya kwa hiyari yake kutokana na aidha Ujinga alio nao ama Umaskini unao mkabili akaamua apite shortcut kutafuta pesa kwa kuwa SHOGA.
 
Qatar anapinga ushoga na ni timu ya kwanza kutoka worldcup
 
Hawa Spain
Ukiwaangalia wanavyocheza unaweza kudhani ball ya kampa kampa tena ni Rahisi sana

Enewei kwa sisi vizazi vya Samia ambao hatukuwahi kumshuhudia Iniesta nadhani miungu ya mpira imeona ituletee huyu dogo Pedri
Usije tena kumlinganisha iniesta na uchafu
 
Aaaah sasa kwanini kushinda pia usiwasifie mabeki? Yaani wakifungwa ndio team work mnaitambua ila wakishinda basi sifa zote kwa Pedri na Gavi?
Subiri wakutane na team ya size Yao walau hata Croatia tu mtarudi hapa kukana maneno yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…