Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Haujawaza kua costa rica anaweza kumpiga germany na japan akampiga spain mkuu.Kumpita Espn yahitaji muujiza jamaa ana point 4 na mechi ijayo kamwe hawezi kufungwa na Jpn hata akifungwa atabaki na point 4 na goli 8 je German atampiga Costarica goli 8 ili ampite Espn? Tusubiri