Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama kwakweli Ni habari nyingine kabisaPro Magufuli mpoooo ...Amin nawaambia SAMIA ndiye juuu juuu zaidi
Siku hizi wazee wamekalia uchawa na unafiki. Ndiyo maana hawaheshimiki tena.
Kuujaza uwanja nayo ni hoja ya maendeleo.KIGOMA WAMPA MAPOKEZI YA KIHISTORIA RAIS SAMIA SULUHU, ANATAJWA KUWA NDIO KIONGOZI ALIYEVUTA WATU WENGI ZAIDI LAKE TANGANYIKA
View attachment 2391342
Wananchi wa mkoa wa Kigoma wampa mapokezi makubwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan uwanja wa CCM Lake Tangayika.
View attachment 2391335
Mapenzi haya makubwa kwa Rais Samia yanahusishwa na jitihada zake kupitia serikali anayoiongoza ya kuifanya mkoa wa Kigoma kuwa kitovu cha biashara ukanda wa Magharibi.
View attachment 2391340
Serikali ya awamu ya sita anayoiongoza Rais Samia inakamilisha ujenzi wa barabara za lami zinazouunganisha mkoa wa Kigoma na mikoa ya Tabora, Kagera na Katavi.
Inatekeleza pia miradi ya ujenzi wa meli kubwa mbili kwa ajili ya abiria na mizigo, inakamilisha ujenzi wa bandari ya Ujiji na Kibirizi, inakamilisha ukarabati wa meli ya kubeba mafuta ya MT Sangara, imeuunganisha mkoa huo na umeme wa Gridi ya Taifa pamoja na uimarishaji mkubwa wa hospitali ya rufaa ya mkoa huo Maweni.
Naye Mzee Ali Msaze wa Buzebazeba anasema tangu awe na akili za kujitambua hujawahi kuona watu wengi Kama hawa," Huyu mama ni mpango wa Mungu "
View attachment 2391341
Hakika wanakigoma #Tunaridhika #HakunaKilichosimama #KaziIendelee
Mkoa wa Kigoma kusema ukweli ulikuwa kama umetengwa kimaendeleo katika awamu za kwanza, pili na tatu. Lakini dhamira chanya na mikakati na ya kuufungua mkoa huu kupitia miundombinu muhimu kama vile madaraja, barabara, huduma za uhakika za usafiri majini, umeme na mawasiliano ilianzia awamu ya nne.KIGOMA WAMPA MAPOKEZI YA KIHISTORIA RAIS SAMIA SULUHU, ANATAJWA KUWA NDIO KIONGOZI ALIYEVUTA WATU WENGI ZAIDI LAKE TANGANYIKA
View attachment 2391342
Wananchi wa mkoa wa Kigoma wampa mapokezi makubwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan uwanja wa CCM Lake Tangayika.
View attachment 2391335
Mapenzi haya makubwa kwa Rais Samia yanahusishwa na jitihada zake kupitia serikali anayoiongoza ya kuifanya mkoa wa Kigoma kuwa kitovu cha biashara ukanda wa Magharibi.
View attachment 2391340
Serikali ya awamu ya sita anayoiongoza Rais Samia inakamilisha ujenzi wa barabara za lami zinazouunganisha mkoa wa Kigoma na mikoa ya Tabora, Kagera na Katavi.
Inatekeleza pia miradi ya ujenzi wa meli kubwa mbili kwa ajili ya abiria na mizigo, inakamilisha ujenzi wa bandari ya Ujiji na Kibirizi, inakamilisha ukarabati wa meli ya kubeba mafuta ya MT Sangara, imeuunganisha mkoa huo na umeme wa Gridi ya Taifa pamoja na uimarishaji mkubwa wa hospitali ya rufaa ya mkoa huo Maweni.
Naye Mzee Ali Msaze wa Buzebazeba anasema tangu awe na akili za kujitambua hujawahi kuona watu wengi Kama hawa," Huyu mama ni mpango wa Mungu "
View attachment 2391341
Hakika wanakigoma #Tunaridhika #HakunaKilichosimama #KaziIendelee
Juzi nilipita kwenye uwanja huo lakini sikuwakuta hao unaosema walijazwa, hebu eleza tija kwa taifa juu ya ujazwaji huo, vinginevyo ni utoto tu unakusumbua.KIGOMA WAMPA MAPOKEZI YA KIHISTORIA RAIS SAMIA SULUHU, ANATAJWA KUWA NDIO KIONGOZI ALIYEVUTA WATU WENGI ZAIDI LAKE TANGANYIKA...
WapuuziSiku hizi wazee wamekalia uchawa na unafiki. Ndiyo maana hawaheshimiki tena.
Ndiyo Wakaujaza UwanjaWalikuja na misukule yao.
Nyumbu hamueleweki.Pro Magufuli mpoooo ...Amin nawaambia SAMIA ndiye juuu juuu zaidi
Nani kasema hayo we kilaza?Kwa hivyo vijana wala Unga kama wewe ndio wakuheshimika?
Next MONTH VYAMA VYA KUSIASA VITAANZA KUFNAYA MIKUTANO YA 'FREELY '.Marufuku ya mikutano ya vyama vya upinzani iondolewe.
Leo CCM mnafurahia jinsi mwenyekiti wenu alivyojaza umati ktk mkutano wa hadhara.
Hivi mnadhani wapinzani sio binadamu, au hawatamani na wao kufanya mikutano na kufurahia kujaza umati?
😂😂😂 Wameona haisaidiiUchawi umeisha kigoma wamekubali umeme uwake
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Yes, sureKwakweli Rais Samia Suluhu Hassan ni Kipenzi cha WATANZANIA.
Naamini uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 panapo majaaliwa atashinda kwa asilimia 99%.