UJIJI: Wazee wa UJIJI -KIGOMA wasema hawajawahi kuona Kiongozi aliyeujaza Uwanjani wa Lake Tanganyika kama Rais Samia

UJIJI: Wazee wa UJIJI -KIGOMA wasema hawajawahi kuona Kiongozi aliyeujaza Uwanjani wa Lake Tanganyika kama Rais Samia

Pro Magufuli mpoooo ...Amin nawaambia SAMIA ndiye juuu juuu zaidi
 
#hatujamalizaaaaaa
#2025/2030
#mleteSamiaMleteSamia
 
KIGOMA WAMPA MAPOKEZI YA KIHISTORIA RAIS SAMIA SULUHU, ANATAJWA KUWA NDIO KIONGOZI ALIYEVUTA WATU WENGI ZAIDI LAKE TANGANYIKA

View attachment 2391342

Wananchi wa mkoa wa Kigoma wampa mapokezi makubwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan uwanja wa CCM Lake Tangayika.

View attachment 2391335

Mapenzi haya makubwa kwa Rais Samia yanahusishwa na jitihada zake kupitia serikali anayoiongoza ya kuifanya mkoa wa Kigoma kuwa kitovu cha biashara ukanda wa Magharibi.

View attachment 2391340

Serikali ya awamu ya sita anayoiongoza Rais Samia inakamilisha ujenzi wa barabara za lami zinazouunganisha mkoa wa Kigoma na mikoa ya Tabora, Kagera na Katavi.

Inatekeleza pia miradi ya ujenzi wa meli kubwa mbili kwa ajili ya abiria na mizigo, inakamilisha ujenzi wa bandari ya Ujiji na Kibirizi, inakamilisha ukarabati wa meli ya kubeba mafuta ya MT Sangara, imeuunganisha mkoa huo na umeme wa Gridi ya Taifa pamoja na uimarishaji mkubwa wa hospitali ya rufaa ya mkoa huo Maweni.

Naye Mzee Ali Msaze wa Buzebazeba anasema tangu awe na akili za kujitambua hujawahi kuona watu wengi Kama hawa," Huyu mama ni mpango wa Mungu "

View attachment 2391341

Hakika wanakigoma #Tunaridhika #HakunaKilichosimama #KaziIendelee
Kuujaza uwanja nayo ni hoja ya maendeleo.

CCM ni janga la kifikra
 
Mkoa wa Kigoma kusema ukweli ulikuwa kama umetengwa kimaendeleo katika awamu za kwanza, pili na tatu. Lakini dhamira chanya na mikakati na ya kuufungua mkoa huu kupitia miundombinu muhimu kama vile madaraja, barabara, huduma za uhakika za usafiri majini, umeme na mawasiliano ilianzia awamu ya nne.

Awamu za tano na sita zipo katika utekelezaji wa mikakati waliypikuta mezani. Na hii yote ilitokana na uwezo wa kifedha ambao serikali imezidi kuwa nao kwa kadiri siku zinavyokwenda kulinganisha na uwezo wa kifedha iliyokuwa nayo katika awamu zile za awali. Ni vyema wana na binti wa Kigoma warudishe shukurani kwa Rais wa awamu ya sasa.

Wameheshimishwa na serikali, nao ni vyema waonyeshe shukirani za dhati.
 
KIGOMA WAMPA MAPOKEZI YA KIHISTORIA RAIS SAMIA SULUHU, ANATAJWA KUWA NDIO KIONGOZI ALIYEVUTA WATU WENGI ZAIDI LAKE TANGANYIKA...
Juzi nilipita kwenye uwanja huo lakini sikuwakuta hao unaosema walijazwa, hebu eleza tija kwa taifa juu ya ujazwaji huo, vinginevyo ni utoto tu unakusumbua.
 
Ila huyu mama kweli yawezekana ni chaguo la mungu.

Yaani mimi pamoja na hizo story sijui za Tozo sijui za nini, Ila huwa najikuta nampenda tu.

She is really something else. Kwa kweli nimeshindwa kumchukia kabisa na sijui kwa nn

Viva Mama, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Wananchi wa mkoa wa Kigoma wampa mapokezi makubwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan uwanja wa CCM Lake Tangayika.

Mapenzi haya makubwa kwa Rais Samia yanahusishwa na jitihada zake kupitia serikali anayoiongoza ya kuifanya mkoa wa Kigoma kuwa kitovu cha biashara ukanda wa Magharibi.

Serikali ya awamu ya sita anayoiongoza Rais Samia inakamilisha ujenzi wa barabara za lami zinazouunganisha mkoa wa Kigoma na mikoa ya Tabora, Kagera na Katavi. Inatekeleza pia miradi ya ujenzi wa meli kubwa mbili kwa ajili ya abiria na mizigo, inakamilisha ujenzi wa bandari ya Ujiji na Kibirizi, inakamilisha ukarabati wa meli ya kubeba mafuta ya MT Sangara, imeuunganisha mkoa huo na umeme wa Gridi ya Taifa pamoja na uimarishaji mkubwa wa hospitali ya rufaa ya mkoa huo Maweni.

Hakika wanakigoma #Tunaridhika #HakunaKilichosimama #KaziIendelee

IMG-20221018-WA0086.jpg
 
IMESHAONDOLEWA MKUU.
Marufuku ya mikutano ya vyama vya upinzani iondolewe.

Leo CCM mnafurahia jinsi mwenyekiti wenu alivyojaza umati ktk mkutano wa hadhara.

Hivi mnadhani wapinzani sio binadamu, au hawatamani na wao kufanya mikutano na kufurahia kujaza umati?
Next MONTH VYAMA VYA KUSIASA VITAANZA KUFNAYA MIKUTANO YA 'FREELY '.
 
Kwakweli Rais Samia Suluhu Hassan ni Kipenzi cha WATANZANIA.
Naamini uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 panapo majaaliwa atashinda kwa asilimia 99%.
 
Back
Top Bottom