Ujinga alioufanya msanii Willy Paul jana dhidi ya wasanii wa Tanzania ukemewe vikali

Alimaanisha nini aliposema toa hiyo takataka ulipopigwa wimbo wake alioshirikiana na Rayvanny
 
We wakenya umewajulia wapi na mtoto wa buku mbili?
 
Studio za redio, tv na hata mtaani huku Tz zisipigwe nyimbo za Willy Paul.
Vijana wa leo, rejeeni kisa cha mauti ya Mbaraka Mwinshehe Mwaruka ndo mtajua namna ya kukaa makini na Wakenya. Rejeeni pia vita vya kutangaza mlima Kilimanjaro uliopo Tanzania. Tuwasamehe lakini tusilete mazoea nao tukae kwa akili
 
Kwa mondi hapo tupo pamoja na wakenya kwakweli
 
Huyo Pdidy wakati 'anampitia' mlikuwa naye?
Ila Wakisii...Mnaongea mtamaliza...Na nyimbo za Chibu mtaendelea kuzisikiliza kama kawaida...
 
Huyo Pdidy wakati 'anampitia' mlikuwa naye?
Ila Wakisii...Mnaongea mtamaliza...Na nyimbo za Chibu mtaendelea kuzisikiliza kama kawaida...
Hehe si Tale kasema mwenyewe waliitwa wakaangalie muvi chumbani kwa didi......na wamarekani wenyewe wanalijua hilo dont party with diddy ila washenzi wakaingia kabisa hadi kwake🤣🤣🤣 wameliwa hao

🤣🤣🤣🤣hawakusema Nooo hao Tale na Mondi wake............wenzao wa hukohuko kwao wanamjua hata kumsogelea wanaogopa ila hawa wapuuzi wakaingia kabisa kwenye jumba lake lenye vilainishi vya kutosha
 
Hii inatusaidia nini kama Taifa. Hawakurushiwa chupa za maji kabisa.

Subirini na wao wakija muwape Kipigo.
 
Mbona hata hiyo next song aliyotaka DJ aweke ni wimbo aliomshirikisha mtanzania Nandy. Au yeye chuki yake ni dhidi ya wasanii waliopita lebo ya WASAFI tu.
 
Cheap talk.

Mbona huwa mnajifanya rational sana kwenye mijadala mingine

Kubalini tu, wasanii wa tz ni wakubwa kuliko wenu

It's not that hard to see...
 
Hadi wimbo wake mwenyewe kauita takataka, kwahiyo alitutolea wimbo takataka? Hasira ni mbaya usipoicontrol
 
Mziki zamu zamu Kipindi kile wakina Jua Kali,Nonini,Klepto,Nameless wanakuja Diamond Jubelee,kwenye event kubwa wakiwa wao kama Main Artist na wasanii wabongo hawa kulalamika. Sasa hivi shilingi imepinduka baada kuangalia mapungufu yao wanaumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…