Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Umesoma mada?Diamond anapenda Sana kuzira, yeye ni nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma mada?Diamond anapenda Sana kuzira, yeye ni nani?
📌📌📌📌📌Umemaliza...Wakenya wana wivu na chuki sana willy ni msanii mzuri lakin hawezi kumfikia Diamond hao wote wajitape Diamond yupo juu mziki wa 𝑻𝒁 unaongoza watulie ,nimefurahi diamond kughairi na kuondoka
Amezoea kupigiwa magoti hapa Bongo.Diamond anapenda Sana kuzira, yeye ni nani?
Alimaanisha nini aliposema toa hiyo takataka ulipopigwa wimbo wake alioshirikiana na RayvannyNimefatilia hii ishu wengi hata hamjaelewa, willy paul yupo sahihi maana ratiba ilionyesha atapanda yeye kwanza.... siku zote wasanii wadogo hupanda kwanza msanii mkubwa anakua wa mwisho hii hata kwenye boxing tunaona wanaanza wapiganaji wadogo main event inakua mwisho
Tatizo hawakwenda na ratiba vizuri muda ukawa unaenda diamond akawa analazimisha yeye apande amalize aondoke zake na zuchu wake ndo willy paul akataka ratiba ifuatwe kama kawaida
Diamond akalazimisha kupanda stejini kama kawa wakenya ni vichwa vigumu na hawapendi shobo wakamzomea akasepa zake... wakenya hawana ujinga... zuchu angejaribu kuwanyooshea dole la kati kama alivyofanya mbeya wangemkata masikio stejini
Yaani kwa kipi labda kwa usenge na upumbavu yaani East Africa hamna nchi ya kipuuzi kishamba kisenge kama Kenya mavi mavi tuKwa kipi 🤣🤣
We wakenya umewajulia wapi na mtoto wa buku mbili?Nimefatilia hii ishu wengi hata hamjaelewa, willy paul yupo sahihi maana ratiba ilionyesha atapanda yeye kwanza.... siku zote wasanii wadogo hupanda kwanza msanii mkubwa anakua wa mwisho hii hata kwenye boxing tunaona wanaanza wapiganaji wadogo main event inakua mwisho
Tatizo hawakwenda na ratiba vizuri muda ukawa unaenda diamond akawa analazimisha yeye apande amalize aondoke zake na zuchu wake ndo willy paul akataka ratiba ifuatwe kama kawaida
Diamond akalazimisha kupanda stejini kama kawa wakenya ni vichwa vigumu na hawapendi shobo wakamzomea akasepa zake... wakenya hawana ujinga... zuchu angejaribu kuwanyooshea dole la kati kama alivyofanya mbeya wangemkata masikio stejini
'Haujui'Diamond anapenda Sana kuzira, yeye ni nani?
Kagawa tako na wamemchomoa bet mapemaaa na komasavaa yake haina mvutoHivi Komasava iliishia wapi?
Kwa mondi hapo tupo pamoja na wakenya kwakweliStudio za redio, tv na hata mtaani huku Tz zisipigwe nyimbo za Willy Paul.
Vijana wa leo, rejeeni kisa cha mauti ya Mbaraka Mwinshehe Mwaruka ndo mtajua namna ya kukaa makini na Wakenya. Rejeeni pia vita vya kutangaza mlima Kilimanjaro uliopo Tanzania. Tuwasamehe lakini tusilete mazoea nao tukae kwa akili
Huyo Pdidy wakati 'anampitia' mlikuwa naye?Laaana za kupitiwa na pididi...yalianzia hukohuko bet na komasava yake chalii. ,,huku Kenya tena nako chalii na bado mwanzo huo laana inakuja kumuandama hadi huku bongo.........bora nile flava za khalighraph jones kuliko kusikiliza upuuzi wa wakina zuchu na mke wa pididi hehehe kumbe kwanza mambo yalianzia mbeya sinza pazuri Kazi iendeleee
Hehe si Tale kasema mwenyewe waliitwa wakaangalie muvi chumbani kwa didi......na wamarekani wenyewe wanalijua hilo dont party with diddy ila washenzi wakaingia kabisa hadi kwake🤣🤣🤣 wameliwa haoHuyo Pdidy wakati 'anampitia' mlikuwa naye?
Ila Wakisii...Mnaongea mtamaliza...Na nyimbo za Chibu mtaendelea kuzisikiliza kama kawaida...
Waliopita kwa pididiMbona hata hiyo next song aliyotaka DJ aweke ni wimbo aliomshirikisha mtanzania Nandy. Au yeye chuki yake ni dhidi ya wasanii waliopita lebo ya WASAFI tu.
Cheap talk.Hehe si Tale kasema mwenyewe waliitwa wakaangalie muvi chumbani kwa didi......na wamarekani wenyewe wanalijua hilo dont party with diddy ila washenzi wakaingia kabisa hadi kwake🤣🤣🤣 wameliwa haoView attachment 3172151
🤣🤣🤣🤣hawakusema Nooo hao Tale na Mondi wake............wenzao wa hukohuko kwao wanamjua hata kumsogelea wanaogopa ila hawa wapuuzi wakaingia kabisa kwenye jumba lake lenye vilainishi vya kutosha
Hadi wimbo wake mwenyewe kauita takataka, kwahiyo alitutolea wimbo takataka? Hasira ni mbaya usipoicontrolNa issue ya Willy Paul kumwambia DJ azime wimbo alishirikiana na Rayvanny napo utasema kuwa?
Unatetea ujinga tu...
Willy Paul ni mzawa wa Kenya, Diamond Platnumz kumuachia Willy Paul kumalizia show ni bonge la heshima kwa sababu anapewa muda mzuri wa kufanya finishing... Willy Paul alijawa hofu kuwa uenda Diamond Platnumz akimaliza show basi mashabiki wataondoka
Mziki zamu zamu Kipindi kile wakina Jua Kali,Nonini,Klepto,Nameless wanakuja Diamond Jubelee,kwenye event kubwa wakiwa wao kama Main Artist na wasanii wabongo hawa kulalamika. Sasa hivi shilingi imepinduka baada kuangalia mapungufu yao wanaumia.Jana usiku kulikuwa na Tamasha pale Nairobi ambalo moja ya Wasanii walioalikwa kutumbuiza ni Wasanii kutoka Tanzania, Diamond Platnumz akisindikizwa na Zuchu huku Msanii mwingine akiwa Rayvanny.
Vurugu zilianza baada ya muda wa Diamond Platinumz kupanda stejini kufika ambapo Msanii wa Kenya Willy Paul Msafi kulazimisha kupanda stejini eti kwa kuwa yeye ni msanii wa Kenya hivyo anapaswa kupanda mwanzo kabla ya Diamond Platnumz, na akadai yeye kuwekwa wa mwisho baada ya Diamond Platnumz ni kuwadharau Wasanii wa Kenya. Willy Paul anadai kuwa kwa mujibu wa ratiba yeye alipaswa kumtangulia Diamond, na pia anadai ratiba ilibadilishwa na yeye kupangwa baada ya Diamond Platnumz jambo ambalo hakulitaka na kupelekea kuleta vurugu ya kugombania kupanda stejini.
Baada ya vurugu hizi vyanzo vinasema Meneja wa Diamond ambae ni Sallam SK alipiga simu na kutaka Msanii wake "Diamond" ahairishe show hiyo. Diamond na timu yake waliondoka eneo hilo mara moja na kwenda kuendelea na ratiba nyingine pale jijini Nairobi.
Willy Paul alipanda stejini, lakini hakuishia hapo alizua taharuki baada ya Dj kupiga wimbo wake wa "Mmh" ambao alimshirikisha Rayvanny. Baada ya wimbo huo kupigwa Willy Paul akamwambia DJ kwa ukali "Naomba uondoe hiyo Takataka" akimaanisha aache kipiga wimbo huo. Hii kauli ilionesha ni dharau kiasi gani Willy Paul alikuwa nayo kwa wasanii wa Tanzania.
Bado Willy Paul aliongea na media na kudai wasanii wa kenya wanadharauliwa hawapewi kipaumbele na pia amelalamika kuwa jina lake na picha yake kwenye bango la matangazo vimewekwa kwa udogo ukilinganisha na jina na picha ya Diamond, huku wasanii wengine kama Eric Omondi wakikazia kupitia machapisho yao ya Instagram kuwa wasanii wa Kenya wamekuwa wakidharaulika.
Tamasha la Furaha City Festival lilibadilika na kuwa tukio lenye drama nyingi, likitoa sio tu burudani za kuvutia bali pia ushindani mkali. Wakati mgongano kati ya Willy Paul na Diamond Platnumz ulikuwa tayari umeweka hali mbaya, msanii wa rap wa Kenya, Khaligraph Jones, alichukua mambo hadi kiwango kingine kwa matamshi yake ya kibaguzi.
Akiwa jukwaani, Khaligraph alitangaza sio tu kwamba yeye ndiye msanii bora wa rap barani Afrika, bali pia alijitawaza kuwa msanii bora nchini Tanzania—mbele ya Diamond Platnumz, ambaye kwa muda mrefu amehesabiwa kuwa mfalme wa muziki wa Tanzania. Kauli hiyo ya kishujaa iliwashangaza mashabiki, huku minong’ono ya kutokuamini ikitawala umati.
Kana kwamba hiyo haitoshi, Khaligraph aliendeleza hali hiyo kwa kuimba wimbo wake wa diss unaojulikana kama "Bongo Flavour" dhidi ya marapa wa Tanzania, wimbo ambao alitoa miezi kadhaa iliyopita akiwatuhumu kwa “kusinzia kazini.”
MY TAKE:
Katika ukumbi huo wa burudani hapo jijini Nairobi wanekuwa wakiharikwa wasanii wengi kutoka Jamaica na Nigeria lakini hakujawahi kutokea vurugu ya namna hii, lakini baada ya wasanii wa Tanzania kutokea jana zikatokea vurugu hizo, na mpaka sasa mitandaoni wakenya wamesapoti kwa ukubwa kitendo cha vurugu alichokileta Willy Pau.
Huwezi kusikia hata kwa bahati mbaya Msanii au Mtanzania yoyote yule kutoa lugha za kibaguzi kama hizi kwa Majirani zetu Wakenya.
Wenzetu ile dhana ya kubaguana ipo kwenye damu zao,
Wao Kwa wao kutwa kubaguana kwa misingi ya Ukabila na mahali unapotoka.
Sasa baadhi yao kama huyu Mpuuzi anachochea hasira za Wakenya waone sisi ni Maadui zao!!
Huku kwetu Tanzania always tunawaona nyinyi ni ndugu zetu na tunawapenda sana.
Wanasiasa wetu wa Afrika Mashar
iki siku zote wanafikiria kuunganisha Mataifa yetu,
Lakini kijana mmoja wa hovyo kwa chuki zake binafsi anatoa lugha za kishamba shamba.
View attachment 3172093
View attachment 3172097