Ujinga kidogo: Wakuu nahisi kuna mtego hapa nikibugi step

Eeehh sawa.
Kwahiyo maisha yetu yasimame na tusifanye lolote kisa kamanda Lissu. Mbona unataka kutuchonganisha na kipenzi chetu?
Maisha yaendelee lakini naona kwa bongo ngono imekua zaidi, karibu kila siku ndio topic kubwa. Nahili nafikiri ma ccm yanalijua na yanalifurahia. Hivi kuna nchi Africa inawazidi wabongo kwa kushadadia ngono??? Lissu amefanya kosa kubwa sana kutovuta mkwanja na kusepa.
 
Hapana chief.
Kwa sisi wazoefu, hapo bado hujamsoma vzuri huyo demu.

Jipe muda wa kutosha ili umuelewe vizuri malengo yake.

Kwani wewe historia yako ya mahusiano inatofautiana sana na yake?

Malengo yako ya baadaye katika kujenga familia ni yapi?

Ingawa mi'napenda sana mwanamke anayetangulia kunishobokea kama alivyoanza kwako, kuliko ninayeanza kumsarandia mwenyewe, mwanamke anayekupenda huwaga muwazi na hujitoa sana.

Wanakuwaga na malengo mengi fiche hao, jitahidi kumjua kabla haujawekeza chochote kwake.
 
Nitalizingatia hilo mkuu
 
Mkuu Lissu kashasema hashawishiki sasa na nyie acheni kumlazimisha achukue hela. Yule ana special mission duniani
 
Mbona yeye maisha yake yamesimama Kwasababu yako?
Hayajasimama mkuu. Ujue Lissu pale yupo kupambana na kujenga profile yake, yule siku atakapotoka ndio utajua maishabyake hayakusimama. Yule pale licha ya jutupambania sisi wanyonge ila pale anasogeza kete zake kwa akili kubwa sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…