Ujinga kidogo: Wakuu nahisi kuna mtego hapa nikibugi step

Kama anayajua majina yako matatu ishakula kwako hiyo
Ah ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
na kama walitembelea eneo lenye mchanga au udongo na binti akainama kutengeneza kiatu ameisha mara mbili
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wazoefu katika harakati nyie watu noma sana,na kama walitumiana picha kazi itakua ndogo sana
 
Single maza mshkaji wangu.
Mshkaji wako wakati umemla ghorofani..!! ๐Ÿ˜น

Sema na wewe ulimuelewa usizuge hapa..

Kitendo cha kumpigia simu na kumwambia nilikua maeneo yako tayari ni ka mtego ulikua unakatengeneza..!!

Wanaume mnawaka tamaa, una budget ya elfu 30 upo safarini lakini kuona kei ya bure hii hapa, ukaona uingie deni UKAKOPA ili utimize lengo lako..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Huwa sielewi kwanini mnaona maisha ni userious tu na usiwe na kutamani vitu vingine? Lissu anaingiaje hapa kwa kweli huwa sielewi baadhi ya wabongo mnaonaga wengine wamefeli maisha wakiongolea maisha mengine nje ya kutafuta pesa kuna maisha ya burudani tuache stress zisizo na msingi
 
Mlitumia rubber
Or you fcked her without a rubber?
 
Mshkaji wako wakati umemla ghorofani..!! ๐Ÿ˜น
Ahahahahah....bado haiondoi ushkaji lakini
Sema na wewe ulimuelewa usizuge hapa..
Ofcourse she is cute nisiwe muongo
Kitendo cha kumpigia simu na kumwambia nilikua maeneo yako tayari ni ka mtego ulikua unakatengeneza..!!
Ahahahahahahah. Kiukwel kuna mitego nikitega lakini baadae , hapa kumjukisha hakkua hasa lengo kumtega nilitaka tu kuonana nae. Ila baada ya kukaa nae mida flan ndio uhuni ukaniingia
Wanaume mnawaka tamaa, una budget ya elfu 30 upo safarini lakini kuona kei ya bure hii hapa, ukaona uingie deni UKAKOPA ili utimize lengo lako..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Ahahahahah. Hivi kuna K ya bure kweli. Maana niliigharamia na pesa nikampa kabla hatujaagana
 
Tushajua wewe ni meneja mkuu..
Ahahahah. Sasa kwani unaponiita mkuu, mimi kweli ni mkuu?
Au napokuita tajiri, wewe kweli ni tajiri? Haya ni majina tu ya kulainisha mazungumzo siku hizi. Mtu hata kama humjui siku hizi ni ishu easy tu kumuingia
 
Nyie mlikutana wote mna ashki, nimeona hapo ostadhat alivyojiongeza eti huo ni muda wake wa kulala ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Huyo dada mkavu sana..!!

Aliona hujiongezi akaamua akule kimasihara..!! Na kafanikiwa.

Kama hana vipengele muoe umalizie uzee.
Hizo mambo za sijui mama yake mganga haihusiani..!!
 
Ahahahahah.
Acha tuone kama vipengele vinahusika
 
Lazima akugande maana devices zipo compatible hizo!

Single Maza&Faza mnaendana,ila hao 30+ hawajui kuvunga kama hivi vya 2000.
 
Aaahhh bwana mdogo sasa ulitaka nieleze mchakato mzima kweli si itakua kuwaoosea adabu wakuu wa jukwaa hili? Lengo la uzi halikua mchakato wa kuchakatana ndio maana sijagusia yote hayo. Lengo liko mwisho kabisaa ๐Ÿ˜‚
Sasa hapo kwenye kuchakatana ilitakiwa pajitegemee pawe na kama episodes mbili hivi๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ