Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 875
- 633
Baadhi ya MAGAIDI walioachiwa hivi karibuni kutoka kwenye magereza ya Israel leo waliweza na kufanikiwa kupachika vilipuzi kwenye mabasi 5 ambayo yalikuwa yamepark katika sehemu mbalimbali nchini Israel.
Kwa bahati nzuri sana Ujinga na upumbavu wao kwenye TIMER badala ya kuweka saa 3 asubuhi wao wakaweka saa 3 usiku na ndiyo maana mabasi yote yameripuka kipindi hicho yakiwa yameegeshwa kwenye vituo vyake.
Huyu ndiye Mungu anayeweza kupindua meza wakati wowote na kuweza kuokoa mamia ya watu ambao hiyo Kesho wangetumia usafiri wa magari hayo hii inaonyesha wazi kuwa kuachiwa kwa magaidi hao kutaongeza mashambulizi ya kigaidi katika nchi ya Israel.
Pamoja na hayo yote wananchi wengi wamelilaum shirika la Shin-bet kwa kuzembea mpaka kuwezesha magaidi hao kutega vilipuzi kwenye mabasi hayo.