Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 875
- 633
- Thread starter
- #41
Hata unachopinga hakieleweki kila siku topić zako unalalamika kutetea magaidi walioua familia ya Bibas wameua kitoto cha miezi 9 Kafri na Kaka yake Ariel.Mama yake mwili wake wameuficha/ Wameogopa kuleta badala yake wakaleta maiti nyingine ambaye si mmoja wa mateka kwa kuwa akili yako ina matatizo hata hujahoji ni kwa nini Magaidi hao waue viumbe wadogo kiasi hicho na Mama yao? Tujuavyo Magaidi wa Hamas ni Wabakaji kuna uwezekano mkubwa walitaka kumbaka huyo Mama naye akakataa wakaona labda watoto ni kikwazo kinawazuia wasiweze kubaka vizuri Mama yao ndipo wa kaamua kuwaua watoto hao kwa mikono yao baadaye wakasingizia wameuwawa na mashambulio ya Israel. Inasemekana baada ya kuona watoto wake wameuwawa aliendelea kukataa kitendo cha kubakwa walitumia nguvu kutokana na msimamo wake waliamua kumuua na yeye kwa sababu waliona wakimwacha kwa sababu ya watoto wake atakują kusema ukweli wa unyama wa magaidi hao. Wengi wanaamini Hamas wanaogopa kuuleta mwili wa Shiri Bibas kwa sababu ya vitendo vya Ubakaji walivyovifanya hivyo kwenye Forensic lab watakuja kufahamika ujinga walioufanya ndiyo maana wameshindwa kuuleta mwili wa Mama huyo. Hamas ni Magaidi hawasafishiki pamoja na kwamba wewe Mwarabu-Koko unajitahidi sana kuwasafisha.Ikiwa ww mlokole ni Muongo kias ichi sijui kiongozi wako w kiroho ambae ndio mwalimu wako sipati picha!!!!
Najiuliza ww unasambaza propaganda za Waisrael kuwa HAMAS waliwabaka Waisrael waliwauwa watoto uwongo wawazi kabisa ambao umekanushwa na Mashilika ya kutetea Haki za Binadamu duniani
lkn wewe mlokole kwa chuki zako kumuusu Mwarabu umeona japo unajua ukweli lkn unasambasza Uwongo!!!
Wewe uyo uyo vip usiamini history ya Kabumba kuusu Mwarabu naww umejiziilisha kuwa na !chuki yako ni Mwarabu na muislam!!!!
Mwarabu amekudhidi kila kitu!!!! ndio mana unapata Tabu sana pole sana mmatumbi mwenzangu wa kidudwe kisaki Diaramuro!!!! Tafuta pesa
mwarabu yupo biz kutafuta pesa ata tu kumkuta mwarabu imamu wa msikiti utafute kwa touch yeye yupo biz kutafuta Pesa
awafunge mdomo wapuuzi kama ww kutwa kucha Waarabu inawafika wakati adi vikanisa vyenu vya kilokole Wanavinunua!!!! Mnabaki kurumbana wenyewe !!
Tafuta pesa ndugu mwarabu anatatizo na mtu acha upumbavu, Kigamboni pele mwarabu kaweka pesa vijana asubui mchana wanawai kazini wengine kusoma wengiine makanisani misikitini maisha yanaenda!
juhudu za Mwarabu tunaziona za kumkwamua mtu mweusi tafuta pesa ww na Wachungaji wenu wawekeze pesa kwenye kutatua shida za mtu mweusi kama hii ya kigamboni
sio domo tu kumchafua MWARABU pesa zenu zinaishia kwenye kununua Vitu vya ANASA na SAMANI SANA usisaau na mbunye
inasikitisha sana Wachungaji wengine wananunua adi ndege lkn shida za watu Weusi awataki kuangaika nazo tena ndio mtu mweusi uyo uyo ndio mtoa Sadaka!!
lkn kutwa propaganda Mwarabu afai muislam anamajini!!!!!!! Ufalme wa mbingu kweli upo mbali ya mwanadam!!!!
Tatizo kuu Akili kutokujitambua. Mungu awape maarifa yenye kusaidia na kupenda sifa lkn ziwe zenye kusaidia wengine Sio Kununua Samani tu!!!!!