Ujinga na upumbavu wa waarabu waokoa mamia ya watu kufa au kujeruhiwa kwenye mabasi huko Israel

Hata unachopinga hakieleweki kila siku topić zako unalalamika kutetea magaidi walioua familia ya Bibas wameua kitoto cha miezi 9 Kafri na Kaka yake Ariel.Mama yake mwili wake wameuficha/ Wameogopa kuleta badala yake wakaleta maiti nyingine ambaye si mmoja wa mateka kwa kuwa akili yako ina matatizo hata hujahoji ni kwa nini Magaidi hao waue viumbe wadogo kiasi hicho na Mama yao? Tujuavyo Magaidi wa Hamas ni Wabakaji kuna uwezekano mkubwa walitaka kumbaka huyo Mama naye akakataa wakaona labda watoto ni kikwazo kinawazuia wasiweze kubaka vizuri Mama yao ndipo wa kaamua kuwaua watoto hao kwa mikono yao baadaye wakasingizia wameuwawa na mashambulio ya Israel. Inasemekana baada ya kuona watoto wake wameuwawa aliendelea kukataa kitendo cha kubakwa walitumia nguvu kutokana na msimamo wake waliamua kumuua na yeye kwa sababu waliona wakimwacha kwa sababu ya watoto wake atakują kusema ukweli wa unyama wa magaidi hao. Wengi wanaamini Hamas wanaogopa kuuleta mwili wa Shiri Bibas kwa sababu ya vitendo vya Ubakaji walivyovifanya hivyo kwenye Forensic lab watakuja kufahamika ujinga walioufanya ndiyo maana wameshindwa kuuleta mwili wa Mama huyo. Hamas ni Magaidi hawasafishiki pamoja na kwamba wewe Mwarabu-Koko unajitahidi sana kuwasafisha.
 
Huo ni mpango wa Trump kuwahamisha wapalestina Gaza yote unasukwa.

Inatafutwa justification tu hapo kama Ile ya October.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Yeah!...mpo sahihi kabisa....hii Dunia ina mengi.
Wakat mwingine haya mambo wanafanya wenyewe kuhalalisha jambo flan wanalotaka kulifanya. Nafikiri kwa sauti lakin
 
Kuna watu wajinga sana , wao chochote kinachokuja kwenye media wanaamini na kuchukua moja kwa moja bila kushirikisha ubongo.

Baada ya taarifa hiyo IDF wametangaza wanaenda kufanya operations za nguvu za kisheji huko West Bank , Judea na Sumeria
Huenda hiyo ilikuwa 'false flag operation ' Ili kuhalalisha hiyo operation.
 
Mazayuni wametega wenyewe ili kupata kisingizo cha kwenda kumalizia kizazi cha wapelestina
Hivi ukiwa Mfuga Midevu na Majini na akili pia huwa zinaondoka?
 
Walim
Walimuuza nani?
 
Hivi ukiwa Mfuga Midevu na Majini na akili pia huwa zinaondoka?
Hivi kidevu chako kikiwa kama goti la mtoto laini, au kama ngozi ya kitimoto tunatofautishaje wewe dada yako
 
Hivi kidevu chako kikiwa kama goti la mtoto laini, au kama ngozi ya kitimoto tunatofautishaje wewe dada yako
Nijibu mimi nimeuliza swali acha kuruka-ruka!!
 
Kuna watu wajinga sana , wao chochote kinachokuja kwenye media wanaamini na kuchukua moja kwa moja bila kushirikisha ubongo.

Baada ya taarifa hiyo IDF wametangaza wanaenda kufanya operations za nguvu za kisheji huko West Bank , Judea na Sumeria
Israel mambo yake kama Marekani tu, wana uhuni uhuni mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…