Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

Umesoma vizuri alichoandika? Mwanamke mwenye miaka 21 ni mtoto?

Watu waliozaliwa mwaka 2000 mpaka 2005 ndani ya hii cohort mdogo zaidi yupo chuo kikuu mwaka wa kwanza na mkubwa ana miaka zaidi ya mitatu toka amalize chuo kikuu.
 
No hard feelings mzee[emoji23] sio kila siku kila saa ni vitu serious tu, muda mwingine inatakiwa tuishi kama binadamu wengine, mimi sioni ubaya wowote kila mtu anafanya haya mambo ni vile tu yeye ameamua kushare yake na sisi…which is Not bad
Mawazo na mtazamo wangu uheshimike Mkuu 😂😂😂
 
No hard feelings mzee[emoji23] sio kila siku kila saa ni vitu serious tu, muda mwingine inatakiwa tuishi kama binadamu wengine, mimi sioni ubaya wowote kila mtu anafanya haya mambo ni vile tu yeye ameamua kushare yake na sisi…which is Not bad
Hilo jamaa lijinga sana, issue zenyewe zipo tunapiga mastori MMU. Anataka hard talk MMU? upuuzi mtupu
 
Umesoma vizuri alichoandika? Mwanamke mwenye miaka 21 ni mtoto?

Watu waliozaliwa mwaka 2000 mpaka 2005 ndani ya hii cohort mdogo zaidi yupo chuo kikuu mwaka wa kwanza na mkubwa ana miaka zaidi ya mitatu toka amalize chuo kikuu.
First born wangu anafanya masters halafu Mimi naanzaje kutoka na binti 21 years old? na hawa vijana watoke na nani?

Halafu Mimi siyo Mzee lakini wapo mademu wa level zetu wa kudeal nao, tena kama unataka uenjoy kweli unatakiwa kutoka na mwanamke anayekojowa ukimfikisha.

Sasa niambie ni msichana yupi wa 21 anayekojowa?

Unajuwa ni Kwa nini kuna wanawake wenye kipato wanawapa pesa wanaume?

Hivi vitoto mviache vienjoy ujana wao na wavulana ndio nature inataka hivyo.
 
Mimi nilikipata kimoja hivi,tukienda kula sehemu eti kanapenda tulishane kwa kutumia midomo...

Kakiandika sms,ni gazeti aiseeeeee! Kanaandika kwa kirefu sana hadi unasoma nakukosa mwelekeo hivi kana taka nini
 
2 and 4
 
"Ukiwa unakapiga show kaanza kuomba hela, kuomba material things. Yaani kanakatika huku kanaomba hela."

[emoji3][emoji3]
 
Yote ulivyosema ni kweli Niko na ka 21 ila sioni shida maana hata hao aged Wana mambo Yao ya kusumbua tena zaidi ya 21 uzuri wa hao generation Z ni they love for real ila kwa upande wa sex unapaswa uwe imara maana energy Yao sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…