Ujio wa DP world: Magari sasa kushuka bei na kuwa sawa na bajaji


Punguza ukunguni sio mzuri
 
Hii inchi ila watu wenye akili kisoda wengi sana...the fact kua hujui gharama za bandari zipoje inaonesha kua hujawahi agiza gari. Ungekua unajua usingeandika hizi pumba.
 
Duh!,kweli JF ni free platform
 
Nililipia 6M huko nje, bandarini nikalitoa kwa 20M
Ya mwaka gani? Maana nijuacho, bei ya gari mtandaoni ikiwa huko iliko, hadi likufukie nyumba ni almost mara mbili. Kama gari inauzwa 2000USD (FOB), basi mpaka inakufikia nyumbani kwako ikiwa tayari imeshasajiliwa inabidi uwe na 4000USD. Sasa hayo ya 6M ikugharimu 20M nauona ni uongo ulikubuhu, ilimradi tu uonekane unachokisema ni kweli
 
TRA Haina uwezo wa kubuni mbinu rafiki za kukusanya Kodi Bora ibinafishwe wapewe wenye uwezo wa kubuni kodi rafiki isiyokwepeka ambayo mlipaji hawezi umia huku wakikusanya mapato mengi zaidi na Sio hii ya Kodi kubwa makusanyo kidogo
 
Wazee wa chumvini ndio hao hao wazee wa minyama!??
 

Nchi Mablood fvck3n ni wengi sana. kmmk unaonekana ni mweupe kabisa kichwani yaani huna unachokijua [emoji3][emoji3]
 
Kama ni hivyo,nauanga mkono hoja ujio wao,na miye nimiliki ndinga
 
Ooh kumbe bei ilipandishwa na Gati no5 na 7?
 
Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…